Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • Bachelet aitaka Misri kutengua hukumu ya vifo dhidi ya wafuasi wa Ikhwanul Muslimin

    Bachelet aitaka Misri kutengua hukumu ya vifo dhidi ya wafuasi wa Ikhwanul Muslimin

    Sep 09, 2018 11:37

    Bi Michelle Bachelet Mkuu wa Kamisheni ya Haki za Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa leo Jumapili ameitolea mwito mahakama ya rufaa ya Misri kutengua hukumu za vifo zilizotolewa na mahakama moja nchini humo dhidi ya viongozi na wafuasi wa harakati ya Ikhwanul Muslimin.

  • Nchi za dunia zinapaswa kushirikiana na Iran katika kukabiliana na mihadarati

    Nchi za dunia zinapaswa kushirikiana na Iran katika kukabiliana na mihadarati

    Sep 04, 2018 22:02

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inasema nchi zote ambazo zinafaidika na jitihada zake za kupambana na mihadarati zinapaswa kuisaidia kiufundi na kifedha.

  • UN: Hali ya raia CAR inatia wasiwasi

    UN: Hali ya raia CAR inatia wasiwasi

    Sep 04, 2018 02:19

    Ofisi ya huduma za misada ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) imeripoti kuwa hali ya wakazi wa mji wa Alindao huko kusini mashariki mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati ni mbaya sana kutokana na mapigano yanayoendelea baina ya makundi ya waasi katika eneo hilo.

  • Russia yaikabidhi UN ushahidi kuwa Wamagharibi wanafanya njama za kuishambulia tena Syria

    Russia yaikabidhi UN ushahidi kuwa Wamagharibi wanafanya njama za kuishambulia tena Syria

    Sep 01, 2018 02:59

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa nchi yake imeukabidhi Umoja wa Mataifa ushahidi unaothibitisha kuwa nchi za Magharibi zinafanya njama za kuishambulia tena Syria kwa madai ya uongo ya matumizi ya silaha za kemikali hata kabla ya kutumika silaha hizo.

  • Ansarullah ya Yemen yautaka Umoja wa Mataifa uwe huru katika kukabiliana na wavamizi

    Ansarullah ya Yemen yautaka Umoja wa Mataifa uwe huru katika kukabiliana na wavamizi

    Aug 29, 2018 23:00

    Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amekosoa utendaji wa Umoja wa Mataifa na kuitaka taasisi hiyo ya kimataifa iwe huru katika kuchukua maamuzi ya kukabiliana na hatua za kivamizi za Saudi Arabia nchini humo.

  • Qatar yakerwa na jinai za kivita zinazotendwa na Saudia nchini Yemen

    Qatar yakerwa na jinai za kivita zinazotendwa na Saudia nchini Yemen

    Aug 29, 2018 10:25

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amekosoa ripoti ya wataalamu wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na jinai za kivita zinazotendwa na Saudia na Imarati nchini Yemen.

  • UN yakemea vikali jinai za Saudi Arabia nchini Yemen

    UN yakemea vikali jinai za Saudi Arabia nchini Yemen

    Aug 28, 2018 07:45

    Mwenyekiti wa Kamati ya Haki za Watoto ya Umoja wa Mataifa amesema kuwa mashambulizi ya kinyama yanayofanywa na Saudi Arabia na waitifaki wake yameua watoto wengi nchini Yemen.

  • Kutokuwa halali vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Kutokuwa halali vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Aug 22, 2018 03:32

    Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa wa haki za binadamu ametahadharisha kuhusianja na kuenea vita vya kiuchumi ulimwenguni na kusema kuwa, hatua ya Marekani ya kuiwekea vikwazo tena Iran si halali kisheria, ya kidhalimu na ina madhara.

  • Ripota maalumu wa UN: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran si halali kisheria

    Ripota maalumu wa UN: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran si halali kisheria

    Aug 21, 2018 09:58

    Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa wa haki za binadamu na athari hasi za uchukuaji hatua za upande mmoja amesema hatua ya Marekani ya kuiwekea vikwazo tena Iran si halali kisheria, ya kidhalimu na ina madhara.

  • Ukosoaji wa Amnesty International kwa hatua ya Marekani na Ulaya ya kuiuzia silaha Saudi Arabia na Israel

    Ukosoaji wa Amnesty International kwa hatua ya Marekani na Ulaya ya kuiuzia silaha Saudi Arabia na Israel

    Aug 21, 2018 08:20

    Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limeikosoa Marekani na madola ya Ulaya na kuyataka yasitishe kuiuzia silaha Saudi Arabia na utawala haramu wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS