-
UN Yataka viongozi wa duinia kulinda watu walionaswa kwenye mizozo
Aug 19, 2018 03:00Umoja wa Mataifa umetoa wito kwa viongozi wa dunia kufanya kila wawezalo kulinda watu walionaswa kwenye mizozo.
-
Michelle Bachelet aidhinishwa rasmi kuwa Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu UN
Aug 11, 2018 03:11Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limemuidhinisha rais wa zamani wa Chile Michelle Bachelet kuwa Kamishna Mkuu mpya wa Haki za Binadamu wa umoja huo.
-
UNHCR, UNDP zataka Myanmar iandae mazingira ya kurejea Waislamu Warohingya
Aug 08, 2018 23:54Mashirika ya misaada ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa yameitaka serikali ya Myanmar iandae mazingira ya kurejea katika jimbo la Rakhine Waislamu Warohingya wa nchi hiyo.
-
Indhari za kimataifa; Yemen katika maafa ya kibinadamu
Aug 04, 2018 22:00Kufuatia kushtadi mashambulizi ya vikosi vamizi vya Saudi Arabia na waitifaki wake huko Yemen, taasisi za misaada ya kibinadamu za kimataifa zimetahadharisha kuhusu kutokea maafa ya kibinadamu nchini humo khususan katika bandari iliyokumbwa na mgogoro ya al Hudaydah.
-
UN yaeleza wasiwasi wake kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu Saudia
Jul 31, 2018 10:02Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi wake kuhusu mwenendo wa kuendelea kukamatwa wapinzani wa serikali nchini Saudi Arabia.
-
Askari wa UN akiri kunajisi watoto wadogo Afrika
Jul 30, 2018 02:39Askari mmoja wa zamani wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amekiri kwamba, aliwanajisi watoto na wanawake wa Kiafrika wakati alipokuwa akihudumia kikosi hicho mwaka 2004.
-
Palestina yateuliwa kuongoza Kundi la 77 la UN
Jul 27, 2018 03:36Palestina imeteuliwa kuwa mwenyekiti wa kiduru wa Kundi la 77 (G77) linalojihusisha na masuala ya uchumi wa nchi zinazostawi, ambazo zinaunda asilimia 80 ya idadi ya watu wote duniani.
-
UN: Wapiga kura wanatishiwa Zimbabwe kuelekea uchaguzi mkuu
Jul 24, 2018 11:54Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imeelezea wasiwasi mkubwa ilionao kuhusu kukithiri visa vya wapiga kura kutishiwa maisha nchini Zimbabwe, baadhi yao wakilazimishwa kushiriki mikutano wa kisiasa, zikiwa zimesalia siku chache wananchi waelekee katika masanduku ya kupigia kura kuwachagua viongozi wao.
-
Djibouti yaitaka UN itatue mgogoro wa mpaka wake na Eritrea
Jul 20, 2018 09:27Serikali ya Djibouti imeutaka Umoja wa Mataifa uingilie kati na kusuluhisha mgogoro wa mpaka wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika na jirani yake Eritrea.
-
UN: Myanmar ingali inawatendea jinai Waislamu wa Rohingya
Jul 19, 2018 11:07Wachunguzi wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wamesema Waislamu wa jamii ya Rohingya wangali wanafanyiwa jinai za kuogofya na wanajeshi wa Myanmar wakishirikiana na Mabudha wenye misimamo ya kufurutu ada.