Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • Ansarullah: Tuko tayari kuikabidhi UN usimamizi wa al Hudaydah kwa sharti

    Ansarullah: Tuko tayari kuikabidhi UN usimamizi wa al Hudaydah kwa sharti

    Jul 18, 2018 02:52

    Harakati ya wananchi ya Ansarullah nchini Yemen imesema itakubali kukabidhi usimamizi wa bandari ya al Hudaydah kwa Umoja wa Mataifa, lakini kwa sharti.

  • UN: Mamia ya raia wameuawa nchini Mali mwaka huu pekee

    UN: Mamia ya raia wameuawa nchini Mali mwaka huu pekee

    Jul 17, 2018 23:04

    Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imesema mamia ya raia wameuawa nchini Mali mwaka huu pekee, katika makabiliano baina ya makundi hasimu ya waasi.

  • Umoja wa Mataifa wataka kuhitimishwa mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza

    Umoja wa Mataifa wataka kuhitimishwa mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza

    Jul 16, 2018 03:11

    Mratibu Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Mashariki ya Kati ametoa wito wa kuhitimishwa mzingiro wa utawala ghasibu wa Israel dhidi ya eneo la Ukanda wa Gaza huko Palestina.

  • EU yafungua ubalozi wake wa Libya uliofungwa 2014

    EU yafungua ubalozi wake wa Libya uliofungwa 2014

    Jul 15, 2018 02:37

    Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Federica Mogherini ameitembelea Tripoli, mji mkuu wa Libya na kufungua upya ubalozi wa umoja huo uliohamishiwa Tunis, mji mkuu wa Tunisia mwaka 2014.

  • Saudia yaendeleza tuhuma zake dhidi ya Iran

    Saudia yaendeleza tuhuma zake dhidi ya Iran

    Jul 10, 2018 23:56

    Serikali ya Saudi Arabia sambamba na kutuma barua kwenda Umoja wa Mataifa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, imeituhumu nchi hii kwamba inakiuka haki yake ya kujitawala katika maji ya bahari ya nchi hiyo.

  • UN: Wahajiri 1,400 wamekufa maji tangu Januari mwaka huu

    UN: Wahajiri 1,400 wamekufa maji tangu Januari mwaka huu

    Jul 06, 2018 22:57

    Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limesema zaidi ya wahajiri 1,400 wamefariki dunia katika Bahari ya Mediterania tangu ulipoanza mwaka huu wa 2018 hadi sasa.

  • UN, EU zaitaka Israel isibomoe kijiji cha Wapalestina Ukingo wa Magharibi

    UN, EU zaitaka Israel isibomoe kijiji cha Wapalestina Ukingo wa Magharibi

    Jul 05, 2018 09:38

    Umoja wa Mataifa na Umoja wa Ulaya zimeutaka utawala wa Kizayuni wa Israel usitishe mpango wake wa kubomoa kijiji cha Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • UN: Zaidi ya raia 121,000 wamekuwa wakimbizi kufuatia mashambulizi ya muungano wa Saudia huko Al Hudaydah

    UN: Zaidi ya raia 121,000 wamekuwa wakimbizi kufuatia mashambulizi ya muungano wa Saudia huko Al Hudaydah

    Jul 05, 2018 09:27

    Umoja wa Mataifa umeripoti kuwa raia zaidi ya laki moja na elfu ishirini na moja wamelazimika kuwa wakimbizi kufuatia mashambulizi ya muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia na mapigano yanayojiri katika mji wa bandari wa Al Hudaydah nchini Yemen.

  • Waislamu Warohingya 11,432 wamekimbia ukandamizaji Myanmar mwaka 2018

    Waislamu Warohingya 11,432 wamekimbia ukandamizaji Myanmar mwaka 2018

    Jul 04, 2018 23:09

    Waislamu Warohingya wasiopungua 11,432 wamekimbia ukandamizaji wanaotendewa nchini Myanmar na kupata hifadhi katika nchi jirani ya Bangladesh.

  • Bajeti ya vikosi vya kusimamia amani vya Umoja wa Mataifa yapasishwa

    Bajeti ya vikosi vya kusimamia amani vya Umoja wa Mataifa yapasishwa

    Jul 02, 2018 09:25

    Nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa zimeafiki na kupasisha bajeti ya vikosi vya kusimamia amani vya umoja huo katika maeneo mbalimbali ulimwenguni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS