Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • Answarullah: Sio kweli kwamba tumekubali kuukabidhi Umoja wa Mataifa bandari ya Al Hudaydah

    Answarullah: Sio kweli kwamba tumekubali kuukabidhi Umoja wa Mataifa bandari ya Al Hudaydah

    Jun 28, 2018 09:11

    Harakati ya Wananchi ya Answarullah nchini Yemen imekadhibisha baadhi ya habari za vyombo vya habari vya nchi za Magharibi kwamba imekubali kukabidhi usimamizi wa bandari ya Al Hudaydah kwa Umoja wa Mataifa.

  • Bashar al Ja'far: Nchi za Magharibi na Umoja wa Mataifa zimesahahu kupambana na ugaidi

    Bashar al Ja'far: Nchi za Magharibi na Umoja wa Mataifa zimesahahu kupambana na ugaidi

    Jun 28, 2018 03:19

    Mwakilishi wa Kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa ametetea oparesheni zinazofanywa na jeshi la nchi yake dhidi ya magaidi kusini mwa nchi na kueleza kuwa nchi za Magharibi na Umoja wa Mataifa zimesahau kupambana dhidi ya ugaidi.

  • UN: Jeshi la Mali liliua raia12 katika ulipizaji kisasi

    UN: Jeshi la Mali liliua raia12 katika ulipizaji kisasi

    Jun 27, 2018 09:50

    Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa nchini Mali MINUSMA kimesema wanajeshi wa serikali ya nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika waliuawa raia 12 katika operesheni ya kulipiza kisasi mwezi uliopita, baada ya mwenzao kuuawa katika mazingira ya kutatanisha.

  • Msafara wa walinda amani wa UN wavamiwa Sudan Kusini, askari auawa

    Msafara wa walinda amani wa UN wavamiwa Sudan Kusini, askari auawa

    Jun 26, 2018 10:39

    Askari wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini ameuawa mapema leo Jumanne baada ya msafara wa magari ya mashirika ya kutoa misaada ya kibinadamu kuviziwa na kushambuliwa na genge la wabeba silaha magharibi mwa nchi hiyo.

  • Yemen yakosoa kimya cha Umoja wa Mataifa kuhusu jinai za muungano unaoongozwa na Saudia

    Yemen yakosoa kimya cha Umoja wa Mataifa kuhusu jinai za muungano unaoongozwa na Saudia

    Jun 25, 2018 02:49

    Abdulsalam Jaber Msemaji wa Serikali ya Uokozi wa Kitaifa Yemen amelaaani vikali kimya cha Umoja wa Mataifa na taasisi zake kuhusu jinai za muungano wa Saudia dhidi ya Yemen.

  • Putin na udharura wa UN kuwa na nafasi muhimu katika medani ya kimataifa

    Putin na udharura wa UN kuwa na nafasi muhimu katika medani ya kimataifa

    Jun 22, 2018 02:39

    Rais Vladimir Putin wa Russia amesema Umoja wa Mataifa unapaswa kuwa na nafasi kuu na ya mbele zaidi katika masuala ya kimataifa. Putin amesema hayo katika mazungumzo yake na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres mjini Moscow.

  • UN yatahadharisha kuhusu uchafuzi wa hali ya hewa duniani

    UN yatahadharisha kuhusu uchafuzi wa hali ya hewa duniani

    Jun 21, 2018 03:45

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu ongezeko la uchafuzi wa hali ya hewa na hatari zake kwa viumbe kote duniani.

  • UN: Kulindwa JCPOA kuna umuhimu kwa usalama wa dunia

    UN: Kulindwa JCPOA kuna umuhimu kwa usalama wa dunia

    Jun 20, 2018 02:59

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kulindwa makubaliano ya nyuklia ya Iran ni jambo lenye udharura mkubwa hususan katika kudhamini usalama wa dunia.

  • UN: Wayemeni 26,000 wamelazimika kuyahama makazi yao baada ya muungano wa Saudia kushambulia Al-Hudaydah

    UN: Wayemeni 26,000 wamelazimika kuyahama makazi yao baada ya muungano wa Saudia kushambulia Al-Hudaydah

    Jun 19, 2018 03:27

    Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa watu 26,000 wakazi wa mji wa bandari wa Al-Hudaydah magharibi mwa Yemen wamelazimika kuzihama nyumba na makazi yao baada ya muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia kushambulia eneo hilo.

  • Ndege za Saudia zadondosha mabomu Hudaydah Yemen wakati wa Sala ya Idul Fitri

    Ndege za Saudia zadondosha mabomu Hudaydah Yemen wakati wa Sala ya Idul Fitri

    Jun 15, 2018 10:59

    Ndege za kivita za muungano unaoongozwa na Saudia zimedondosha mabomu katika maeneo ya mji wa bandarini ya Hudaydah nchini Yemen wakati wakaazi wa mji huo wakiwa wamekusanyika kwa ajili ya Sala ya Idul Fitr mapema leo asubuhi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS