-
Pigo jingine dhidi ya Marekani katika Umoja wa Mataifa kuhusu Palestina
Jun 14, 2018 23:50Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, katika fremu ya kuunga mkono taifa madhulumu la Palestina, limepitisha kwa wingi wa kura azimio la kulaani vikali jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina na kwa utaratibu huo, Marekani, kwa mara nyingine tena, imepata pigo na kugonga mwamba katika jitihada zake za kulaani Harakati ya Mapambanao ya Kiislamu ya Palestina, Hamas.
-
HAMAS yapongeza azimio la Umoja wa Mataifa kuhusu wananchi wa Palestina
Jun 14, 2018 10:34Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imepongeza azimio la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifra la kuwahami na kuwatetea wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina.
-
Nchi 120 katika Umoja wa Mataifa zalaani mauaji yanayofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina
Jun 13, 2018 22:17Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeidhinisha azimio linaloulaumu na kuulaani utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kufanya mauaji dhidi raia wa Kipalestina katika Ukanda wa Ghaza.
-
Qatar yaishtaki Imarati katika mahakama ya haki za binadamu ya UN
Jun 12, 2018 09:20Qatar imewasilisha faili la kesi dhidi ya Umoja wa Falme za Kiarabu, katika mahakama ya juu zaidi ya Umoja wa Mataifa, ikiituhumu Abu Dhabi kwamba imekiuka haki za binadamu za wananchi wa Qatar, huku mgogoro wa nchi hizo za Kiarabu ukielekea kutimiza mwaka mmoja.
-
Mpango wa amani wa UN nchini Yemen wataka kujumuishwa Ansarullah serikalini
Jun 09, 2018 03:45Inaarifiwa kuwa, Umoja wa Mataifa umeandaa mpango wa amani wa kutamatisha mashambulizi ya muungano wa kijeshi wa Saudi Arabia dhidi ya Yemen, baada ya jitihada za kidiplomasia kugonga mwamba.
-
UN: Watoto laki 5 eneo la Ziwa Chad wanakodolewa macho na mauti
Jun 09, 2018 03:42Umoja wa Mataifa umesema watoto karibu laki tano wanaoandamwa na utapiamlo wapo katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na njaa katika nchi za eneo la Ziwa Chad.
-
Palestina yaitaka UN ichunguze mauaji yanayofanywa na Israel huko Gaza
Jun 09, 2018 03:18Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa ametoa mwito kwa Baraza Kuu la umoja huo kukumbatia azimio linalotaka kuchunguzwa jinai za kutisha zinazoendelea kufanywa na wanajeshi katili wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
UN: Saudia inakandamiza na kuwatesa wanaharakati na washukiwa wa ugaidi
Jun 07, 2018 10:55Ripoti ya Umoja wa Mataifa imeukosoa utawala wa Aal-Saud wa Saudi Arabia kwa kuwakandamiza, kuwatesa na kuwadhalilisha wanaharakati na washukiwa wa ugaidi unaowazuilia.
-
UN: Marekani ikomeshe tabia ya ukatili ya kuwatenganisha watoto wa kihajiri na wazazi wao
Jun 06, 2018 09:45Msemaji wa Ofisi ya Kutetea Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, ameitaka Marekani kukomesha ukiukaji wa haki za wahajiri wanaoingia katika nchi hiyo kinyume cha sheria sambamba na kufuata sheria zinazoruhusu watu wa familia moja miongoni mwa wahajiri kuwatembelea jamaa zao.
-
UN yaelezea wasi wasi wake kuhusu kushtadi kamatakamata Misri
Jun 06, 2018 03:07Ofisi ya Kutetea Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imeeleza juu ya wasi wasi mkubwa ilionao kutokana na kushtadi wimbi la kamatakamata nchini Misri.