Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • Plastiki zapigwa vita katika Siku ya Mazingira Duniani

    Plastiki zapigwa vita katika Siku ya Mazingira Duniani

    Jun 05, 2018 02:56

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kukataa matumizi ya plastiki zinazotumika mara moja na kutupwa.

  • (Hatua kwa hatua kuelekea Siku ya Kimataifa ya Quds): Dhulma wanayofanyiwa Wapalestina na madai ya haki za binadamu ya Marekani

    (Hatua kwa hatua kuelekea Siku ya Kimataifa ya Quds): Dhulma wanayofanyiwa Wapalestina na madai ya haki za binadamu ya Marekani

    Jun 03, 2018 02:11

    Vitendo vilivyo dhidi ya ubinadamu ambavyo Israel inawafanyia wananchi madhulumu wa Palestina ni miongoni mwa mambo ambayo mara kwa mara yamekuwa yakifanywa ajenda za Baraza la Haki za Binadamu la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa; hata hivyo mara zote Marekani imekuwa ikiingilia kati na kuzuia kupasishwa maazimio ya kimataifa ya kulaani jinai hizo za Israel.

  • Mjumbe wa UN: Trump ni chanzo cha kutokuwepo usawa wa kiuchumi nchini Marekani

    Mjumbe wa UN: Trump ni chanzo cha kutokuwepo usawa wa kiuchumi nchini Marekani

    Jun 02, 2018 22:12

    Philip Alston, Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya umasikini amesema kuwa, siasa na hatua za Rais Donald Trump wa Marekani, zimesababisha kuongezeka dhulma ya kiuchumi nchini humo.

  • Baraza la Usalama la UN: Haiwezekani kuupuuza mzingiro wa miaka 10 dhidi ya Gaza

    Baraza la Usalama la UN: Haiwezekani kuupuuza mzingiro wa miaka 10 dhidi ya Gaza

    May 31, 2018 03:01

    Wawakilishi wa nchi wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wamesema muongo mzima wa mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza na jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni ni mambo ambayo hayawezi kupuuzwa.

  • Katibu Mkuu wa UN asisistiza kuhusu umuhimu wa askari wa kulinda amani

    Katibu Mkuu wa UN asisistiza kuhusu umuhimu wa askari wa kulinda amani

    May 29, 2018 09:27

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa ulinzi wa amani wa Umoja wa Mataifa ni thibitisho la uwekezaji katika amani, usalama na ustawi duniani.

  • UN yatiwa wasi wasi na hali ya wanaharakati wanawake wanaozuiliwa Saudia

    UN yatiwa wasi wasi na hali ya wanaharakati wanawake wanaozuiliwa Saudia

    May 29, 2018 09:23

    Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imeeleza juu ya wasi wasi mkubwa ilionao kuhusu hali ya wanaharakati wanawake wanaozuiliwa chini ya mazingira ya kutisha nchini Saudi Arabia.

  • Ukosoaji wa UN kwa serikali ya Ufaransa kwa kuamiliana vibaya na Waislamu wa nchi hiyo

    Ukosoaji wa UN kwa serikali ya Ufaransa kwa kuamiliana vibaya na Waislamu wa nchi hiyo

    May 29, 2018 03:47

    Umoja wa Mataifa umeikosoa serikali ya Ufaransa kwa namna inavyoamiliana na Waislamu na inavyokabiliana na ugaidi na athari za hatua zake hizo ambazo zinatia wasiwasi kwa kutishia uhuru wa mtu binafsi.

  • UN yamuwekea vikwazo Waziri wa Ulinzi wa Sudan Kusini

    UN yamuwekea vikwazo Waziri wa Ulinzi wa Sudan Kusini

    May 27, 2018 09:17

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetangaza kumuwekea vikwazo Waziri wa Ulinzi wa Sudan Kusini, Kuol Manyang Juk kutokana na kile lilichodai kuwa ni kitendo cha afisa huyo wa Juba kukiuka makubaliano ya usitishaji vita.

  • Gutteres: Dunia iunge mkono azma ya Afrika yenye amani na ustawi

    Gutteres: Dunia iunge mkono azma ya Afrika yenye amani na ustawi

    May 25, 2018 21:52

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ametoa wito kwa dunia kuunga mkono nchi za Afrika ili ziweze kupiga hatua zaidi katika ustawi na maendeleo.

  • AU, UN na IGAD zataka kusitishwa mapigano kati ya Puntland na Somaliland

    AU, UN na IGAD zataka kusitishwa mapigano kati ya Puntland na Somaliland

    May 25, 2018 03:02

    Jamii ya kimataifa imeeleza juu ya wasi wasi mkubwa ilionao kutokana na kushtadi mapigano kati ya vikosi vya maeneo yenye mamlaka ya ndani ya Somaliland na Puntland nchini Somalia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS