-
Marekani yakasirishwa na hatua ya UN kuiruhusu Palestina ijiunge na taasisi zake
May 24, 2018 09:59Marekani imeonesha kughadhibishwa na hata kutishia kuupunguzia ufadhili Umoja wa Mataifa kutokana na UN kuiruhusu Palestina ijunge na taasisi zake.
-
UN: Hali ya Ukanda wa Ghaza ni ya mgogoro
May 24, 2018 03:08Mratibu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Mashariki ya Kati, usiku wa kuamkia leo Alkhamisi amesema kuwa, hali katika eneo la Ghaza huko Palestina ni ya mgogoro.
-
UN yatuma askari zaidi katika jimbo la Unity, Sudan Kusini
May 17, 2018 09:38Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini (UNMISS) kimetuma makumi ya askari wa ziada katika jimbo la Unity ili kuwadhaminia usalama raia wanaolengwa katika vita kati ya askari wa jeshi la serikali na magenge ya waasi.
-
Iran yaiandikia barua UN kuilaani Israel kwa kuunga mkono magaidi
May 12, 2018 00:08Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amemwandikia barua Katibu Mkuu wa umoja huo na kuulaani utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuwaunga mkono magaidi katika nchi za eneo hili ikiwemo Syria.
-
Upinzani nchini Madagascar wakataa upatanishi wa UN
May 08, 2018 12:25Upinzani nchini Madagascar umepinga upatanishi wa Umoja wa Mataifa katika mgogoro unaoendelea kutokota katika kisiwa hicho cha kusini mashariki mwa Afrika.
-
Katibu Mkuu wa UN: JCPOA ni ushindi muhimu wa kidiplomasia
May 04, 2018 02:55Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya dhidi ya kuvunjwa makubaliano ya nyuklia ya Iran huku akisisitiza kuwa mapatano hayo ni ushindi muhimu wa kidiplomasia ambayo yanapaswa kulindwa.
-
Ujumbe wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Yemen kwa UN kuhusu kuuawa Saleh al Sammad
Apr 29, 2018 03:25Wizara ya Mambo ya Nje ya Yemen imetuma ujumbe kwa Umoja wa Mataifa na kuitaja hatua ya Saudi Arabia ya kumuuwa Saleh al Sammad aliyekuwa Mkuu wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya Ansarullah ya Yemen kuwa ni jinai ya kivita.
-
UN: Watu 4,000 wamekimbia mapigano mapya Myanmar
Apr 28, 2018 03:13Umoja wa Mataifa umesema watu zaidi ya elfu nne wamekimbia mapigano mapya kati ya wanajeshi wa Myanmar na genge moja la kikabila katika muda wa wiki chache zilizopita, kaskazini mwa nchi.
-
Wafanyakazi 10 wa UN watoweka Sudan Kusini
Apr 26, 2018 23:30Afisa mmoja wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa wafanyakazi wasiopungua 10 wa umoja huo nchini Sudan Kusini wametoweka na hawajulikani waliko.
-
Sisitizo la Katibu Mkuu wa UN la kuwepo umoja huko Syria
Apr 25, 2018 23:20Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa kuwepo umoja na uthabiti nchini Syria ni jambo lenye udharura.