-
Trump ashadidisha vita vya kibiashara dhidi ya Mexico, EU
Jul 13, 2025 06:04Rais Donald Trump wa Marekani ametishia kuziwekea bidhaa zinazoingia nchini humo kutoka Mexico na Umoja wa Ulaya ushuru wa asilimia 30 kuanzia Agosti Mosi.
-
Kwa nini mizozo ya madola ya Ulaya kuhusu jinsi ya kukabiliana na vita vya ushuru vya Trump imeongezeka?
Jul 08, 2025 13:29Rais wa Marekani Donald Trump kwa mara nyingine tena ameibua vita vya kibiashara na ulimwengu kwa kutangaza kwamba, ataamua kiwango cha ushuru wa bidhaa zinazoagizwa kutoka nje kwa kutuma barua kwa nchi 12 kuanzia Jumatatu ya jana, Julai 7.
-
EU kuchunguza uwezekano wa kuweka vikwazo dhidi ya Israel
Jul 06, 2025 03:16Umoja wa Ulaya unatazamiwa kuchunguza suala la kuweka vikwazo dhidi ya maafisa wa utawala ghasibu wa Israel na walowezi wa Kizayuni na kupiga marufuku uuzaji wa silaha kwa utawala huo kutokana na ukiukaji wa haki za binadamu.
-
Jibu thabiti la Araghchi kwa msimamo wa kimihemko wa Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya
Jul 05, 2025 03:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Sayyid Abbas Araghchi ametoa jibu thabiti kwa kauli ya hivi majuzi ya Kaja Kallas, Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya, kwamba mazungumzo yoyote yale yatakayofanyika, lengo lake liwe ni "kufuta moja kwa moja mpango wa nyuklia wa Iran".
-
Iran: EU ikishinikiza turejeshewa vikwazo vya UN, tutajitoa NPT
Jun 12, 2025 02:53Iran imeonya kwamba, huenda ikatumia haki yake ya kisheria ya kujiondoa kwenye Mkataba wa Kuzuia Uzalishaji na Uenezaji wa Silaha za Nyuklia (NPT) ikiwa mataifa ya Ulaya yataendelea na jaribio lisilo na msingi wa kisheria la kuamilisha mchakato wa kurejeshwa vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Austria, nchi ya EU yashuhudia ongezeko la wasiojua kusoma, kuandika
Jun 01, 2025 07:05Karibu thuluthi moja ya watu nchini Austria wana uwezo mdogo wa kusoma, jambo linaloashiria ongezeko la kuogofya la watu wasiojua kusoma na kuandika nchini humo, ofisi ya takwimu za serikali ya nchi hiyo ya Umoja wa Ulaya imesema.
-
Trump aitishia EU kwa ushuru wa forodha wa 50%
May 24, 2025 06:51Rais wa Marekani Donald Trump amependekeza "ushuru wa moja kwa moja wa 50%" kwa nchi zote za Umoja wa Ulaya, akitaja nakisi ya biashara ya dola milioni 250 kila mwaka na umoja huo. Amependekeza kuwa kiwango hicho kipya cha ushuru kianze kutekelezwa Juni 1.
-
Umoja wa Ulaya kutazama upya mkataba wa ushirikiano wake na Israel
May 23, 2025 02:40Kufuatia kushadidi jinai za utawala wa kibaguzi wa Israel huko Gaza na kuibuliwa mzozo wa kibinadamu usio na mfano wake katika ukanda huo unaozingirwa, Umoja wa Ulaya umeanza kufanyia marekebisho makubwa mapatano ya biashara na ushirikiano kati yake na Israel.
-
Amnesty International yataka mataifa ya Ulaya yaisusie kikamilifu Israel
May 22, 2025 12:51Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limetoa wito wa kususiwa kabisa utawala wa Kizayuni wakati huu ambapo baadhi ya mataifa ya bara Ulayaa yanachukua hatua za kuutenga utawala huo kutokana na jinai zake huko Gaza.
-
Umoja wa Ulaya na juhudi za kupata washirika wapya wa kibiashara
May 07, 2025 02:19Vitendo vya Rais Donald Trump wa Marekani hususan kuanza kwa vita vya kibiashara na dunia ambavyo vimesababisha machafuko katika mfumo wa uchumi na biashara wa kimataifa, vimeufanya Umoja wa Ulaya kutaka kupanua na kuimarisha uhusiano wake na nchi za Bahari ya Pasifiki (Trans-Pacific).