-
Medvedev atabiri kugawanyika Marekani, Ulaya; Elon Musk kuwa rais wa Marekani mwaka 2023
Dec 28, 2022 00:54Dmitry Medvedev, Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia, amewasilisha utabiri wake wa mwaka mpya wa 2023 unaojumuisha hatima mbaya kwa Merekani na Umoja wa Ulaya, ambazo zimekuwa kwenye mzozo mkali na Russia tangu kuanza kwa vita nchini Ukraine tarehe 14 Februari mwaka huu.
-
Kukatwa matangazo ya kanali za Irani na Russia katika satelaiti ya Eutelsat; ishara ya ukiukaji wa uhuru wa kujieleza
Dec 23, 2022 05:00Shirika la satelaiti la Utelsat limepata hasara ya euro milioni kadhaa kutokana na uamuzi wake wa kukata matangazo ya kanali za Iran na Russia kwenye satelaiti hiyo.
-
Mazungumzo ya Josep Borrell na Amir-Abdollahian nchini Jordan; msimamo baridi wa Umoja wa Ulaya
Dec 20, 2022 22:46Jumanne ya jana tarehe 20 Disemba, Waziri wa Mashauri ya Kiigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alikutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya pambizoni mwa mkutano wa Baghdad-2 uliofanyika katika mji mkuu wa Jordan, Amman.
-
Maelfu ya wahajiri wamepigwa na kudhalilishwa katika mipaka ya EU
Dec 09, 2022 22:52Ripoti mpya iliyotolewa na shirika moja la kutetea haki za binadamu imefichua kuwa, maelfu ya wahajiri walipewa kichapo cha mbwa, baadhi wakadhalilishwa na wengine wakazuiliwa kinyume cha sheria kabla ya kurejeshwa waliokotoka na askari wa mipaka ya nchi za Umoja wa Ulaya.
-
Wasiwasi kuhusu hasara za Ulaya katika vita vya Ukraine
Dec 05, 2022 04:16Baada ya kupita takriban miezi 10 tangu kuanza vita vya Ukraine na thari zake mbaya, mkuu wa Baraza la Ulaya amekiri kwamba, nchi za bara hilo zimepata hasara zaidi katika vita hivyo kuliko Marekani.
-
Ukosoaji wa Moscow kwa msimamo mpya wa Umoja wa Ulaya na Ujerumani kuhusu mfumo mpya wa usalama wa Ulaya
Dec 03, 2022 23:09Sergei Lavrov Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amekosoa matamshi ya Josep Borrell Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya na Annalena Baerbock Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani kuhusu ulazima wa kuanzishwa mfumo mpya wa usalama wa Ulaya dhidi ya Moscow.
-
Bunge la EU launga mkono ghasia nchini Iran, lavunja uhusiano na Tehran
Nov 22, 2022 04:42Katika hatua isiyo ya kidiplomasia na inayolenga kushajiisha zaidi fujo na ghasia hapa nchini Iran, Bunge la Umoja wa Ulaya limetangaza kukata uhusiano na Jamhuri ya Kiislamu.
-
Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya na Uingereza dhidi ya Iran; mkinzano wa vitendo na kaulimbiu
Nov 15, 2022 06:13Jumatatu ya jana tarehe 14 Novemba, Umoja wa Ulaya na Uingereza zilitangaza kuiwekea vikwazo vipya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika hatua iliyopangwa na kuratibiwa baina ya pande mbili hizo.
-
Utafiti: Theluthi moja ya Wazungu wamenyanyaswa kingono wakati wa masomo vyuoni
Nov 08, 2022 23:31Uchunguzi uliofanyika barani Ulaya uliochapishwa Jumatatu wiki hii umeonyesha kwamba karibu thuluthi moja ya wanafunzi au wafanyakazi katika vyuo vikuu wamepitia aina fulani ya unyanyasaji wa kingono.
-
Mkuu wa sera za nje wa EU atoa madai mapya kuhusu mazungumzo ya Vienna
Nov 08, 2022 04:37Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya ametoa madai mapya kuhusu mazungumzo ya Vienna ya uondoaji vikwazo dhidi ya Iran pasina kuashiria chochote kuhusu kujiondoa kinyume cha sheria Marekani katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA na jinsi nchi za Ulaya zilivyohalifu ahadi zao kuhusiana na makubaliano hayo.