Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Ulaya

  • Wanaopinga 'Brexit' waandamana wakitaka UK ijiunge tena na EU

    Wanaopinga 'Brexit' waandamana wakitaka UK ijiunge tena na EU

    Oct 24, 2022 00:30

    Makumi ya maelfu ya watu wamefanya maandamano katika mji mkuu wa Uingereza, London wakishinikiza nchi hiyo irejee katika Umoja wa Ulaya.

  • Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran kwa kutegemea madai yasiyo na msingi

    Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran kwa kutegemea madai yasiyo na msingi

    Oct 21, 2022 07:14

    Siku ya Alhamisi, Oktoba 20, Umoja wa Ulaya ulitangaza vikwazo vipya dhidi ya Iran kwa kutegemea madai ambayo hayajathibitishwa kuhusu kushiriki ndege zisizo na rubani zilizotengenezwa na Iran katika vita vya Ukraine.

  • Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran; kuiga mdundo wa ngoma inayopigwa na Marekani

    Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran; kuiga mdundo wa ngoma inayopigwa na Marekani

    Oct 19, 2022 09:38

    Katika mwendelezo wa uungaji mkono wa nchi za Magharibi kwa machafuko ya hivi karibuni nchini Iran, Umoja wa Ulaya siku ya Jumatatu ulitangaza vikwazo kadhaa dhidi ya Waziri wa Mawasiliano wa Iran, Polisi ya Usalama wa Maadili, Jeshi la Polisi na kitengo cha kupambana na hujuma za intaneti cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, IRGC.

  • Kukiri Borrell kwamba Ulaya inahitajia mno nishati ya bei nafuu ya Russia

    Kukiri Borrell kwamba Ulaya inahitajia mno nishati ya bei nafuu ya Russia

    Oct 12, 2022 23:02

    Josep Borrell, mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya amekiri kuwa bara hilo linahitajia mno nishati ya bei rahisi ya Russia na kwamba uchumi wa bara hilo utakumbwa na matatizo mengi iwapo hakutapatikana vyanzo vingine rahisi vya nishati.

  • Nchi za Ulaya zitakabiliwa na hali ngumu katika msimu wa baridi kali

    Nchi za Ulaya zitakabiliwa na hali ngumu katika msimu wa baridi kali

    Oct 08, 2022 04:14

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema Ulaya itakabiliwa na matatizo mengi katika kujidhaminia gesi wakati wa msimu wa baridi wa mwaka huu.

  • Onyo la Iran kwa Umoja wa Ulaya

    Onyo la Iran kwa Umoja wa Ulaya

    Oct 07, 2022 07:27

    Hossein Amir Abdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatano alifanya mazungumzo kwa njia ya simu na Josep Borrell, mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya.

  • Abdollahian: Serikali itakabiliana na wafanya fujo, magaidi kwa misingi ya sheria

    Abdollahian: Serikali itakabiliana na wafanya fujo, magaidi kwa misingi ya sheria

    Oct 06, 2022 04:04

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameuonya Umoja wa Ulaya dhidi ya kuingilia masuala ya ndani ya Jamhuri ya Kiislamu na kusisitiza kuwa, serikali ya Tehran itakabiliana na wafanya fujo na magaidi kwa kuzingatia misingi ya sheria za nchi hii.

  • Iran: Tutatoa jibu iwapo EU itaendelea na tabia yake ya uingiliajii

    Iran: Tutatoa jibu iwapo EU itaendelea na tabia yake ya uingiliajii

    Oct 06, 2022 00:11

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametahadharisha kuwa, Tehran itatoa jibu mwafaka iwapo Umoja wa Ulaya utaendelea na tabia yake ya kungilia masuala ya ndani ya Jamhuri ya Kiislamu.

  • Mkutano wa ushirikiano wa Israel na EU wakosolewa

    Mkutano wa ushirikiano wa Israel na EU wakosolewa

    Oct 04, 2022 04:16

    Mashirika ya kutetea haki za binadamu ya Palestina yamelaani mkutano wa ushirikiano baina ya utawala wa Kizayuni wa Israel na Umoja wa Ulaya, wakati huu ambapo utawala huo haramu umeshadidisha hujuma na mbinyo dhidi ya Wapalestina.

  • Umoja wa Ulaya wapendekeza kifurushi cha vikwazo vipya dhidi ya Russia

    Umoja wa Ulaya wapendekeza kifurushi cha vikwazo vipya dhidi ya Russia

    Sep 29, 2022 04:27

    Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya jana usiku alipendekeza duru mpya ya vikwazo dhidi ya Moscow; vikiwemo vikwazo katika bei ya mafuta na kuizuia Russia kuuza mafuta yake ya kiasi cha dola bilioni 7.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS