-
Borell apendekeza China iwe mpatanishi kati ya Russia na Ukraine
Mar 06, 2022 00:52Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amependekeza nchi ya tatu iwe mpatanishi wa kumaliza mivutano kati ya Russia na Ukraine.
-
Ombi la Ukraine la kujiunga na Umoja wa Ulaya limekubaliwa
Mar 02, 2022 10:12Bunge la Ulaya limepitisha ombi la Ukraine la kujiunga na jumuiya hiyo kwa kura 637 za 'ndiyo' 13 za 'hapana' huku wajumbe 26 wakiamua kutopiga kura.
-
Vikwazo vyenye wigo mpana vya Wamagharibi dhidi ya Russia
Feb 25, 2022 10:03Baada ya Russia kuchukua uamuzi wa kuishambuulia kijeshi Ukraine, kambi ya magharibi imeonyesha radiamali katika fremu ya kuiwekea vikwazo Moscow ambapo kabla ya hapo madola hayo yalikuwa yameahidi kuchukua uamuzi huo.
-
EU: Mazungumzo ya Vienna yamefika katika marhala hasasi
Feb 22, 2022 23:10Naibu Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema mazungumzo ya Vienna yenye lengo la kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yanaelekea ukingoni, na hivi sasa yako katika marhala hasasi na nyeti.
-
Undumakuwili wa Umoja wa Ulaya: Mapigano Yemen yanaweza kuhitimishwa kwa njia ya kisiasa tu
Jan 18, 2022 03:47Umoja wa Ulaya umetoa taarifa katika radiamali yake kwa mashambulizi ya kuadhibu ya jeshi la Yemen huko Abu Dhabi na kusisitiza kuwa mapigano yanayoendelea Yemen yanaweza kupatiwa ufumbuzi kwa njia ya kisiasa tu.
-
Vifo na wasiwasi wa wakimbizi katika safari ya kuelekea Ulaya
Dec 30, 2021 23:19Huku mizozo ya kisiasa na kiuchumi ikiendelea kupanuka Asia Magharibi na katika nchi nyingi za Afrika, wimbi la watu wanaotafuta hifadhi na wakimbizi barani Ulaya linaendelea kwa kasi kubwa.
-
Borell asisitiza ushirikiano wa masharti kati ya Brussels na Taliban
Dec 15, 2021 03:53Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa udharura wa kuwepo ushirikiana na kundi la Taliban lakini ushirikiano huo unapaswa kufanyika kwa masharti.
-
Umoja wa Ulaya: Hatutaitambua serikali ya Taliban Afghanistan
Nov 28, 2021 04:32Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya amesisitiza kuwa umoja huo hautaitambua serikali ya kundi la Taliban inayotawala nchini Afghanistan.
-
Afrika Kusini yaikosoa UK kwa kusimamisha safari za ndege, kisa spishi mpya ya corona
Nov 27, 2021 01:08Afrika Kusini imeikosoa vikali serikali ya Uingereza kwa kupiga marufuku raia wa hiyo pamoja na nchi za Botswana, Namibia, Zimbabwe, Lesotho na Eswatini kuingia katika nchi hiyo ya Ulaya, kufuatia kugunduliwa spishi mpya ya corona kwa jina B.1.1.529 katika nchi hiyo ya kusini mwa Afrika.
-
Umoja wa Mataifa wakosoa vitendo vya mabavu vya nchi za Ulaya dhidi ya wakimbizi
Nov 13, 2021 08:19Akizungumza katika bunge la Ulaya Filippo Grandi Kamishna Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR amekosoa vitendo vya mabavu na ukandamizaji wa Umoja wa Ulaya dhidi ya wakimbizi na kusisitiza kuwa siku zote na mara kwa mara tunashuhudia raia wanaotafuta hifadhi barani Ulaya wakifukuzwa kwa mabavu na visingizio vya kisheria kutumika katika kuwanyima hifadhi raia hao.