-
Taarifa ya Ulaya kuhusu hatua ya Iran; ulazima wa kutekelezwa ahadi badala ya kudhihirishwa masikitiko
May 10, 2019 21:46Baada ya Marekani kutangaza kujitoa katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia, JCPOA, mnamo tarehe 8 Mei mwaka uliopita, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilitaraji kwamba kundi la 4+1 na hasa troika ya Ulaya na Umoja wa Ulaya, lingechukua hatua za kupunguza madhara ya Marekani kuanza kutekeleza tena vikwazo vya nyuklia dhidi ya Iran.
-
Radiamali ya Umoja wa Ulaya kuhusu maamuzi ya Iran, matarajio ya kulindwa JCPOA bila kutolewa fursa
May 09, 2019 02:47Mapatano ya nyuklia maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA yalifikiwa mjini Vienna mwezi Julai 2015 kati ya Iran na kundi la 5+1, huku utekelezaji wake ukiwa ulianza mwezi Januari 2016.
-
Sisitizo jipya la Ufaransa la kuheshimu mapatano ya JCPOA
Apr 16, 2019 21:56Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ulitiwa saini kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kundi la 5+1 mnamo tarehe 14 Julai 2015, na kuanza kutekelezwa rasmi tarehe 16 Januari 2016.
-
EU yatakiwa kupinga njama za Marekani dhidi ya Wapalestina "Muamala wa Karne"
Apr 16, 2019 09:45Viongozi na wanasiasa waandamizi wa zamani wa Ulaya wameuandikia barua Umoja wa Ulaya, wakiuasa usikubali kuunga mkono mpango wa Marekani wenye njama dhidi ya Wapalestina uliopewa jina la "Muamala wa Karne".
-
Raia wa Italia waandamana mbele ya bunge la EU kupinga mauaji ya raia wa Yemen
Apr 16, 2019 02:38Kundi la wanaharakati nchini Italia limefanya maandamano mbele ya bunge la Umoja wa Ulaya kupinga mwendelezo wa mauaji dhidi ya raia wa Yemen unaofanywa na utawala wa Aal-Saud wa Saudia pamoja na washirika wake na pia kimya cha viongozi wa nchi za Magharibi kuhusiana na maafa yanayoshuhudiwa ndani ya nchi hiyo masikini ya Kiarabu.
-
Ufaransa: EU itaendelea kushirikiana na Iran licha ya tangazo la Marekani dhidi ya IRGC
Apr 13, 2019 03:37Ufaransa imesema itaendelea kushirikiana na Iran licha ya hatua ya Marekani ya kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC katika orodha yake ya makundi ya kigaidi.
-
China na Umoja wa Ulaya zatangaza tena kuunga mkono mapatano ya nyuklia ya JCPOA
Apr 12, 2019 10:49Mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya Iran maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA) yanahesabiwa kuwa mapatano muhimu sana katika fremu ya usalama na amani ya kimataifa. Lakini pamoja na hayo, mnamo Mei 8 mwaka 2018, Marekani ilichukua uamuzi wa pande moja na kujiondoa katika mapatano hayo.
-
Sisitizo la Mogherini la kupinga EU umiliki wa Israel wa milima ya Golan ya Syria
Mar 31, 2019 22:21Ikiwa ni katika kuendelea kujikomba kwa lobi za Kizayuni, rais wa Marekani Donald Trump, tarehe 25 Machi, 2019 alitambua rasmi kumilikiwa na Israel milima ya Golan ya Syria.
-
Waingereza waandamana London kutaka kufanyika kura mpya ya maoni kuhusu Brexit
Mar 24, 2019 03:01Mamia ya maelfu ya wananchi wa Uingereza wamefanya maandamano katika mji mkuu London, kushinikiza kufanyika kura mpya ya maoni kuhusu suala la kujitoa nchi hiyo katika Umoja wa Ulaya (Brexit).
-
Kuzidi kutengwa Marekani baada ya Ulaya kupinga madai ya Trump kuhusu milima ya Golan ya Syria
Mar 22, 2019 19:59Utawala wa Kizayuni wa Israel una historia ndefu ya kuvamia na kukalia kwa mabavu ardhi za watu wengine. Utawala huo pandikizi na vamizi ulishambulia na kuteka milima ya Golan ya Syria katika vita vya siku sita vya mwaka 1967.