-
Sudan yaendelea kugubikwa na maandamano ya kumtaka Rais al-Bashir aachie madaraka
Mar 22, 2019 03:49Maandamano ya kupinga serikali ya Rais Omar Hassan al-Bashir wa Sudan yameendelea kushuhudiwa katikak miji mbalimbali ya nchi hiyo ukiwemo mji mkuu Khartoum.
-
UN na EU zaalikwa mkutano wa OIC wa kujadili chuki dhidi ya Uislamu
Mar 21, 2019 11:27Umoja wa Mataifa, Umoja wa Ulaya na Jumuiya ya Usalama na Ushirikiano wa Ulaya zimealikwa kushiriki kikao cha dharura cha mawaziri wa mambo ya nje wa nchi wanachama katika Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kitakachofanyika mjini Istanbul huko Uturuki kesho Ijumaa.
-
Jarida la Marekani: Trump amepelekea nchi yetu itengwe na Ulaya
Mar 09, 2019 03:46Jarida moja la nchini Marekani limemlaumu vikali rais wa nchi hiyo, Donald Trump kwa siasa zake mbovu za kimataifa na kusema kuwa, Trump amepelekea Marekani itengwe na nchi za Ulaya.
-
Theresa May: Huenda hatutaondoka Umoja wa Ulaya
Mar 09, 2019 00:51Waziri Mkuu wa Uingereza amedhihirisha msimamo mpya ambapo amesema kuwa kuna uwezekano nchi hiyo isijitoe katika Umoja wa Ulaya.
-
Nchi 36 zikiwemo za EU zakosoa uvunjaji wa haki za binadamu wa Saudia
Mar 08, 2019 04:17Kwa mara ya kwanza, nchi 36 zikiwemo 28 za Umoja wa Ulaya zimeijia juu Saudi Arabia kutokana na rekodi yake ya kutisha ya kukiuka haki za binadamu.
-
Sisitizo la Ulaya la kulinda makubaliano ya JCPOA na kukosolewa uamuzi wa Marekani
Mar 06, 2019 23:22Hata kama makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA, ni mapatano muhimu kwa ajili ya kulinda amani na usalama wa kimataifa, lakini Marekani ilichukua uamuazi wa upande mmoja wa kujitoa katika mapatano hayo tarehe 8 mwezi Mei mwaka uliopita.
-
Nchi za Umoja wa Ulaya zajizuia kuiweka Saudia katika orodha ya utakatishaji wa fedha
Mar 02, 2019 04:15Katika miaka ya hivi karibuni, Saudi Arabia imekuwa na nafasi muhimu katika uhalifu wa makundi ya magaidi wakufurishaji katika Mashariki ya Kati na maeneo mengine duniani, kwa kuwapa magaidi hao misaada ya kila upande.
-
Umoja wa Ulaya waitaka Pakistan ichukue hatua za kuwashughulikia magaidi
Feb 25, 2019 12:08Umoja wa Ulaya umeitaka serikali ya Pakistan ichukue hatua za wazi na endelevu dhidi ya makundi ya kigaidi yanayoendesha harakati zao katika nchi hiyo.
-
Kiongozi Muadhamu: Marekani imo katika kudhoofika; maafisa wa serikali wawe macho na hila za madola ya Ulaya
Feb 18, 2019 11:46Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu upo katika nafasi nzuri kabisa huku kambi ya Uistikbari inayoongozwa na Marekani ikiwa katika mazingira ya kudhoofika kabisa.
-
Ulaya yasisitiza tena kulinda makubalino ya nyuklia ya JCPOA
Feb 16, 2019 10:09Licha ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kuwa na umuhimu mkubwa katika kudumisha amani na usalama wa kimataifa, lakini Marekani mwezi Mei mwaka jana ilijitoa kwenye makubaliano hayo ili kuyasambaratisha.