Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

utawala wa Aal Khalifa

  • Utawala wa Aal Khalifa wapuuza maambukizi ya corona katika jela wanamoshikiliwa wanamapinduzi wa Bahrain

    Utawala wa Aal Khalifa wapuuza maambukizi ya corona katika jela wanamoshikiliwa wanamapinduzi wa Bahrain

    Mar 30, 2021 02:32

    Harakati ya Al Wifaq ya Bahrain imesema ina wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa kiwango cha maambukizi ya corona kwa wafungwa wanamapinduzi na jinsi utawala wa nchi hiyo wa Aal Khalifa unavyolipuuza suala hilo.

  • Wanaharakati wa haki za binadamu watiwa wasiwasi na ukiukaji mkubwa wa haki za watoto nchini Bahrain

    Wanaharakati wa haki za binadamu watiwa wasiwasi na ukiukaji mkubwa wa haki za watoto nchini Bahrain

    Feb 19, 2021 13:49

    Wanaharakati wa haki za binadamu na waangalizi wa kimataifa wamesema wanatiwa wasiwasi na hatua za utawala wa Aal Khalifa za kuwakamata na kuwaweka korokoroni watoto wadogo nchini Bahrain.

  • Ongezeko la ukandamizaji wa utawala wa Aal Khalifa dhidi ya Wabahrain katika mwaka wa 10 wa mwamko wao

    Ongezeko la ukandamizaji wa utawala wa Aal Khalifa dhidi ya Wabahrain katika mwaka wa 10 wa mwamko wao

    Feb 12, 2021 12:55

    Wakati ukikaribia mwaka wa 10 tokea uanze mwamko wa wananchi wa Bahrain dhidi ya utawala wa ukoo wa Aal Khalifa nchini humo, utawala huo dhalimu umeshadidisha ukandamizaji na utumiaji mabavu dhidi ya wananchi wanaotaka mabadiliko.

  • Sheikh Ali Salman; kutolewa hatiani na hatimaye kuhukumiwa kifungo cha maisha jela na utawala wa Bahrain

    Sheikh Ali Salman; kutolewa hatiani na hatimaye kuhukumiwa kifungo cha maisha jela na utawala wa Bahrain

    Jan 01, 2021 10:10

    Sambamba na kutimia mwaka wa sita tangu Sheikh Ali Salman awekwe korokoroni, wananchi wa Bahrain wameandamana kutaka Katibu Mkuu huyo wa harakati ya Kiislamu ya Al-Wifaq ya nchi hiyo aachiiwe huru.

  • Wabahrain waandamana kupinga makubaliano ya kuanzisha uhusiano na utawala ghasibu wa Israel

    Wabahrain waandamana kupinga makubaliano ya kuanzisha uhusiano na utawala ghasibu wa Israel

    Sep 13, 2020 12:50

    Wananchi wa Bahrain leo wamejitokeza kwa wingi katika maandamano ya kupinga hatua ya utawala wa nchi hiyo ya kufikia makubaliano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Israel.

  • Sheikh Isa Qassim asisitiza kuendelezwa muqawama Bahrain kukabiliana na utawala wa Aal Khalifa

    Sheikh Isa Qassim asisitiza kuendelezwa muqawama Bahrain kukabiliana na utawala wa Aal Khalifa

    Jul 23, 2020 04:16

    Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain amesema, wanaowanyima na kuwazuia wananchi wa Bahrain haki yao ya kulalamika ni watu wajeuri na wachokozi na akasisitiza kwamba, muqawama wa wananchi hao wa kukabiliana na utawala wa Aal Khalifa ungali unaendelea.

  • Malengo ya madai yasiyo na msingi ya Bahrain dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Malengo ya madai yasiyo na msingi ya Bahrain dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Jul 01, 2020 07:49

    Abdullatif bin Rashid al Zayani, waziri wa mambo ya nje wa utawala wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain amesema katika mkutano na waandishi wa habari alioufanya kwa pamoja na Brian Hook, mjumbe maalumu wa serikali ya Marekani katika masuala ya Iran kwamba eti Iran inaingilia masuala ya ndani ya nchi za eneo hili ikiwemo Bahrain.

  • Bahrain yamhukumu kifungo cha miaka 3 raia wa nchi hiyo aliyechoma moto bendera ya Israel

    Bahrain yamhukumu kifungo cha miaka 3 raia wa nchi hiyo aliyechoma moto bendera ya Israel

    Feb 19, 2020 05:55

    Mahkama moja nchini Bahrain imemuhukumu kifungo cha miaka mitatu raia wa nchi hiyo kwa kosa la kuchoma moto bendera ya utawala haramu wa Israel.

  • Al-Wifaq: Ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaendelea kufanyika katika magereza ya Bahrain

    Al-Wifaq: Ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaendelea kufanyika katika magereza ya Bahrain

    Dec 18, 2019 08:02

    Jumuiya ya Kitaifa ya Kiislamu ya al Wifaq ya Bahrain imetangaza katika ripoti yake kwamba, utawala wa kifamilia wa nchi hiyo wa Aal Khalifa unaendelea kukiuka pakubwa haki za wafungwa katika magereza ya nchi hiyo.

  • Jumuiya ya Al-Wifaq: Bahrain imegeuzwa na kuwa jela kubwa

    Jumuiya ya Al-Wifaq: Bahrain imegeuzwa na kuwa jela kubwa

    Nov 15, 2019 07:58

    Jumuiya ya Mwafaka wa Kiislamu na Kitaifa nchini Bahrain (Al Wifaq) imetangaza kuwa, hatua za utawala wa nchi hiyo wa Aal Khalifa zimeigeuza Bahrain na kuwa jela kubwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS