-
Al Wefaq: Marekani na baadhi ya nchi za Kiarabu zimechochea kutolewa hukumu ya kifungo cha maisha jela dhidi Ali Salman
Nov 06, 2019 03:06Jumuiya ya Ali Salman ya nchini Bahrain imesema kuwa, Marekani na baadhi ya nchi za Kiarabu zimehusika katika kutolewa hukumu ya kifungo cha maisha jela dhidi ya Sheikh Ali Salman, Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo.
-
Mwanaharakati wa Bahrain afichua vitendo vya kinyama alivyofanyiwa ikiwa ni pamoja na kubakwa
Oct 28, 2019 13:16Najah Yusuf, mwanaharakati wa kisiasa wa nchini Bahrain amefichua vitendo vya kinyama na ukatili aliofanyiwa ikiwa ni pamoja na kubakwa na maafisa wa polisi wa utawala wa Aal Khalifa wakati alipokuwa akishikiliwa gerezani.
-
Jumuiya ya Al-Wifaq Bahrain yatoa wito wa maandamano ya kulaani jinai za utawala wa Aal Khalifa
Jul 27, 2019 13:55Jumuiya ya kitaifa na Kiislamu nchini Bahrain ya Al-Wifaq, imetoa wito kwa wananchi kufanya maandamano ya kulaani na kulalamikia jinai ya utawala wa Aal Khalifa wa kuwanyonga vijana wawili kwa tuhuma hewa.
-
Utawala wa Aal Khalifa wa Bahrain waidhinisha kuwafutia uraia raia 46 wa nchi hiyo
Jul 01, 2019 07:56Mahakama ya Rufaa ya Bahrain jana ilitoa hukumu ya kuwafutia uraia raia 46 wa nchi hiyo.
-
Maandamano ya kupinga serikali yaendelea Bahrain, wanajeshi washambulia kinyama wafungwa
Apr 13, 2019 13:36Maandamano ya wananchi wa Bahrain ya kupinga utawala wa kiukoo na kupigania kuwa na utawala wa wananchi yanaendelea huku utawala wa kidikteta wa ukoo wa Aal Khalifa nao ukiendelea kukandamiza raia.
-
Taarifa ya makundi ya wanaharakati wa Bahrain ya kulaani uwepo wa wanajeshi ghasibu wa Saudi Arabia na Imarati nchini mwao
Mar 16, 2019 11:55Muungano wa Vijana wa Februari 14 na Harakati ya Kitaifa ya Kiislamu ya al Wifaq za nchini Bahrain zimelaani uwepo wa wanajeshi vamizi wa Saudi Arabia na Imarati nchini humo na kusisitizia haja ya kuendelezwa muqawama na kusima kidete kwa ajili ya kuhakikisha Wabahrain wenyewe ndio wanaojiamulia mustakbali wao.
-
Mahakama ya utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain yaidhinisha adhabu kali dhidi ya raia kadhaa
Mar 05, 2019 07:59Mahakama ya rufaa ya Bahrain imeidhinisha hukumu ya kifungo cha maisha jela na adhabu nyingine za vifungo vya muda mrefu kwa raia kadhaa wa nchi hiyo.
-
Kuanza mwaka wa tisa wa mwamko wa kimapinduzi wa watu wa Bahrain
Feb 15, 2019 02:49Februari 14 mwaka 2019, umetimiza mwaka wa nane tokea uanze mwamko wa kimapinduzi wa watu wa Bahrain dhidi ya utawala wa kiimla wa Aal Khalifa. Mapinduzi ya watu wa Bahrain dhidi ya utawala wa kifalme wa Aal Khalifa ambayo ni maarufu kama "Mapinduzi ya Lulu" yalianza Februari 14 mwaka 2011.
-
Harakati ya Al-Wifaq: Utawala wa Bahrain na Israel zina maslahi ya pamoja
Feb 14, 2019 08:09Harakati ya Al-Wifaq nchini Bahrain imetangaza kuwa, utawala wa kifamilia wa nchi hiyo wa Aal-Khalifa na utawala haramu wa Israel zina maslahi na manufaa ya pamoja.
-
Hali ya haki za binadamu Bahrain ni mbaya sana
Feb 13, 2019 02:32Kamati ya Kimatiafa ya Haki za Binadamu Eneo la Asia Magharibi imesema hali ya haki za binadamu inazidi kuwa mbaya nchini Bahrain ambapo ukoo wa Aal Khalifa ambao unatawala nchi hiyo umehusika na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.