Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

utawala wa Aal Khalifa

  • Mahakama ya utawala wa Bahrain yaidhinisha kifungo cha maisha jela kwa Sheikh Ali Salman

    Mahakama ya utawala wa Bahrain yaidhinisha kifungo cha maisha jela kwa Sheikh Ali Salman

    Jan 28, 2019 10:34

    Mahakama Kuu ya utawala wa Aal Khalifa imemhukumu kifungo cha maisha jela Sheikh Ali Salman Katibu Mkuu wa Jumuiya ya al Wifaq ya nchi hiyo. Jumuiya hiyo inatambulika kama chama kikuu kinachoupinga utawala wa Manama.

  • Mwaka 2019, mwaka mbaya zaidi kwa haki za binaadamu nchini Bahrain

    Mwaka 2019, mwaka mbaya zaidi kwa haki za binaadamu nchini Bahrain

    Jan 20, 2019 22:02

    Kamati ya watu waliotiwa mbaroni katika Ukanda wa Pwani nchini Bahrain imetangaza kwamba, katika jela ya Jau nchini Bahrain, maafisa usalama wa utawala wa Aal-Khalifa na katika kulipiza kisasi dhidi ya wafungwa wa kesi za uhuru wa kujieleza, wanatekeleza siasa za kuwatesa kwa njaa wafungwa hao.

  • Kongamano la kulaani jinai za serikali ya Bahrain lafanyika Beirut

    Kongamano la kulaani jinai za serikali ya Bahrain lafanyika Beirut

    Jan 17, 2019 04:14

    Washiriki wa Kongamano la Kimataifa la kulaani jinai za utawala wa Aal-Khalifa nchini Bahrain wamekosoa kimya cha jamii ya kimataifa mbele ya ukandamizaji wa serikali ya Manama kwa raia wake.

  • Ripoti: Wafungwa wa kisiasa Bahrain wana hali mbaya

    Ripoti: Wafungwa wa kisiasa Bahrain wana hali mbaya

    Jan 10, 2019 03:44

    Kituo cha Haki za Binadamu na Demokrasia nchini Bahrain kimetahadharisha kuhusu hali mbaya ya wanaharakati wa kutetea haki za binadamu waliofungwa katika jela za utawala wa Aal Khalifa nchini humo.

  • Serikali mpya ya Bahrain; dhihirisho la nembo kubwa zaidi ya Udikteta

    Serikali mpya ya Bahrain; dhihirisho la nembo kubwa zaidi ya Udikteta

    Dec 08, 2018 04:27

    Baada ya kufanyika uchaguzi wa kimaonyesho wa bunge nchini Bahrain, Mfalme Hamad bin Isa Aal Khalifa amemkabidhi tena jukumu la kuunda serikali mpya, mtu yule yule ambaye anajulikana kuwa waziri mkuu pekee katika historia ya nchi hiyo.

  • Utawala wa Aal Khalifa Bahrain washindwa kuhalalisha mamlaka yake

    Utawala wa Aal Khalifa Bahrain washindwa kuhalalisha mamlaka yake

    Dec 06, 2018 04:30

    Mkuu wa Jumuiya ya Haki za Binadamu na Demokrasia ya Bahrain amesema kuwa, jitihada za utawala wa Aal Khalifa za kuuhalalisha utawala huo kupitia ushiriki wa wananchi kwenye uchaguzi zimegonga mwamba.

  • Al Wifaq: Duru ya pili ya uchaguzi imeonyesha ukubwa wa mgogoro wa kisiasa ulioikumba Bahrain

    Al Wifaq: Duru ya pili ya uchaguzi imeonyesha ukubwa wa mgogoro wa kisiasa ulioikumba Bahrain

    Dec 02, 2018 11:21

    Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kitaifa ya Kiislamu ya Bahrain ya al Wifaq amesisitiza kuwa kufanyika duru ya pili ya uchaguzi wa bunge nchini humo si tu kuwa kumeonyesha kiwango cha matatizo ya kisiasa yaliyoisibu nchi hiyo lakini pia umedhihirisha namna uchaguzi huo ulivyokuwa wa kichekesho na kimaonyesho.

  • Kushadidi ukandamizaji nchini Bahrain wakati wa kukaribia uchaguzi wa kimaigizo wa Aal-Khalifa

    Kushadidi ukandamizaji nchini Bahrain wakati wa kukaribia uchaguzi wa kimaigizo wa Aal-Khalifa

    Nov 21, 2018 10:20

    Matukio yanayoripotiwa kutoka nchini Bahrain yanabainisha kushadidi anga ya ukandamizaji nchini humo wakati huu wa kukaribia uchaguzi wa kiagizo wa Bunge katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Kushtadi malalamiko ya wananchi wa Bahrain wakipinga uchaguzi wa bunge wa kimaonyesho

    Kushtadi malalamiko ya wananchi wa Bahrain wakipinga uchaguzi wa bunge wa kimaonyesho

    Nov 18, 2018 10:35

    Wananchi wa Bahrain kwa mara nyingine tena wamefanya maandamano wakilalamikia siasa za ukandamizaji za utawala wa Aal Khalifa na uchaguzi wa bunge wa kimaonyesho.

  • Al-Wifaq ya Bahrain yalaani hukumu ya kifungo cha maisha jela dhidi ya Sheikh Ali Salman

    Al-Wifaq ya Bahrain yalaani hukumu ya kifungo cha maisha jela dhidi ya Sheikh Ali Salman

    Nov 04, 2018 12:17

    Harakati ya Al-Wifaq nchini Bahrain imelaani hukumu ya kifungo cha maisha jela iliyotolewa dhidi ya Katibu Mkuu wake Sheikh Ali Salman.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS