-
Wimbi la pili la maandamano ya wananchi nchini Bahrain laanza kwa mnasaba wa Februari 14
Feb 14, 2018 13:19Wimbi la pili la maandamano na harakati ya malalamiko ya wananchi nchini Bahrain kwa mnasaba wa mwaka wa saba wa mapinduzi ya tarehe 14 Februari, limeanza jioni ya leo Jumatano katika maeneo tofauti ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Utawala wa Bahrain wawahukumu makumi ya raia adhabu ya kifo, kifungo cha maisha jela na kuwavua uraia
Jan 31, 2018 11:57Mahakama ya Jinai ya Bahrain leo imeendeleza sera kandamizi za utawala wa kiimla wa Aal Khalifa kwa kuwahukumu adhabu ya kifo, kifungo cha maisha jela na kuwavua uraia makumi ya raia wa nchi hiyo.
-
Mkuu wa Kituo cha Haki za Binadamu Bahrain: Hukumu dhidi ya wapinzani ni ulipizaji kisasi
Jan 25, 2018 10:06Mkuu wa Kituo cha Haki za Binadamu cha nchini Bahrain amesema kuwa hukumu zilizotolewa na mahakama dhidi ya wapinzani nchini humo ni za kisiasa na ulipizaji kisasi.
-
Utawala wa Bahrain waendelea kuwakandamiza wapinzani
Jan 23, 2018 10:42Utawala wa kiimla wa Bahrain unaendelea kutumia wanajeshi wake kuwakandamiza wananchi wanaoandamana kwa amani wakitaka utawala wa demokrasia katika nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi.
-
Mwakilishi wa Baraza la Maulama Bahrain: Waislamu wanahitajia umoja ili kuzifukuza Marekani na Israel katika eneo
Dec 06, 2017 11:45Sheikh Abdullah al Daqaq mwakilishi wa Baraza la Maulama la Bahrain na ambaye pia ni mwakilishi wa Ayatullah Sheikh Issa Qassim wa nchi hiyo amesisitiza hapa Tehran juu ya umuhimu wa kuwa na umoja katika hali ya hivi sasa katika ulimwengu wa Kiislamu na kueleza kuwa Waislamu wanahitajia umoja ili kuzifukuza Marekani na Israel katika eneo.
-
Utawala wa Bahrain umekusudia kumuua kwa njia isiyo ya moja kwa moja Ayatullah Sheikh Isa Qassim
Dec 03, 2017 03:46Mjumbe mwandamizi wa Umoja wa Maulamaa wanaounga mkono Muqawama amesema hatua za utawala wa Bahrain dhidi ya kiongozi wa kidini wa nchi hiyo Ayatullah Sheikh Isa Qassim ni sawa na kumuua mwanazuoni huyo wa Kiislamu kwa njia isiyo ya moja kwa moja.
-
Wafungwa wa kisiasa Bahrain wazuiliwa kuwa na mawasiliano yoyote na nje ya jela
Nov 19, 2017 04:25Duru zenye uhusiano na familia ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kitaifa ya al-Wifaq nchini Bahrain, zimeeleza kuwa utawala wa Aal-Khalifa umemwekea vizuizi vikubwa Sheikkh Ali Salman na shakhsia wengine mashuhuri wanaoshikiliwa katika jela za nchi hiyo.
-
Al-Wifaq: Tuhuma dhidi ya Sheikh Ali Salman ni za uzushi na za ulipizaji kisasi kwa Qatar
Nov 03, 2017 04:07Shaikh Hussain Al Daihi, Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya al-Wifaq ya nchini Bahrain amesema kuwa, tuhuma dhidi ya Sheikh Ali Salman, Katibu Mkuu wa harakati hiyo, ni za kubuni na ni za kulipiziana kisasi Bahrain na Qatar.
-
Hatua kandamizi za usalama zashadidishwa Bahrain sambamba na kukaribia mwezi wa Muharram
Sep 12, 2017 03:21Utawala wa Aal Khalifa umeweka sheria kali za usalama nchini Bahrain sambamba na kukaribia mwezi mtukufu wa Muharram.
-
Kuendelea jinai za utawala wa Aal Khalifa katika kivuli cha himaya ya pande zote ya Marekani
Sep 10, 2017 02:56Wizara ya Ulinzi ya Marekani Pentagon imetangaza kuwa, nchi hiyo imeafiki mpango wa kuuzia silaha utawala wa kifalme wa Bahrain wa Aal Khalifa wenye thamani ya takribani dola bilioni nne na ambao unajumuisha ndege za kivita aina ya F-16, makombora na boti za doria.