-
Mzingiro wa eneo la Ad-Diraz watimiza siku 100 tangu Sheikh Isa Qassim awekwe kizuizini Bahrain
Sep 02, 2017 10:17Mzingiro uliowekwa na askari wa utawala wa Aal Khalifa katika eneo la Ad-Diraz yalipo makaazi ya Sheikh Isa Qassim, kiongozi wa kimaanawi wa mapinduzi ya wananchi wa Bahrain umetimiza siku mia moja.
-
Utawala wa Bahrain waendelea kuzuia Sala ya Ijumaa
Sep 01, 2017 10:33Vikosi vya usalama nchini Bahrain leo vimewazuia tena Waislamu wa eneo la Diraz kusali Sala ya Ijumaa.
-
Kituo cha Haki za Binadamu cha Bahrain chakosoa utendaji haribifu wa utawala wa Aal Khalifa
Jun 07, 2017 11:04Kituo cha Haki za Binadamu nchini Bahrain kimekosoa na kulaani utendaji wa utawala wa Kifalme wa nchi hiyo wa Aal Khalifa na kutoa wito wa kusitishwa utendaji huo haribifu.
-
Ghasia mpya Bahrain, Sheikh Qassim hajulikani aliko
May 29, 2017 02:41Askari wa utawala wa kiimla wa Bahrain wameendelea kuwashambulia wananchi wanaoandamana kumuunga mkono mwanazuoni wa Kiisalmu Sheikh Isa Qassim ambaye sasa ametoweka na hajulikani aliko.
-
Ukandamizaji usiokoma wa Aal Khalifa dhidi ya wananchi wa Bahrain
May 26, 2017 08:45Katika hali ambayo Wabahrain wamekuwa wakifanya maandamano ya kulalamikia hukumu ya kifungo cha jela iliyotolewa hivi karibuni dhidi ya Sheikh Issa Qassim, hatua ya watawala wa nchi hiyo ya kutoa hukumu nyingine ya kidhalimu ya kubadili kifungo cha miaka 2 jela kuwa cha maisha kwa watuhumiwa wengine 16 na vilevile kupokonywa uraia Wabahrain wengiene wanane ni ishara tosha kwamba ukandamizaji wa watawala hao dhidi ya raia wa nchi hiyo bado unaendelea.
-
Wabahrain waendeleza maandamano ya kulaani udhalimu wa ufalme wa nchi hiyo
May 26, 2017 03:00Wananchi wa Bahrain wameendeleza maandamano ya kitaifa ya kulaani udhalimu na umwagaji damu unaoendelezwa na utawala wa Aal Khalifa katika kijiji cha Diraz ambacho ni makao ya mwanazuoni maarufu wa Kiislamu Sheikh Isa Qassim.
-
Askari wa utawala wa kidikteta wa Aal-Khalifa wavamia eneo la Diraz, wajeruhi makumi na kuua
May 23, 2017 10:08Askari wa utawala wa Aal-Khalifa nchini Bahrain wamevamia eneo la Diraz na kuwashambulia Waislamu wanaomuunga mkono Sheikh Isa Qassim, kiongozi mkubwa wa kidini wa Waislamu wa Shia.
-
Indhari ya jumuiya za wananchi nchini Bahrain dhidi ya utawala wa Aal Khalifa
May 09, 2017 21:53Muungano wa Vijana wa Mapinduzi ya Februari 14 nchini Bahrain umetoa indhari na onyo kuhusiana na matokeo mabaya ya hujuma dhidi ya mwanazuoni wa Kishia Sheikh Issa Qassim.
-
Utawala wa Bahrain waahirisha tena kesi ya Sheikh Isa Qassim, wahofia machafuko
May 07, 2017 09:57Kwa mara nyingine tena na kama ilivyotarajiwa, utawala wa kidikteta wa Aal-Khalifa nchini Bahrain, umeahirisha tena kesi ya Sheikh Isa Qassim, Kiongozi wa ngazi ya juu wa kidini nchini Bahrain kutokana na hofu ya kushindwa kudhibiti hali ya mambo nchini ikiwa utatoa hukumu dhidi yake.
-
Utawala wa Bahrain waendelea kuzuia Sala ya Ijumaa eneo la Diraz
Apr 29, 2017 03:13Askari wa utawala wa kiimla wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain, kwa mwezi wa 10 mfululizo wamezuia Sala ya Ijumaa kusaliwa katika eneo la Diraz nchini humo.