Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

utawala wa Aal Khalifa

  • Utawala wa kidikteta wa Aal Khalifa waendelea kutumia silaha ya kuwavua uraia Wabahrain

    Utawala wa kidikteta wa Aal Khalifa waendelea kutumia silaha ya kuwavua uraia Wabahrain

    Apr 24, 2017 10:33

    Mahakama Kuu ya Bahrain imewavua uraia vijana wawili wanaharakati wa nchi hiyo na kuwahukumu pia kifungo cha miaka kumi jela.

  • Mfalme wa Bahrain aafiki kuhukumiwa raia katika mahakama za kijeshi

    Mfalme wa Bahrain aafiki kuhukumiwa raia katika mahakama za kijeshi

    Apr 03, 2017 09:27

    Mfalme wa Bahrain leo Jumatatu amesaini sheria ya kuifanyia marekebisho katiba ili kuzipatia mamlaka mahakama za kijeshi za nchi hiyo kusikiliza kesi za raia wa kawaida nchini humo.

  • Wabahrain sasa kushtakiwa kwenye mahakama za kijeshi za utawala wa Aal Khalifa

    Wabahrain sasa kushtakiwa kwenye mahakama za kijeshi za utawala wa Aal Khalifa

    Mar 06, 2017 00:29

    Bunge la Bahrain limepitisha mpango uliopendekezwa na mfalme wa nchi hiyo Hamad bin Isa Al Khalifa wa kuifanyia marekebisho katiba kwa madhumuni ya kurahisisha kushtakiwa raia katika mahakama za kijeshi.

  • Maulamaa wa Bahrain wasisitiza kumuunga mkono Sheikh Issa Qassim

    Maulamaa wa Bahrain wasisitiza kumuunga mkono Sheikh Issa Qassim

    Feb 26, 2017 04:36

    Maulamaa nchini Bahrain wametoa taarifa na kusisitiza udharura wa kumtetea na kumuunga mkono Ayatullah Sheikh Issa Qassim, mwanazuoni maarufu wa Kiislamu nchini humo anayekandamizwa na utawala wa ukoo wa Aal Khalifa.

  • Maulamaa wa Bahrain walaani uhusiano wa nchi yao na Israel

    Maulamaa wa Bahrain walaani uhusiano wa nchi yao na Israel

    Dec 26, 2016 03:44

    Maulamaa nchini Bahrain wamelaani juhudi za utawala wa nchi hiyo za kuweka uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Askari usalama wa utawala wa Aal Khalifa wavamia nyumba ya Sheikh Issa Qassim

    Askari usalama wa utawala wa Aal Khalifa wavamia nyumba ya Sheikh Issa Qassim

    Dec 21, 2016 23:36

    Askari usalama wa utawala wa Bahrain wamevamia nyumba ya Sheikh Issa Qassim mwanazuoni mashuhuri wa nchini humo.

  • Utawala wa Aal Khalifa waendelea kukiuka haki za binadamu

    Utawala wa Aal Khalifa waendelea kukiuka haki za binadamu

    Dec 04, 2016 04:28

    Utawala wa Aal Khalifa unaendelea kukiuka haki za binadamu kwa pande zote khususan katika upande wa kimadhehebu bila kujali lolote.

  • Marekani yatajwa mshirika wa jinai za utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain

    Marekani yatajwa mshirika wa jinai za utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain

    Nov 13, 2016 13:03

    Kiongozi wa harakati ya Al-Amalul-Islami ya Bahrain amesema Marekani ni mshirika wa jinai zinazofanywa na utawala wa Aal Khalifa dhidi ya wananchi wa Bahrain.

  • Maandamano dhidi ya utawala wa Aal Khalifa yaendelea kufanyika Bahrain

    Maandamano dhidi ya utawala wa Aal Khalifa yaendelea kufanyika Bahrain

    Nov 05, 2016 00:06

    Wananchi wa Bahrain wameendelea kuandamana katika mji mkuu Manama na miji mingine ya nchi hiyo huku wakitangaza uungaji mkono wao kwa mwanazuoni mashuhuri wa nchi hiyo Ayatullah Sheikh Isa Qassim na kutoa sha'ar za kuulaani utawala wa Aal Khalifa.

  • Kushadidi ukandamizaji wa utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain katika mwezi wa Muharram

    Kushadidi ukandamizaji wa utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain katika mwezi wa Muharram

    Oct 04, 2016 23:15

    Sambamba na kuwadia Mfunguo Nne Muharram, habari kutoka Bahrain zinasema kuwa, utawala wa Aal Khalifa umezidisha vitendo vya ukandamizaji dhidi ya raia na kuwabana katika shughuli zao kidini, hatua ambazo ni kinyume kabisa na sheria za kimataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS