Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Jihadul-Islami: Misimamo ya Uturuki na UAE kuhusu operesheni ya Quds ni usaliti kwa Palestina

    Jihadul-Islami: Misimamo ya Uturuki na UAE kuhusu operesheni ya Quds ni usaliti kwa Palestina

    Jan 28, 2023 04:40

    Mkuu wa ofisi ya habari ya harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesema, misimamo ya Uturuki na Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) ya kulaani operesheni ya kujitolea kufa shahidi iliyotekelezwa katika mji wa Baitul Muqaddas unaokaliwa kwa mabavu ni usaliti kwa watu wa Palestina.

  • Yemen: Jinai za Israel huko Jenin ni ishara ya kushindwa mpango wa mapatano

    Yemen: Jinai za Israel huko Jenin ni ishara ya kushindwa mpango wa mapatano

    Jan 27, 2023 23:04

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Yemen imetangaza kuwa, jinai za utawala haramu wa Israel katika mji wa Jenin ni ishara ya wazi ya kugonga mwamba juhudi na mipango ya utawala huo katili ya kupenya katika mataifa ya Kiislamu kupitia tawala zilizofanya usaliti.

  • Siku ya umwagaji damu katika kambi ya Jenin; kilele cha misimamo mikali ya baraza la mawaziri la Netanyahu

    Siku ya umwagaji damu katika kambi ya Jenin; kilele cha misimamo mikali ya baraza la mawaziri la Netanyahu

    Jan 27, 2023 03:29

    Ikiwa ni katika kuendeleza ugaidi na jinai dhidi ya Wapalestina wasio na hatia, Alkhamisi asubuhi, baraza la mawaziri lenye misimamo mikali ya kupindukia mipaka la utawala wa Kizayuni lilitekeleza jinai nyingine ya kutisha dhidi ya Wapalestina wanaoishi katika kambi ya wakimbizi huko Jenin.

  • Onyo la Herzog la kutokea vita vya wenyewe kwa wenyewe ndani ya utawala wa Kizayuni

    Onyo la Herzog la kutokea vita vya wenyewe kwa wenyewe ndani ya utawala wa Kizayuni

    Jan 26, 2023 22:41

    Mizozo na migogoro imeongezeka ndani ya utawala wa Kizayuni kiasi kwamba, rais wa utawala huo pandikizi, Isaac Herzog ametishia tena kutokea vita vya wenyewe kwa wenyewe na hali ya Israel kuripuka kutokana na mizozo ya kisiasa na mifarakano shadidi katika jamii ya utawala wa Kizayuni.

  • Iran yasisitiza kukomeshwa chokochoko za utawala wa Kizayuni huko Syria

    Iran yasisitiza kukomeshwa chokochoko za utawala wa Kizayuni huko Syria

    Jan 26, 2023 04:45

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameeleza kuwa: Baraza la Usalama linapasa kuushinikiza utawala wa Kizayuni ili uhitimishe chokochoko na hatua zake za uvamizi dhidi ya mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi yote ya Syria.

  • Kan'ani: SEPAH imesambaratisha mikakati ya kibeberu ya Marekani

    Kan'ani: SEPAH imesambaratisha mikakati ya kibeberu ya Marekani

    Jan 26, 2023 00:32

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) limesambaratisha njama za maadui hasa Marekani katika ukanda huu na kuufedhehesha utawala wa Kizayuni.

  • Balozi mwingine wa Israel ajiuzulu kulalamikia serikali ya misimamo ya kufurutu mpaka ya Netanyahu

    Balozi mwingine wa Israel ajiuzulu kulalamikia serikali ya misimamo ya kufurutu mpaka ya Netanyahu

    Jan 23, 2023 07:14

    Baada ya kujiuzulu balozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Ufaransa, balozi wa utawala huo nchini Canada naye pia amejiuzulu wadhifa wake kulalamikia baraza la mawaziri lenye misimamo ya kufurutu ada linaloongozwa na Benjamin Netanyahu na kumuunga mkono waziri mkuu wa zamani Yair Lapid ambaye ni kiongozi wa wapinzani wa Netanyahu.

  • Ukosoaji wa Iran kwa kimya cha Baraza la Usalama mkabala wa jinai za utawala wa Kizayuni

    Ukosoaji wa Iran kwa kimya cha Baraza la Usalama mkabala wa jinai za utawala wa Kizayuni

    Jan 21, 2023 08:12

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema katika kikao cha baraza hilo kuhusu Palestina kuwa mwaka uliopita ulikuwa mwaka wa mauaji makubwa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu; kwa sababu vitendo vya ukandamizaji, kupenda kujitanua na vya kibaguzi vya utawala wa Israell dhidi ya raia wa Palestina viliendelea na kushika kasi bila kusita.

  • Siku ya Ghaza; Iran yaitaka UN iwe mkweli katika kuwalinda na kuwaunga mkono Wapalestina

    Siku ya Ghaza; Iran yaitaka UN iwe mkweli katika kuwalinda na kuwaunga mkono Wapalestina

    Jan 19, 2023 03:20

    Balozi na Mwakilishi wa Kudunu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Matiafa amelalamikia kimya cha Baraza la Usalama la umoja wa huo mbele ya jinai za utawala wa Kizayuni na kulitaka lifanye haraka kutoa azimio la kuwaunga mkono wananchi madhlumu wa Palestina.

  • Msemaji wa Hamas: Utawala wa Kizayuni unafuatiliwa usiku na mchana

    Msemaji wa Hamas: Utawala wa Kizayuni unafuatiliwa usiku na mchana

    Jan 12, 2023 00:51

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameeleza kuwa mapambano ya kulinda na kuutetea msikiti wa al Aqsa na mateka wa Kipalestina yatakuwa ya aina yake na kusisitiza kuwa utawala wa Kizayuni unawajibika kubeba dhima ya matokeo ya hatua za kichochezi za Ben Gvir.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS