Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu yasisitiza kuunga mkono haki za Wapalestina

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu yasisitiza kuunga mkono haki za Wapalestina

    Nov 02, 2022 10:10

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imesisitiza kuendelea kutetea na kuuunga mkono haki za wananchi madhulumu wa Palestina.

  • Qatar yataka kuhitimishwa ukaliaji mabavu wa utawala wa Kizayuni

    Qatar yataka kuhitimishwa ukaliaji mabavu wa utawala wa Kizayuni

    Nov 02, 2022 04:29

    Mwakilishi wa Kudumu wa Qatar katika Umoja wa Mataifa leo asubuhi amehutubia katika kikao cha kiduru cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kusema: Israel inapasa kuhitimisha hatua zake za kuzikalia kwa mabavu ardhi za Waarabu ikiwemo miinuko ya Golan huko Syria, ardhi za Lebanon na Palestina.

  • Ulazima wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kujiunga na mkataba wa NPT

    Ulazima wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kujiunga na mkataba wa NPT

    Nov 01, 2022 22:53

    Kamati ya Kwanza ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa imepasisha kwa wingi wa kura muswada wa Misri unaoelezea ulazima wa utawala haramu wa Israel kujiunga na Mkataba wa Kuzuia Uzalishaji na Usambazaji wa Silaha za Atomiki (NPT).

  • Iran yakosoa misimamo ya Baraza la Usalama la UN kuhusu uhalifu wa Israel

    Iran yakosoa misimamo ya Baraza la Usalama la UN kuhusu uhalifu wa Israel

    Oct 30, 2022 04:45

    Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amelikosoa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kusisitiza kuwa: Mwelekeo wa sasa na usio na tija wa Baraza la Usalama la Uumoja huo unaupa moyo na kuuhamasisha utawala wa Kizayuni katika kadhia ya Palestina.

  • Kuzingirwa Nablus, ishara ya utawala wa Kizayuni kushindwa kuzima mapambano ya Palestina

    Kuzingirwa Nablus, ishara ya utawala wa Kizayuni kushindwa kuzima mapambano ya Palestina

    Oct 27, 2022 05:53

    Katika kuendeleza harakati zao za chuki dhidi ya Wapalestina, askari wa utawala haramu wa Israel wamekuwa wakiuzingira kwa muda sasa mji wa Nablus, kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wakazi wa mji huo.

  • Iran: Uungaji mkono wa Magharibi kwa Israel ni mfano mkubwa zaidi wa ukiukaji wa haki za binadamu

    Iran: Uungaji mkono wa Magharibi kwa Israel ni mfano mkubwa zaidi wa ukiukaji wa haki za binadamu

    Oct 26, 2022 03:41

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amelaani shambulio la utawala ghasibu wa Israel katika mji wa Nablus katika Ukingo wa Magharibi huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu, na kuutaja uungaji mkono usio na kikomo wa Marekani na nchi nyingine za Magharibi kwa utawala dhalimu wa Israel kuwa ni kielelezo kikubwa zaidi cha ukiukwaji wa haki za binadamu.

  • Netanyahu: Kama si msaada wa Saudia tusingeweza kupatana na Waarabu

    Netanyahu: Kama si msaada wa Saudia tusingeweza kupatana na Waarabu

    Oct 24, 2022 23:42

    Waziri Mkuu wa zamani wa utawala haramu wa Israel amesema kuwa, kuanzishwa uhusiano wa kawaida baina ya Israel na baadhi ya nchi za Kiarabu kumefanikiwa kwa mwafaka na baraka za Saudi Arabia.

  • Watu 10 watiwa nguvuni nchini Iran kwa tuhuma za kushirikiana na MOSSAD

    Watu 10 watiwa nguvuni nchini Iran kwa tuhuma za kushirikiana na MOSSAD

    Oct 24, 2022 22:55

    Kitengo cha Habari cha Idara ya Mahakama ya Iran kimetangaza kutiwa nguvuni watu 10 kwa tuhuma za kushirikiana na shirika la ujasusi la Israel (MOSSAD).

  • HAMAS: Utawala wa Kizayuni umeshindwa kukabiliana na muqawama Ukingo wa Magharibi

    HAMAS: Utawala wa Kizayuni umeshindwa kukabiliana na muqawama Ukingo wa Magharibi

    Oct 24, 2022 09:07

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, jinai za utawala wa Kizayuni za kuwaua kigaidi wanamapambano wa Palestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan hazitapunguza kasi ya kuimarika muqawama wa wananchi wa Palestina.

  • Safari 10 za ndege za Israel kuelekea India zafutwa baada ya Oman kukataa kutumiwa anga yake

    Safari 10 za ndege za Israel kuelekea India zafutwa baada ya Oman kukataa kutumiwa anga yake

    Oct 22, 2022 08:55

    Duru za habari za utawala wa Kizayuni wa Israel zimeripoti kuwa, safari zisizopungua 10 za ndege za utawala huo haramu kuelekea India zimefutwa baada ya Oman kukataa kuzipatia ndege hizo kibali cha kupita katika anga yake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS