Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Hamas: Mapambano dhidi ya maghasibu yataendelea hadi Palestina itakapokombolewa

    Hamas: Mapambano dhidi ya maghasibu yataendelea hadi Palestina itakapokombolewa

    Sep 12, 2022 10:44

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa taarifa kwa nasaba wa kutimia mwaka wa 17 wa kutimuliwa Wazayuni kutoka Ukanda wa Gaza, ikisisitiza kuendelezwa mapambano ya Wapalestina hadi malengo yao ya mwisho yatakapofikiwa.

  • Jihadul Islami: Jinai za Israel zinazidisha ari na irada ya muqawama

    Jihadul Islami: Jinai za Israel zinazidisha ari na irada ya muqawama

    Sep 11, 2022 03:07

    Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina imetangaza kuwa, jinai za utawala ghasibu wa Israel zinazidisha ari na irada ya muqawama na mapambano ya Wapalestina dhidi ya utawala huo ghasibu.

  • HAMAS yaonya kuhusu vitendo vya hujuma dhidi ya msikiti wa al-Aqswa

    HAMAS yaonya kuhusu vitendo vya hujuma dhidi ya msikiti wa al-Aqswa

    Sep 10, 2022 23:59

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeonya tena kuhusiana na kuendelea vitendo vya kuuvamia na kuuhujumu msikiti wa al-Aqswa, vinavyofanywa na walowezi wa Kizayuni wakipata himaya ya jeshi la utawala ghasibu wa Israel.

  • Syria: Tutatumia haki yetu ya kisheria kujibu jinai za utawala haramu wa Israel

    Syria: Tutatumia haki yetu ya kisheria kujibu jinai za utawala haramu wa Israel

    Sep 08, 2022 03:16

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Syria imetangaza kuwa, mashambulio ya utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Uwanja wa Ndege wa Halab ni jinai za kivita na kwamba, Damascus itatumia haki yake ya kisheria kwa ajili ya kujibu jinai za utawala huo.

  • Afisa wa Hamas: Ukingo wa Magharibi umekuwa kitovu cha muqawama

    Afisa wa Hamas: Ukingo wa Magharibi umekuwa kitovu cha muqawama

    Sep 06, 2022 23:27

    Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza kuwa, Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na mji wa Jenin vimekuwa hifadhi na nguzo ya muqawama.

  • Manowari ya Uturuki yatia nanga katika bandari ya Haifa Palestina inayokaliwa kwa mabavu

    Manowari ya Uturuki yatia nanga katika bandari ya Haifa Palestina inayokaliwa kwa mabavu

    Sep 03, 2022 21:54

    Vyombo vya habari vya Kiebrania vimeripoti kuwa manowari ya Uturuki pamoja na meli ya kivita ya kombora ya Marekani zimetia nanga katika bandari ya Haifa kaskazini-magharibi ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.

  • HAMAS: Vita dhidi ya Israel vitaendelea mpaka mateka wote wa Kipalestina watakapoachiliwa huru

    HAMAS: Vita dhidi ya Israel vitaendelea mpaka mateka wote wa Kipalestina watakapoachiliwa huru

    Sep 02, 2022 23:25

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa, vita dhidi ya utawala haramu wa Israel vitaendelea mpaka pale mateka wote wa Kipalestina wanaoshikiliwa na utawala huo ghasibu watakapoachiliwa huru.

  • Sisitizo la kuendelezwa

    Sisitizo la kuendelezwa "medani za pamoja za mapambano" na kuangaliwa Israel kama adui wa pamoja wa Wapalestina wote

    Aug 29, 2022 22:01

    Huku utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ukiwa umeanzisha vita vikali vya kisaikolojia katika siku za hivi karibuni kuulenga uhusiano wa Hamas na Jihadul-Islami, viongozi wa harakati hizo mbili za muqawama za Palestina wamesisitiza katika mazungumzo yao kwamba wameungana na wako kitu kimopja katika mapambano yao dhidi ya utawala huo ghasibu.

  • Undumakuwili wa Marekani kuhusu suala la uhuru wa kujieleza

    Undumakuwili wa Marekani kuhusu suala la uhuru wa kujieleza

    Aug 28, 2022 22:03

    Kufuatia matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na Nader Hashemi, Mhadhiri na Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Mashariki ya Kati katika Chuo Kikuu cha Denver, kuhusiana na uwezekano wa Israel kuhusika katika shambulio dhidi ya Salman Rushdie, Warepublican katika Congress ya Marekani wameonya kuhusu ushawishi wa Iran katika vyuo vikuu vya nchi hiyo na kutangaza kwamba watachunguza suala hilo katika miezi ijayo.

  • Ziyad al-Nakhala: Katu hatutasalimu amri; adui anataka kutufanya watumwa

    Ziyad al-Nakhala: Katu hatutasalimu amri; adui anataka kutufanya watumwa

    Aug 26, 2022 05:22

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesisitiza kuwa, katu wananchi wa Palestina hawatasalimu amri mbele ya adui Mzayuni na kwamba, bendera ya Palestina itaendelea kupepea.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS