-
Hamas: Safari ya Biden Asia Magharibi ni dhihirisho la uungaji mkono kamili wa Washington kwa Tel Aviv
Jul 13, 2022 22:47Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeitaja safari ya Rais Joe Biden wa Marekanii katika eneo la Mashariaki ya Kati kuwa ni kielelezo cha kivitendo cha uungaji mkono kamili wa Washington kwa Tel Aviv na imeonya kuhusu hatari ya safari hiyo kwa eneo hilo na mapambano ya Palestina.
-
Kusalimu amri utawala wa Kizayuni mbele ya upinzani wa wananchi wa Eritrea
Jul 11, 2022 03:45Waziri Mkuu wa muda wa utawala haramu wa Israeli, Yair Lapid, ametoa amri ya kufungwa kwa ubalozi wa utawala huo nchini Eritrea baada ya viongozi wa nchi hiyo ya Mashariki mwa Afrika kukataa kumpokea balozi mpya wa utawala huo haramu kwa miaka miwili sasa.
-
Mchambuzi Mzayuni: Uwezo wa kijeshi wa anga wa Hizbullah umekuwa mkubwa zaidi
Jul 09, 2022 22:17Mchambuzi mmoja wa chaneli ya 14 ya televisheni ya utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa harakati ya muqawama wa Kiislamu nchini Lebanon ya Hizbullah imekuwa na nguvu na uwezo mpya wa kijeshi katika uga wa angani.
-
Rais wa Lebanon: Karibu tutafikia mwafaka na Israel juu ya uainishaji mipaka ya baharini
Jul 07, 2022 06:54Rais Michel Aoun wa Lebanon ametangaza kuwa, karibuni hivi suala la uanishaji mipaka ya baharini baina ya nchi hiyo na utawala wa Kizayuni wa Israel litapatiwa ufumbuzi na kwamba njia hiyo ya utatuzi wa mzozo huo itaridhiwa na pande zote.
-
Israel imewaua shahidi Wapalestina 77 katika kipindi cha miezi sita
Jul 03, 2022 06:45Tokea mwanzo wa mwaka huu wa 2022, hadi sasa utawala wa Kizayuni wa Israel umewaua shahidi Wapalestina 77 wakiwemo watoto 15.
-
Hamas: Utawala wa Kizayuni hauna mamlaka yoyote huko Quds
Jun 27, 2022 22:19Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel hauna mamlaka yoyote katika mji wa Quds na kwamba Hamas itaendelea kuupigania mji huo hadi utakapokombolewa.
-
Indhari ya Waziri wa Usalama wa Iran: Magaidi hawatabakia salama
Jun 27, 2022 22:15Waziri wa Usalama wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema magaidi wenye makao yao Albania hawatabakia salama kutokana na moto wa ulipizaji kisasi wa jinai walizotenda.
-
Wazayuni wameingiwa na hofu kutokana na safari ya Mkuu wa Sera za Nje wa EU Tehran
Jun 27, 2022 03:36Waziri wa mambo ya nje wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, ambaye kila mara amekuwa akifanya uafriti na kuweka pingamizi dhidi ya mpango wa kuiondolea Iran vikwazo vya kidhalimu, ametoa matamshi ya uropokaji ya kukosoa safari ya Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya hapa mjini Tehran.
-
Tunisia yapinga ushiriki wa Israel katika maneva ya Simba wa Afrika 2022
Jun 25, 2022 22:39Wizara ya Ulinzi ya Tunisia imepinga ushiriki wa jeshi la utawala wa haramu wa Israel katika mazoezi ya pamoja ya kijeshi "African Lion 2022" (Simba wa Afrika 2022).
-
Haniya: Mapambano yataendelea mpaka Palestina iliyoanzia kwenye Mto hadi Baharini itakapokombolewa
Jun 25, 2022 21:52Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, mapambano na muqawama ungali unaongeza nguvu zake hadi ufike wakati wa kukombolewa Palestina iliyoanzia Mto Jordan hadi Bahari ya Mediterania.