Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • 'Kuweko utawala wa Kizayuni huko Kurdistan ya Iraq kutaitumbukiza vitani nchini hiyo'

    'Kuweko utawala wa Kizayuni huko Kurdistan ya Iraq kutaitumbukiza vitani nchini hiyo'

    Mar 21, 2022 23:01

    Msemaji wa masuala ya kijeshi wa harakati ya Hizbullah ya Iraq amesema kuwa, kuweko utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Kurdistan la Iraq kutaitumbukiza vitani nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Kuwait yataka Israel ifukuzwe katika Umoja wa Mabunge Duniani

    Kuwait yataka Israel ifukuzwe katika Umoja wa Mabunge Duniani

    Mar 20, 2022 00:22

    Spika wa Bunge la Kuwait amekosoa sera za undukumakuwili za Jamii ya Kimataifa kuhusu utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kutaka ujumbe wa utawala huo utimuliwe katika kikao cha Umoja wa Kimataifa wa Mabunge.

  • HAMAS: Hali ya utawala wa Kizayuni wa Israel ni mbaya na tete

    HAMAS: Hali ya utawala wa Kizayuni wa Israel ni mbaya na tete

    Mar 16, 2022 04:04

    Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel unakabiliwa na hali mbaya kutokana na kupata nguvu zaidi mhimili wa muqawama.

  • Tovuti za utawala wa Israel zashambuliwa katika hujuma kubwa ya aina yake

    Tovuti za utawala wa Israel zashambuliwa katika hujuma kubwa ya aina yake

    Mar 14, 2022 23:53

    Waziri wa Mawasiliano wa Israel, Yoaz Hendel, amekiri kuwa hitilafu iliyoathiri tovuti kadhaa rasmi ni matokeo ya shambulio la mtandao lililofanywa na wadukuzi, ambalo lililenga tovuti za serikali.

  • Waandishi 260 wa habari washambuliwa na wanajeshi wa Israel katika kipindi cha mwaka mmoja

    Waandishi 260 wa habari washambuliwa na wanajeshi wa Israel katika kipindi cha mwaka mmoja

    Mar 14, 2022 23:26

    Zaidi ya waandishi wa habari 260 wameshambuliwa na wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni hao.

  • Shambulio la makombora ya jeshi la SEPAH dhidi ya kituo cha MOSSAD Erbil Iraq

    Shambulio la makombora ya jeshi la SEPAH dhidi ya kituo cha MOSSAD Erbil Iraq

    Mar 14, 2022 10:19

    Jumapili ya jana tarehe 13 Machi, Kitengo cha Kupambana na Ugaidi cha Eneo la Kurdistan ya Iraq kilitangaza kuwa, usiku wa kumkia jana kambi mbili za kutoa mafunzo za Shirika la Ujasusi la Israel (MOSSAD) zimeshambuliwa kwa makombora ya balestiki katika eneo la Erbil, kaskazini mwa Iraq.

  • Walinzi wa Mapinduzi: Kituo cha kimkakati cha njama za Wazayuni kimepigwa kwa makombora ya IRGC

    Walinzi wa Mapinduzi: Kituo cha kimkakati cha njama za Wazayuni kimepigwa kwa makombora ya IRGC

    Mar 13, 2022 08:59

    Taarifa ilitotolewa na Idara ya Uhusiano wa Umma ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) imetoa habari ya kulengwa kwa makombora kituo cha kistratijia cha njama na uovu cha Wazayuni na kusisitizia kuwa: Kurudiwa kwa uovu wa aina yoyote kutakabiliwa na jibu kali, la pande zotei na haribifu.

  • Palestina: Mgogoro wa Ukraine umeonyesha kuwa vigezo vya mfumo wa kimataifa ni vya kibaguzi

    Palestina: Mgogoro wa Ukraine umeonyesha kuwa vigezo vya mfumo wa kimataifa ni vya kibaguzi

    Mar 10, 2022 08:55

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema, mgogoro wa Ukraine umeonyesha kuwa vipimo na vigezo vinavyotumiwa na mfumo wa kimataifa ni vya kibaguzi na undumakuwili.

  • HAMAS: Njama za utawala wa Kizayuni za kubadilisha utambulisho wa Quds zitashindwa tu

    HAMAS: Njama za utawala wa Kizayuni za kubadilisha utambulisho wa Quds zitashindwa tu

    Mar 03, 2022 04:01

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa, njama za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel za kutaka kuubadilisha utambulisho wa Quds tukufu unayoikalia kwa mabavu zitashindwa tu.

  • Jihadul-Islami yasisitiza udharura wa umoja wa Waislamu katika kuunga mkono Wapalestina

    Jihadul-Islami yasisitiza udharura wa umoja wa Waislamu katika kuunga mkono Wapalestina

    Mar 02, 2022 20:45

    Kiongozi mwandamizi wa harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesema umoja wa Waislamu ni siri ya ushindi wa Wapalestina na Waislamu kwa ujumla na kuongeza kuwa ukombozi wa Quds (Jerusalem) na ardhi zote za Palestina ni mihimili ya mapambano ya Wapalestina dhidi ya utawala ghasibu wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS