Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • HAMAS: Mpango wa ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kizayuni ni jinai za kivita

    HAMAS: Mpango wa ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kizayuni ni jinai za kivita

    Oct 29, 2021 04:39

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amelaani vikali mpango wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wa ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kiyahudi katika maeneo ya Wapalestina na kusema kuwa, hatua hiyo ni jinai za kivita.

  • Majasusi wa Israel wahukumiwa kifo Ukanda wa Gaza

    Majasusi wa Israel wahukumiwa kifo Ukanda wa Gaza

    Oct 29, 2021 00:17

    Vyombo vya habari vya Palestina vimeripoti kuwa, Mahakama ya Kijeshi ya Ukanda wa Gaza imewahukumu kifo majajusi sita wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Shamkhani: Israel itenge bajeti ya kutosha ya kukarabati hasara za majibu ya Iran

    Shamkhani: Israel itenge bajeti ya kutosha ya kukarabati hasara za majibu ya Iran

    Oct 24, 2021 23:04

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel uanze kufikiria kutenga bajeti ya hasara kubwa zitakazosababishwa na majibu makali ya Iran.

  • Ongezeko la idadi ya wanajeshi watoro katika jeshi la Israeli

    Ongezeko la idadi ya wanajeshi watoro katika jeshi la Israeli

    Oct 18, 2021 08:51

    Duru za habari za Israel zimeripoti kuwa idadi ya askari wanaotoroka jeshi la utawala huo inaongezeka siku baada ya siku.

  • HAMAS yalaani uratibu wa kiusalama baina na Mamlaka ya Ndani ya Palestina na Israel

    HAMAS yalaani uratibu wa kiusalama baina na Mamlaka ya Ndani ya Palestina na Israel

    Oct 18, 2021 04:40

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amekosoa vikali uratibu na ushirikiano wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • Israel yaingiwa na wasiwasi kuwa yamkini Sudan ikabatilisha mapatano ya ushusiano

    Israel yaingiwa na wasiwasi kuwa yamkini Sudan ikabatilisha mapatano ya ushusiano

    Oct 16, 2021 03:45

    Gazeti la Kizayuni la Maariv limefichua kuwa, wakuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel wana wasiwasi kuwa Sudan huenda ikajiondoa hatua kwa hatua katika mapatano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala huo.

  • Sudan yapinga Israel kuwa mwangalizi katika Umoja wa Afrika

    Sudan yapinga Israel kuwa mwangalizi katika Umoja wa Afrika

    Oct 15, 2021 08:58

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan imetangaza kuwa nchi hiyo inapinga utawala wa Kizayuni wa Israel kupewa hadhi ya mwanachama mwangalizi katika Umoja wa Afrika.

  • Algeria yazima njama ya utawala haramu wa Israel

    Algeria yazima njama ya utawala haramu wa Israel

    Oct 13, 2021 23:23

    Vyombo rasmi vimetangaza kuwa, askari usalama wa Algeria wamefanikiwa kuzima njama iliyokuwa imepangwa kutekelezwa na maadui wa nchi hiyo kwa kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Israel yaanzisha chokochoko za kijeshi katika miinuko ya Golan ya Syria

    Israel yaanzisha chokochoko za kijeshi katika miinuko ya Golan ya Syria

    Oct 13, 2021 04:09

    Vyombo vya habari vya Kiarabu vimeripoti kuwa, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umeanzisha chokochoko na harakati za kijeshi katika eneo la miinuko ya Golan la ardhi ya Syria.

  • Nabil Abu Rudeineh: Utawala ghasibu wa Israel ni msingi wa ugaidi

    Nabil Abu Rudeineh: Utawala ghasibu wa Israel ni msingi wa ugaidi

    Oct 11, 2021 04:11

    Msemaji wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa utawala ghasibu wa Israel ni msingi wa ugaidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS