-
Hamas yawataka Wapalestina wajitayarishe kuutetea Msikiti wa al Aqsa
Oct 09, 2021 04:26Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imewataka Wapalestina wajitayarishe kwa ajili ya kuutetea Msikiti wa al Aqsa bila ya kujali uamuzi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kusitisha azma yake ya kuruhusu ibada ya Mayahudi katika eneo hilo tukufu.
-
Wanamapambano Palestina walaani kuvunjiwa heshima Msikiti wa al Aqsa
Oct 08, 2021 13:22Makundi ya mapambano ya ukombozi wa Palestina yametangaza kuwa, kuwaruhusu Wayahudi kufanya ibada katika viwanja vya Msikiti wa al Aqsa ni hatua hatari sana inayovunjia heshima matukufu ya Kiislamu.
-
OIC yalaani uchokozi na uvamizi wa Israel dhidi ya msikiti mtukufu wa Al Aqsa
Oct 02, 2021 04:43Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imelaani uvamizi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya msikiti mtukufu wa Al Aqsa.
-
Kamanda wa jeshi la nchi kavu la Iran: Tunazifuatilia kikamilifu harakati za Wazayuni
Oct 01, 2021 10:02Kamanda wa vikosi vya nchi kavu vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa tangu uje utawala wa Kizayuni karibu na mipaka ya nchi, Iran imezidi kuguswa na suala la usalama wa mpaka wake wa kaskazini magharibi na kwa sababu hiyo harakati za utawala huo haramu zinafuatiliwa kikamilifu.
-
Wabahrain waandamana kupinga waziri wa utawala wa Kizayuni kukanyaga ardhi ya nchi yao
Sep 30, 2021 22:57Wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano makubwa katika miji kadhaa ya nchi hiyo kupinga waziri wa mambo ya nje wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kukanyaga ardhi ya nchi yao na kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Tel Aviv.
-
Ehud Olmert: Israel haina ubavu wa kuangamiza uwezo wa kinyuklia wa Iran
Sep 27, 2021 22:55Waziri Mkuu wa zamani wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa utawala huo haramu hauna uwezo wa kuiua teknolojia ya nyuklia ya Iran.
-
Sababu za Wapalestina kutaka Mahmoud Abbas atoke madarakani
Sep 23, 2021 08:12Katika hali ambayo Wapalestina waliowengi wanataka Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina aondolewe madarakani, utawala haramu wa Israel unafanya kila unaloweza kuhakikisha kuwa nafasi ya kiongozi juyo inaimarishwa zaidi na kumfanya aendelee kusalia katika kilele cha uongozi wa Palestina.
-
Hatibu wa al Aqsa: Mapambano ya taifa la Palestina yamezima njama za Israel dhidi ya Al Aqsa
Sep 15, 2021 08:27Hatibu wa Msikiti wa al Aqsa amesema kuwa mapambano na kusimama kidete kwa taifa la Palestina vimezima na kukwamisha njama za utawala haramu wa Israel za kuudhibiti kikamilifu msikiti huo.
-
Mwanasoka wa Iran akataa kuchezea klabu yake ya Uholanzi katika mechi ya kimataifa na timu ya Kizayuni
Sep 11, 2021 02:29Klabu ya soka ya Feyenoord Rotterdam ya Uholanzi imekubali ombi la Alireza Jahanbakhsh mwanasoka wa timu ya taifa ya Iran anayechezea timu hiyo la kutoandamana nayo katika mechi dhidi ya timu ya Kizayuni ya Maccabi Haifa katika michuano ya klabu za Ulaya.
-
Handaki ya Uhuru; Pigo Kali la Mateka wa Kipalestina kwa Usalama wa Israel
Sep 10, 2021 21:01Mateka 6 wa Kipalestina wametoa pigo kali kwa hadhi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kwa hatua yao ya kuchimba njia ya chini ya ardhi iliyopewa jina la "Handaki ya Uhuru".