Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Iran yajibu upayukaji wa waziri wa mambo ya nje wa Israel

    Iran yajibu upayukaji wa waziri wa mambo ya nje wa Israel

    Sep 10, 2021 21:00

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu porojo na upayukaji wa waziri wa mambo ya nje wa utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema kuwa, Iran ina haki ya kujibu chokochoko zozote zile.

  • Vyombo vya Kizayuni vyakiri kufeli Israel Ukanda wa Ghaza

    Vyombo vya Kizayuni vyakiri kufeli Israel Ukanda wa Ghaza

    Sep 10, 2021 21:00

    Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni vimekiri kushindwa Israel katika vita vya hivi karibuni vya Ukanda wa Ghaza na kusema kuwa, kiwango cha kufeli huko ni kikubwa sana.

  • Israel yaiomba msaada Jordan kwa ajili ya kuwapata mateka Wapalestina waliotoroka jela

    Israel yaiomba msaada Jordan kwa ajili ya kuwapata mateka Wapalestina waliotoroka jela

    Sep 10, 2021 08:16

    Vyombo vya habari vya Kiebrania vimeripoti kuwa, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umeiomba msaada Jordan kwa ajili ya kuwapata mateka sita Wapalestina waliotoroka jela ya utawala huo ghasibu.

  • Kukimbia mateka wa Kipalestina, pigo kwa usalama wa utawala wa Kizayuni

    Kukimbia mateka wa Kipalestina, pigo kwa usalama wa utawala wa Kizayuni

    Sep 09, 2021 22:16

    Waziri wa Usalama wa Ndani wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa kukimbia mateka 6 wa Kipalestina ni pigo kubwa kwa usalama wa utawala huo.

  • Mateka wa Palestina wachoma moto jela nyingine ya Kizayuni

    Mateka wa Palestina wachoma moto jela nyingine ya Kizayuni

    Sep 09, 2021 03:02

    Duru za utawala wa Kizayuni zimetangaza kuwa, mateka wa Palestina wamechoma moto jela ya pili ya utawala wa Kizayuni.

  • Mateka Wapalestina wachoma moto jela ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya Ktzi'ot

    Mateka Wapalestina wachoma moto jela ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya Ktzi'ot

    Sep 08, 2021 22:05

    Duru za habari za Kiebrania zimetangaza kuwa mateka Wapalestina wanaoshikiliwa kwenye jela ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ya Ktzi'ot wamechoma moto vyumba walimowekwa ndani ya jela hiyo.

  • Makundi ya mapambano ya Palestina yaitahadharisha Israel

    Makundi ya mapambano ya Palestina yaitahadharisha Israel

    Sep 07, 2021 22:45

    Makundi ya mapambano ya ukombozi wa Palestina yametahadharisha kwamba, hali ya Ukanda wa Gaza inakaribia kuripuka na yameupa utawala wa Israel siku 15 kuruhusu bidhaa muhimu kwa ajili ya raia wa Palestina katika eneo hilo.

  • Wapalestina waandamana kwa maelfu kusherehekea metaka 6 waliotoroka jela kishujaa

    Wapalestina waandamana kwa maelfu kusherehekea metaka 6 waliotoroka jela kishujaa

    Sep 07, 2021 03:17

    Maelfu ya Wapalestina katika Ufukwe wa Magharibi na Ukanda wa Gaza wameandamana kwa mnasaba wa kusherehekea kutoroka kishujaa mateka sita Wapalestina waliokuwa wakishikiliwa kwenye jela ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • Fawzi Barhoum : Kutoroka jela mateka wa Palestina ni hatua ya kishujaa

    Fawzi Barhoum : Kutoroka jela mateka wa Palestina ni hatua ya kishujaa

    Sep 06, 2021 06:51

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, hatua ya mateka 6 wa Kipalestina ya kutoka kwenye jela ya utawala wa Kizayuni licha ya kuweko ulinzi mkali, ni ya kishujaa.

  • Mauritania yakanusha kuwasiliana na utawala wa Kizayuni

    Mauritania yakanusha kuwasiliana na utawala wa Kizayuni

    Sep 02, 2021 06:43

    Serikali ya Mauritania imekanusha madai ya kuwasiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa ajili ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS