Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Tahadhari kuhusu hujuma za kimtandao za utawala wa Kizayuni dhidi ya Algeria

    Tahadhari kuhusu hujuma za kimtandao za utawala wa Kizayuni dhidi ya Algeria

    Aug 30, 2021 23:12

    Taasisi ya Utafiti ya Magharibi mwa Asia na Kaskazini mwa Afrika ya Uadilifu na Usawa imetoa taarifa ikitahadharisha kuhusu hujuma kubwa za kimtandao za utawala wa Kizayuni dhidi ya Algeria.

  • Unicef: Israel imeua watoto 9 wa Kipalestina katika miezi miwili ya karibuni

    Unicef: Israel imeua watoto 9 wa Kipalestina katika miezi miwili ya karibuni

    Aug 28, 2021 03:39

    Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (Unicef) limeripoti kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umeua watoto 9 wa Kipalestina katika kipindi cha miezi miwili pekee na kujeruhi wengine 556.

  • Syria: Mashambulizi ya Israel yana lengo la kuinua juu moyo wa magaidi

    Syria: Mashambulizi ya Israel yana lengo la kuinua juu moyo wa magaidi

    Aug 21, 2021 03:10

    Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Syria imelaani mashambulizi ya hivi karibuni ya Israel dhidi ya ardhi ya nchi hiyo na kutangaza kuwa, lengo la hujuma hiyo ni kuinua juu moyo uliofifia na kukosa matumaini wa makundi ya kigaidi.

  • Hatua hatari ya Imarati kukaribisha nchini upenyaji wa kiusalama wa Israel

    Hatua hatari ya Imarati kukaribisha nchini upenyaji wa kiusalama wa Israel

    Aug 20, 2021 21:56

    Vyombo vya habari vya utawala haramu wa Israel vimeripoti kwamba Imarati imeamua kutumia ndege zisizo na rubani za utawala huo katika kusimamia na kulinda usalama wa taasisi na miundomsingi yake.

  • Hamas: Kukiri kushindwa Israel kunadhihirisha nguvu ya muqawama

    Hamas: Kukiri kushindwa Israel kunadhihirisha nguvu ya muqawama

    Aug 15, 2021 22:06

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kukiri kushindwa katika vita vya karibuni huko Ghaza inadhihirisha nguvu iliyonayo wanamapambano wa Palestina.

  • Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya HAMAS yataka kuhitimishwa mzingiro dhidi ya Gaza

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya HAMAS yataka kuhitimishwa mzingiro dhidi ya Gaza

    Aug 15, 2021 03:27

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ametoa wito wa kuhitimishwa mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza unaofanywa na utawala haramu wa Israel.

  • Mamlaka ya Ndani ya Palestina yalaani ujenzi wa mpya vitongoji vya walowezi wa Kizayuni

    Mamlaka ya Ndani ya Palestina yalaani ujenzi wa mpya vitongoji vya walowezi wa Kizayuni

    Aug 13, 2021 03:20

    Mamlaka ya Ndani ya Palestina imelaani vikali mpango mpya wa kupanua vitongoji vya walowezi wa Kizayuni hususan kibali cha kujengwa nyumba 2,200 za walowezi wa Kizayuni huko Baytul-Muqaddas na maeneo mengine ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel awasili Rabat  licha ya safari yake kupingwa vikali na Wamorocco

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel awasili Rabat licha ya safari yake kupingwa vikali na Wamorocco

    Aug 11, 2021 09:08

    Duru za habari zimeripoti kuwa licha ya upinzani mkali wa asasi na wanaharakati wa Morocco, Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amefanya safari kuelekea nchi hiyo ya Kiarabu iliyoko Afrika Kaskazini.

  • Amnesty yaunga mkono kampeni ya kususiwa utawala wa kibaguzi wa Israel

    Amnesty yaunga mkono kampeni ya kususiwa utawala wa kibaguzi wa Israel

    Aug 09, 2021 03:11

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeunga mkono hatua ya kampuni kubwa zaidi ya kutengeneza malai (ice cream) na mtindi ya Marekani ya kuususia utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Hizbullah: Shambulio la Muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni ni jibu kwa uchokozi wake

    Hizbullah: Shambulio la Muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni ni jibu kwa uchokozi wake

    Aug 06, 2021 22:40

    Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema: shambulio la maroketi lililofanywa jana asubuhi kulenga ardhi za Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel), lilikuwa jibu mwafaka kwa uchokozi wa siku ya Alkhamisi uliofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS