-
Kikao cha tatu kisicho na tija cha Baraza la Usalama kuhusu Palestina, kuendelea ukwamishaji wa Marekani
May 17, 2021 04:09Kwa mara nyingine tena, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeshindwa hata kulaani jinai za utawala wa Kizayuni kutokana na ukwamishaji wa dola la kibeberu la Marekani.
-
Upinzani wa Ujerumani na Ufaransa wa kufanyika maandamano dhidi ya Israel; nembo ya uungaji mkono wa Magharibi kwa jinai za Wazayuni
May 15, 2021 05:26Baada ya kuwaka moto wa vita na mapigano baina ya utawala haramu wa Israel na Wapalestina katika siku za hivi karibuni, madola ya Magharibi yamefumbia macho kabisa jinai za Tel-Aviv hususan hujuma na mashambulio ya anga na kulishambulia kwa mabomu eneo la Ukanda wa Gaza.
-
Jinai mpya za Wazayuni; Israel yaua kwa umati familia ya watu saba Ghaza
May 15, 2021 03:08Utawala wa Kizayuni unaendelea kufanya jinai za kinyama na za kutisha dhidi ya Wapalestina. Habari za karibuni kabisa zinasema kwamba utawala huo katili umeua kwa umati familia ya watu saba magharibi mwa mji wa Ghaza katika shambulio lake la anga. Watu hao waliouliwa kikatili na Wazayuni ni wanawake watano na watoto wadogo wawili
-
Netanyahu azishukuru Marekani, Ufaransa, Uingereza na Ujerumani kwa kuunga mkono jinai za Israel
May 14, 2021 23:59Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amewashukuru na kuwapongeza marais Joe Biden wa Marekani na Emmanuel Macron wa Ufaransa, Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson na Kansela Angela Merkel wa Ujerumani kwa kuunga mkono utawala huo dhalimu katika jinai unazoendelea kufanya dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Wazayuni wakiri kipigo, wameshapata hasara ya dola milioni 160 kwa mashambulio ya muqawama
May 13, 2021 07:23Chama cha Wazalishaji Bidhaa cha utawala wa Kizayuni kimetangaza kuwa, tangu yalipoanza mashambulizi ya makombora wanamapambano wa Palestina siku chache zilizopita hadi hivi sasa, sekta ya uzalishaji bidhaa ya Israel imeshapata hasara ya dola miliioni 160.
-
Marekani sababu kuu ya jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapaletina
May 12, 2021 21:47Gazeti la Marekani la Washington Post limeashiria mashambulio na jinai za hivi karibuni za utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina katika mji mtakatifu wa Quds (Jerusalem) na kusema kuwa sio utawala huo tu ndio unazuia kufikiwa lengo lao tukufu la kuwa na nchi huru bali Marekani pia imekuwa na mchango mkubwa katika masaibu na matatizo ambayo yamewasibu kwa miongo kadhaa sasa.
-
Mbunge wa Ulaya: Israel inafanya jinai kwa kuungwa mkono na Marekani na Ulaya
May 12, 2021 21:44Mbunge mmoja wa Ireland katika Bunge la Ulaya amesema kuwa mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi madhlumu na wasio na ulinzi wa Palestina ni mauaji ya kizazi na kwamba, jinai hizo zisingelifanywa na Wazayuni kama si uungaji mkono wa pande zote wa Marekani na Ulaya kwa Israel.
-
Rais Rouhani: Wazayuni wauaji hawana uhusiano na dini yoyote ile
May 12, 2021 06:52Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Wazayuni makatili na wauaji hawana uhusiano na dini yoyote ile.
-
Zarif: Utawala wa Kizayuni umekithirisha jinai
May 12, 2021 03:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif amesema utawala wa Kizayuni wa Israel umekithirisha jinai zake.
-
The Guardian: Tunajuta kuunga mkono kuundwa utawala wa kizayuni wa Israel
May 11, 2021 20:24Gazeti la The Guardian la Uingereza limeandika makala kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka wa 200 tangu gazeti hilo linzishwe na limeeleza majuto yake kwa kuunga mkono suala la kuanzishwa utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi ya Paletina.