-
Kikao kisicho na tija cha Baraza la Usalama kuhusu Quds sanjari na ukwamishaji mambo wa Marekani
May 11, 2021 09:47Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusiana na hali ya mambo huko Quds Palestina kilifanyika Jumatatu ya jana tarehe 10 Mei na kumalizika bila ya natija yoyote.
-
Profesa wa Chuo Kikuu China: Iran ni moja ya nchi chache duniani zinazothubutu kuiambia Marekani "hapana"
May 07, 2021 10:59Mhadhiri wa chuo kikuu nchini China amesema, umoja na irada ya mataifa mawili ya China na Iran ya kusimama imara kukabiliana na uchu wa Marekani na utawala wa Kizayuni ni ya kupigiwa mfano.
-
Amir-Abdollahian: Chokochoko za utawala wa Kizayuni lazima zitajibiwa
May 02, 2021 22:46Katibu Mkuu wa Mkutano wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina amesisitiza kuwa, chokochoko na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel hazitoachwa vivi hivi bila ya kujibiwa.
-
Ehud Olmert: Kuna uwezekano wa kutokea Intifadha mpya ya Wapalestina
May 01, 2021 03:30Ehud Olmert, Waziri Mkuu wa zamani wa utawala haramu wa Israel ametahadharisha juu ya uwezekano wa kutokea Intifadha mpya ya Wapalestina.
-
Iran: Chokochoko za Wazayuni haziwezi kuachwa zipite vivi hivi bila ya majibu
Apr 29, 2021 22:46Katibu Mkuu wa Mkutano wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina amesisitiza kuwa, chokochoko za Wazayuni haziwezi kuachwa zipite vivi hivi bila ya majibu.
-
Kukingia kifua Marekani jinai za Israel dhidi ya binadamu na ubaguzi aina ya 'Apartheid'
Apr 29, 2021 22:41Marekani imechukua msimamo wa upande mmoja wa kupinga ripoti ya Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch ambayo inasema, utawala haramu wa Israel unatenda "jinai dhidi ya binadamu na ubaguzi aina ya apartheid na ukandamizaji" dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Hamas: Mapambano ndiyo njia pekee ya kukabiliana na Israel
Apr 27, 2021 01:41Mjumbe wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa kusalimu amri utawala wa Kizayuni wa Israel mbele ya waandamanaji wa Quds inayokaliwa kwa mabavu kumeonyesha kuwa, kusimama kidete na mapambano ndiyo njia pekee ya kukabiliana na utawala huo ghasibu.
-
Makundi ya muqawama ya Palestina: Quds na msikiti wa Al Aqsa ni mstari mwekundu
Apr 24, 2021 08:36Kitengo cha pamoja cha makundi ya muqawama ya Palestina kimetangaza kuwa, Quds na msikiti wa Al Aqsa ni mstari mwekundu; na uamuzi wa mwisho kuhusu matukufu mawili hayo utaamuliwa na muqawama.
-
Utawala wa Kizayuni waendelea kufanya wizi katika ardhi za Wapalestina
Apr 24, 2021 03:01Chombo kimoja cha Palestina kimelalamikia vikali jinai ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuendelea kupora ardhi za Wapalestina hususan katika mji wa Quds Mashariki.
-
Ismail Hania: Quds haitasalimu amri katika vita vya utambulisho mbele ya Wazayuni
Apr 23, 2021 07:34Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, Quds haitasalimu amri katika vita vya utambulisho mbele ya utawala haramu wa Israel na siasa zake za ubaguzi.