-
Hamas: Serikali za Marekani daima huukingia kifua utawala haramu wa Israel.
Nov 09, 2020 04:52Mjumbe wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa siasa za mambo ya nje za serikali zote zilizotawala Marekani daima zimekuwa zikiunga mkono na kuukingia kifua utawala haramu wa Israel
-
Mateka Mpalestina asitisha mgomo wa siku 103 wa kukataa kula baada ya mapatano
Nov 07, 2020 03:58Duru za habari zimedokeza kuwa, mateka maarufu Mplaestina amesitisha mgomo uliodumu siku 103 wa kukataa kula baada ya idara ya magereza katika utawala wa Kizayuni wa Israel kusalimu amri mbele ya irada yake.
-
Licha ya baadhi ya nchi za Kiarabu kujikomba kwa Wazayuni, Israel inaendelea kupora ardhi za Wapalestina
Nov 06, 2020 02:46Mwandishi mmoja Mzayuni amefichua kuwa, mpango wa utawala wa Kizayuni wa kumega ardhi zaidi za Wapalestina za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan unaendelea kwa kasi kubwa licha ya nchi za Kiarabu za Imarati, Bahrain na Sudan kutangaza uhusiano wa kawaida na Israel.
-
Kurefusha Marekani vikwazo dhidi ya Sudan; zawadi ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel
Nov 03, 2020 10:11Serikali ya Trump ikiwa na lengo la kuuridhisha utawala wa haramu wa Israel imechukua hatua tofauti ikiwemo ya kuandaa uwanja wa kutambuliwa rasmi utawala huo na mataifa ya Kiarabu na Kiislamu ambapo hatua yake ya karibuni kabisa na kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya Sudan na utawala huo ghasibu.
-
Wapalestina 3 wauawa shahidi na jeshi katili la Israel
Nov 02, 2020 00:52Vijana watatu wa Kipalestina wameuawa shahidi kwa kupigwa risasi na wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la al-Jalil, kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Kusitishwa uanachama wa Corbny ndani ya chama cha Leba kutokana na misimamo yake dhidi ya Uzayuni
Oct 31, 2020 06:31Jeremy Corbyn, kiongozi wa zamani wa chama cha Leba nchini Uingereza siku zote amekuwa akichukiwa na duru za Magharibi na Kizayuni kutokana na misimamo yake huru anayochukua hususan ya kupinga vitendo visivyo vya kibinadamu vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina kupitia matamshi na taarifa anazotoa.
-
'Mapatano ya Saudia na Israel itakuwa zawadi Aal Saud watakayomtunukia rais ajaye wa Marekani'
Oct 25, 2020 23:02Mkuu wa shirika la ujasusi la utawala haramu wa Israel, Mossad amesema utawala wa Aal Saud unataka kumtunukia kama zawadi rais ajaye wa Marekani mapatano itakayofanya ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala huo wa Kizayuni.
-
Kuanzishwa uhusiano baina ya Sudan na utawala haramu wa Israel na mustakbali wa nchi hiyo
Oct 24, 2020 23:07Hatimaye Sudan imesalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani na kukubali kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel. Sambambana na kutangaza habari hiyo, Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa, amewasilisha uamuzi wake wa kuliondoa jina la Sudan katika orodha ya nchi zinazounga mkono ugaidi kwenye Kongresi ya nchi hiyo.
-
Hamas: Israel haiwezi kuvunja azma na mapambano ya Wapalestina
Oct 24, 2020 00:50Msemaji wa Harakati ya Mapambabno ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa lengo la mashambulizi ya mara kwa mara ua utawala haramu wa Israel dhidi ya eneo la Ukanda wa Gaza ni kuvunja azma ya mapambano ya taifa la Palestina lakini utawala huo utashindwa na kugonga mwamba.
-
Lawama na ukosoaji dhidi ya Marekani kwa kuyatuhumu mashirika matatu ya haki za binadamu kuwa eti yana chuki na Mayahudi
Oct 23, 2020 09:42Katika kipindi cha miaka minne ya utawala wake, Rais Donald Trump wa Marekani amechukua hatua nyingi kwa madhumuni ya kuitetea na kuiunga mkono Israel na kuyapiga vita mashirika ya kimataifa ambayo yamechukua msimamo wa kuwatetea na kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina dhidi ya jinai wanazofanyiwa na utawala huo wa Kizayuni.