Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Maandamano ya watu wa Bahrain kupinga mapatano na utawala wa Israel

    Maandamano ya watu wa Bahrain kupinga mapatano na utawala wa Israel

    Oct 19, 2020 04:13

    Wananchi wenye hasira nchini Bahrain wameandamana kupinga safari ya ujumbe wa Marekani-Kizayuni katika nchi yao kwa lengo la kutangaza rasmi mapatano ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya Bahrain na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Ammar Hakim: Iraq katu haitakuwa na uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel

    Ammar Hakim: Iraq katu haitakuwa na uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel

    Oct 18, 2020 04:46

    Sayyid Ammar Hakim, Kiongozi wa Mrengo wa Kitaifa wa al-Hikma wa Iraq amelaani vikali siasa za baadhi ya mataifa ya Kiarabu katika eneo la Asia Magharibi za kufanya mapatano na utawala haramu wa Israel na kusisitiza kwamba, nchi yake katu haitafanya mapatano na utawala huo ghasibu.

  • Wabunge Waarabu wapinga uhusiano wa kawaida wa Imarati na Israel

    Wabunge Waarabu wapinga uhusiano wa kawaida wa Imarati na Israel

    Oct 15, 2020 23:08

    Muungano wa wabunge Waarabu katika bunge la utawala wa Kizayuni (Kneset) wamepinga makubaliano ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida baina ya Israel na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).

  • Hamas: Imarati na Bahran ziipe Israel baadhi ya ardhi zao....

    Hamas: Imarati na Bahran ziipe Israel baadhi ya ardhi zao....

    Oct 15, 2020 07:57

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetangaza kuwa kama watawala wa Imarati na Bahrain wanaliona suala la kuanzisha uhusiano na utawala ghasibu wa Israel ni jambo la kawaida basi watoe baadhi ya ardhi za nchi zao kwa utawala huo haramu.

  • Mazungumzo ya Lebanon na Israel kuhusu mpaka; hitilafu za kimpaka na malengo ya kisiasa

    Mazungumzo ya Lebanon na Israel kuhusu mpaka; hitilafu za kimpaka na malengo ya kisiasa

    Oct 15, 2020 06:40

    Duru ya kwanza ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya jumbe za mazungumzo za Lebanon na utawala haramu wa Israel ilifanyika jana Jumanne Oktoba 13 na yamepangwa kuendelea wiki mbili zijazo.

  • Ripoti: Wanawake na watoto zaidi ya elfu 13 wa Yemen ni wahanga wa mashambulizi ya Saudia

    Ripoti: Wanawake na watoto zaidi ya elfu 13 wa Yemen ni wahanga wa mashambulizi ya Saudia

    Oct 11, 2020 23:37

    Taasisi moja ya kutetea haki za binadamu nchini Yemen imetangaza kuwa wanawake na watoto zaidi ya elfu 13 wa Kiyemeni wameuawa katika mashambulizi ya muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia nchini humo.

  • Israel yaingiwa na kiwewe kuhusu kuanza Intifadha mpya Palestina

    Israel yaingiwa na kiwewe kuhusu kuanza Intifadha mpya Palestina

    Oct 10, 2020 08:46

    Mkuu wa Idara ya Utafiti katika Shirika la Ujasusi katika Jeshi la Utawala wa Kizayuni wa Israel (AMAN) amebainisha wasi wasi wake kuhusu kuanza Intifadha au mwamko mpya wa Wapalestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Harakati ya Fat'h ya Palestina yaamua kufuta mikataba yote na utawala wa Kizayuni

    Harakati ya Fat'h ya Palestina yaamua kufuta mikataba yote na utawala wa Kizayuni

    Oct 07, 2020 23:04

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Harakati ya Fat'h ya Palestina ametangaza uamuzi wa harakati hiyo wa kufuta makubaliano yake yote na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Wananchi wengi wa nchi za Kiarabu hawataki uhusiano na Wazayuni

    Wananchi wengi wa nchi za Kiarabu hawataki uhusiano na Wazayuni

    Oct 07, 2020 23:02

    Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa katika nchi zaidi ya 10 za Kiarabu unaonesha kuwa sehemu kubwa kupindukia ya wananchi wa nchi hizo hawataki uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Hamas: Waandishi wa habari wasiupe jukwaa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Hamas: Waandishi wa habari wasiupe jukwaa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Oct 06, 2020 04:13

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amewakosoa waandishi wa habari hususan katika nchi za Kiarabu kwa kumpa waziri wa vita wa Israel jukwaa la kuhubiri siasa na sera za utawala huo haramu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS