-
Israel kuendelea kupora ardhi zaidi za Wapalestina
Oct 05, 2020 04:33Utawala wa Kizayuni umeamua kujenga maelfu ya nyumba za walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina unazoendelea kupora huko Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Palestina: Ujenzi wa vitongoji vya Wazayuni unaendelea Ukingo wa Magharibi
Oct 02, 2020 23:12Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imetangaza kuwa, utawala wa Kizayuni unaendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika maeneo ya Wapalestina ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, tofauti kabisa na madai ya Imarati na Bahrain ya kusimamishwa ujenzi wa vitongoji hivyo baada ya nchi hizo mbili za Kiarabu kutangaza uhusiano wa kawaida na Israel.
-
Watunisia waandamana kuonyesha uungaji mkono wao kwa Wapalestina
Oct 02, 2020 06:51Kwa mara nyingine tena wananchi na shakhsia mbalimbali wa Tunisia wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo Tunis, kutangaza uungaji mkono wao kwa wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Bin Salman aonana kwa siri ya ujumbe wa utawala wa Kizayuni
Sep 30, 2020 22:59Afisa mmoja wa shirika la kijasusi la Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) ametangaza habari ya kufanyika mazungumzo ya siri baina ya mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman na ujumbe mmoja wa utawala wa Kizayuni.
-
Afisa wa Fat-h: Nchi za Kiarabu hazitapata manufaa yoyote kwa kufanya mapatano na Israel
Sep 27, 2020 10:33Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Harakati ya Fat-h ya Palestina amesema, nchi za Kiarabu hazitapata manufaa yoyote kwa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Imarati yafanya biashara na mashirika ya Kizayuni yaliyoko kwenye orodha nyeusi ya UN
Sep 24, 2020 23:03Mashirika kadhaa ya Umoja wa Falme za Kiarabu UAE yamesaini mkataba wa ushirikiano na mashirika na makampuni ya Kizayuni yaliyoko kwenye orodha nyeusi ya Umoja wa Mataifa kwa kuunga mkono ujenzi haramu wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni.
-
Walebanon waandamana dhidi ya hatua ya Imarati na Bahrain ya kuanzisha uhusiano na Israel
Sep 24, 2020 08:29Maelfu ya wananchi wa Lebanon wameandamana katika mji mkuu Beirut na kutangaza upinzani wao dhidi ya hatua yoyote ile ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Mirengo ya siasa Kuwait yakanusha kujiunga na mkumbo wa kutangaza uhusiano na Wazayuni
Sep 20, 2020 06:51Mirengo mbalimbali ya kisiasa ya Kuwait imekanusha madai ya rais wa Marekani, Donald Trump aliyedai kuwa nchi hiyo nayo itajiunga karibuni hivi katika mkumbo wa kutangaza uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni.
-
Ansarullah: Kuanzisha uhusiano na Israel ni kuhudumia kampeni za uchaguzi wa rais za Trump
Sep 19, 2020 22:09Harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah imetangaza kuwa hatua ya nchi za Imarati na Bahrain ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia na utawala haramu wa Israel ni kumhudumia Donald Trump katika kampeni za uchaguzi wa rais wa Marekani.
-
Tofauti baina ya Mapatano ya Abraham, Camp David na Wadi Araba
Sep 18, 2020 03:40Nchi za Kiarabu zimesaini mapatano mara tatu na utawala wa Kizayuni wa Israel na ya hivi karibuni zaidi kati ya mapatano hayo ni yale yliyopewa jina la Mapatano ya Abraham (Abraham Accords) yaliyosainiwa tarehe 15 mwezi huu wa Septemba katika Ikulu ya Rais wa Marekani, White House. Mapatano hayo matatu yana tofauti kadhaa na muhimu.