-
Utawala wa Kizayuni wajiepusha kuingia tena vitani na wanamuqawama wa Palestina
Feb 18, 2020 10:18Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni amesema kuwa utawala huo umeamua kujiepusha na kujiingiza vitani kwa mara nyingine tena na wanamuqawama wa Palestina.
-
Wawakilishi 107 wa Kongresi ya Marekani wapinga mpango wa "Muamala wa Karne" wa Trump
Feb 08, 2020 23:07Hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuzindua mpango kwa jina la 'Muamala wa Karne' tarehe 28 Januari mwaka huu ambao umewasilishwa eti kwa ajili ya kutatua mzozo wa muda mrefu kati ya Wapalestina na utawala wa Kizayuni, umepingwa vikali ndani na nje ya Marekani.
-
Barghuthi: Hatua za utawala wa Kizayuni hazitadhoofisha irada ya taifa la Palestina
Feb 08, 2020 09:47Katibu Mkuu wa Harakati ya Ubunifu wa Palestina amesema, hatua za utawala wa Kizayuni wa Israel haziwezi kudhoofisha irada ya taifa la Palestina.
-
Askari 15 wa Kizayuni wajeruhiwa vibaya wakati wakifanya majaribio ya silaha
Feb 03, 2020 23:09Vyombo vya habari vimeripoti kwamba kwa akali askari 15 wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamejeruhiwa vibaya wakati wakifanya majaribio ya silaha.
-
Rais wa Palestina azitaka nchi za Kiislamu na Kiarabu kususia "Muamala wa Karne" wa Trump
Jan 28, 2020 02:58Rais wa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina amezitaka nchi za Kiislamu na Kiarabu kususia uzinduzi wa mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusiana na mgogoro wa Palestina uliopewa jina la "Muamala wa Karne".
-
Hamas: Hatutaruhusu Mpango wa ‘Muamala wa Karne” utekelezwe
Jan 25, 2020 23:22Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa, katu haitaruhusu mpango uliojaa njama wa Marekani-Israel wa Muamala wa Karne utekelezwe na kufikia malengo yake machafu.
-
Rais Macron wa Ufaransa arushiana maneneo makali na polisi wa Israel mjini Quds
Jan 23, 2020 08:01Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ambaye yuko safarini katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu amerushuiana maneno makali na polisi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji wa Quds (Jerusalem).
-
Kukosolewa njama za Marekani za kukatiwa bajeti Shirika la UNRWA
Jan 17, 2020 23:23Tangu Rais Donald Trump wa Marekani ashike hatamu za uongozi na kuingia katika ikulu ya nchi hiyo White House, alichukua mkondo wa kuuunga mkono kibubusa na bila masharti yoyote utawala haramu wa Israel na siasa za kuwa dhidi ya Wapalestina.
-
Utawala wa katili wa Kizayuni wawashambulia Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza
Jan 17, 2020 08:46Helikopta ya utawala wa Kizayuni wa Israel imevurumisha makombora ambayo yamelenga vituo vya makundi ya wapigania ukombozi (wanamuqawama) wa Palestina katika eneo la mashariki mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Israel kuendelea kujenga vitongoji vya walowezi licha ya malalamiko ya walimwengu
Jan 16, 2020 04:27Utawala haramu wa Israel umetangaza kuwa, utaendelea na ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika maeneo ya Palestina unayoyakalia kwa mabavu.