Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Balozi wa Yemen Tehran: Wayemen wamevuruga uchumi wa utawala wa Kizayuni kwa mashambulizi yao

    Balozi wa Yemen Tehran: Wayemen wamevuruga uchumi wa utawala wa Kizayuni kwa mashambulizi yao

    Dec 22, 2024 04:40

    Balozi wa Yemen mjini Tehran, Iran, amesema kuwa wananchi wa Yemen wamefanikiwa kuvuruga uchumi wa utawala wa Kizayuni kwa kutekeleza oparesheni zao za kijeshi katika Bahari Nyekundu dhidi ya utawala huo; na hasa uchumi wa bandari ya Ailat ambayo ni bandari kubwa zaidi ya utawala wa Kizayuni ambayo imetangaza kufilisika.

  • Al Houthi: Mifumo ya ulinzi wa anga haiudhaminii usalama utawala wa Kizayuni

    Al Houthi: Mifumo ya ulinzi wa anga haiudhaminii usalama utawala wa Kizayuni

    Dec 22, 2024 00:11

    Muhammad Ali al Houthi mjumbe wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amezungumzia mashambulizi ya makombora ya nchi hiyo dhidi ya Israel na kusisitiza kuwa mifumo ya ulinzi wa anga ya utawala wa Kizayuni haiudhaminii usalama utawala huo.

  • Kombora la Yemen lapiga katikati ya Tel Aviv na kujeruhi watu 14, Israel yakiri imeshindwa kulitungua

    Kombora la Yemen lapiga katikati ya Tel Aviv na kujeruhi watu 14, Israel yakiri imeshindwa kulitungua

    Dec 21, 2024 00:12

    Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limetangaza kuwa kombora lililorushwa kutoka Yemen usiku wa kuamkia leo limepiga katikati ya mji mkuu wa utawala huo haramu Tel Aviv baada ya mifumo yake ya ulinzi wa anga kushindwa kulinasa na kulitungua.

  • Umoja wa Mataifa: Mashambulizi ya anga ya Israel nchini Syria lazima yasitishwe

    Umoja wa Mataifa: Mashambulizi ya anga ya Israel nchini Syria lazima yasitishwe

    Dec 20, 2024 04:29

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, mashambulizi ya anga ya utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Syria ni ukiukaji wa mamlaka ya kujitawala na utimilifu wa ardhi ya nchi hiyo.

  • Hamas: Mashambulizi ya Israel hayatavuruga azma ya Yemen

    Hamas: Mashambulizi ya Israel hayatavuruga azma ya Yemen

    Dec 19, 2024 08:02

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani mashambulizi ya kichokozi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Yemen na kutangaza kuwa, jinai hizo hazitazuia kuendelea uungaji mkono wa Sana'a kwa wananchi wa Palestina.

  • Mgogoro wa uraibu wa dawa za kulevya na pombe wawazonga vijana wa Israel

    Mgogoro wa uraibu wa dawa za kulevya na pombe wawazonga vijana wa Israel

    Dec 17, 2024 07:47

    Uraibu wa pombe, dawa za kulevya na kutoroka shule ni sehemu ndogo tu ya matatizo makubwa ambayo yamezidi kuwaandamana vijana wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika siku za hivi karibuni, hususan baada ya operesheni ya Kimbunga cha al Aqsa na kuanza vita vya Ghaza.

  • Kiongozi wa Tahrir al-Sham: Hatutaruhusu Syria itumike kufanyia mashambulio dhidi ya Israel

    Kiongozi wa Tahrir al-Sham: Hatutaruhusu Syria itumike kufanyia mashambulio dhidi ya Israel

    Dec 17, 2024 02:35

    Kiongozi wa kundi la wanamgambo wa Hay'at Tahrir al-Sham (HTS), ambalo liliiondoa madarakani serikali ya Syria mapema mwezi huu huku kukiwa na taarifa zilizoenea za kuungwa mkono kundi hilo na mataifa ya Magharibi na Israel, amesema hataruhusu ardhi ya Syria itumike kufanyia mashambulizi dhidi ya Israel.

  • Ripoti ya kila mwaka ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanywa na Marekani na Uingereza

    Ripoti ya kila mwaka ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanywa na Marekani na Uingereza

    Dec 16, 2024 03:22

    Kwa mujibu wa ripoti ya kila mwaka ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa Marekani na Uingereza, ripoti ambayo imeandaliwa kwa kutelekeza mswada uliopitishwa na Bunge la Iran mwaka 1391 Hijria Shamsia,

  • Radiamali ya kwanza ya Syria kwa mashambulizi ya Israel baada ya kuanguka serikali ya Assad

    Radiamali ya kwanza ya Syria kwa mashambulizi ya Israel baada ya kuanguka serikali ya Assad

    Dec 15, 2024 08:08

    Hatimaye watawala wapya wa Syria wametoa radiamali dhidi ya jinai za utawala haramu wa Israel baada ya mashambulizi ya mara kwa mara na mfululizo ya Tel Aviv dhidi ya umoja wa ardhi ya nchi hiyo na pia kukaliwa kwa mabavu maeneo mengi ya Syria.

  • Iran: Marekani imepuuza sheria za haki za binadamu kwa kuunga mkono utawala wa Kizayuni

    Iran: Marekani imepuuza sheria za haki za binadamu kwa kuunga mkono utawala wa Kizayuni

    Dec 15, 2024 07:54

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema katika ripoti yake ya kila mwaka kuwa: Marekani imepuuza sheria za kimataifa na maamuzi yote ya taasisi za haki za binadamu kwa uungaji mkono wake mkubwa na usio na kikomo kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS