Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Unicef: Ongezeko la ghasia na kuuawa watoto Ukanda wa Gaza ni maafa

    Unicef: Ongezeko la ghasia na kuuawa watoto Ukanda wa Gaza ni maafa

    Dec 15, 2024 07:33

    Msemaji wa Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) amesema kuwa hali ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza ni ya maafa matupu.

  • Waziri wa Lebanon: Israel imefanya uhalifu wa kivita wa kimazingira

    Waziri wa Lebanon: Israel imefanya uhalifu wa kivita wa kimazingira

    Dec 13, 2024 22:58

    Waziri wa Mazingira wa Lebanon amesema kuwa Israel imeharibu ardhi na misitu ya kusini mwa hiyo kwa kutumia silaha zilizopigwa marufuku.

  • Kupitishwa maazimio mawili katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu vita vya Gaza na UNRWA

    Kupitishwa maazimio mawili katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu vita vya Gaza na UNRWA

    Dec 13, 2024 11:19

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, limepitisha kwa wingi wa kura maazimio mawili yanayotoa wito wa kusitishwa mara moja vita vya Gaza na pia kuunga mkono shughuli za Shirika la Misaada na Ajira kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA).

  • Iran yaipongeza IAEA kwa kukiri kuwa Israel ina silaha za nyuklia, yataka ilazimishwe kuharibu silaha hizo

    Iran yaipongeza IAEA kwa kukiri kuwa Israel ina silaha za nyuklia, yataka ilazimishwe kuharibu silaha hizo

    Dec 13, 2024 00:11

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na Masuala ya Kimataifa na Kisheria amejibu hatua ya kukiri Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki kuhusu hatari za silaha za nyuklia za utawala wa Kizayuni, na kuutaka wakala huo ushughulikie silaha za nyuklia za Israel na sio kuusakama mradi wa matumizi ya amani wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. 

  • Ireland yajiunga na kesi ya Afrika Kusini ICJ dhidi ya Israel

    Ireland yajiunga na kesi ya Afrika Kusini ICJ dhidi ya Israel

    Dec 13, 2024 00:10

    Serikali ya Ireland imetangaza kujiunga na kesi iliyowasilishwa na Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) dhidi ya utawala haramu wa Israel unaotenda jinai dhidi ya Wapalestina.

  • Ripoti: Wapalestina 4000 wameuawa kaskazini mwa Gaza katika kipindi cha miezi miwili

    Ripoti: Wapalestina 4000 wameuawa kaskazini mwa Gaza katika kipindi cha miezi miwili

    Dec 13, 2024 00:09

    Kwa akali Wapalestina 4000 wameuawa shahidi kaskazini mwa Ukanda wa Gaza katika kipindi cha miezi miwili iliyopita kufuatia hatua za kikatili na hujuma za jeshi la utawala ghasibu wa Israel katika maeneo hayo.

  • RSF: Waandishi 54 wameuawa mwaka huu wakiwa kazini

    RSF: Waandishi 54 wameuawa mwaka huu wakiwa kazini

    Dec 13, 2024 00:08

    Shirika la kimataifa la Waandishi Habari wasiokuwa na Mipaka, RSF limetangaza kuwa, takribani waandishi habari 54 wameuawa ulimwenguni kote mwaka huu katika mazingira yanayohusisha kazi zao.

  • Reuters: Trump amemwambia Zelensky anataka vita

    Reuters: Trump amemwambia Zelensky anataka vita "visimamishwe mara moja"

    Dec 12, 2024 07:02

    Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemwambia Rais Vladimir Zelensky wa Ukraine na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kwamba anataka kukomeshwa uhasama wa vita kati ya Russia na Ukraine haraka iwezekanavyo. Hayo ni kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters likizinukuu duru kadhaa.

  • Israel yaishambulia Hospitali Ghaza mara kadhaa, yaua watu 30 kati ya waliokuwemo ndani

    Israel yaishambulia Hospitali Ghaza mara kadhaa, yaua watu 30 kati ya waliokuwemo ndani

    Dec 06, 2024 10:23

    Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeshambulia mara kadhaa hospitali ya Kamal Adwan na majengo kadhaa ya karibu ya makazi ya raia kaskazini mwa Ukanda wa Ghaza, na kuwaua shahidi Wapalestina wasiopungua 30 na kuwajeruhi wengine wengi.

  • Sheikh Naim Qassim: Muqawama uko imara na umepata ushindi

    Sheikh Naim Qassim: Muqawama uko imara na umepata ushindi

    Dec 06, 2024 00:21

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, muqawama ukitegemea nguvu na uwezo wa wapiganaji wake umepata ushindi katika vita dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS