-
UN: Kati ya Wasudan 3 mmoja ni mkimbizi na kati ya wakimbizi 6 duniani, mmoja ni Msudan
Apr 16, 2025 02:22Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR, Kanda ya Afrika Mashariki, Pembe ya Afrika na Maziwa Makuu, Mamadou Dian Balde amesema, mmoja kati ya Wasudan watatu kwa sasa ni wakimbizi, na mmoja kati ya watu sita waliopoteza makazi yao duniani anatoka Sudan.
-
Jinai za kinyama za Israel Ghaza hazina udhibiti, Wapalestina wengine 37 wauawa shahidi
Apr 14, 2025 06:12Mashambulio makubwa na ya kinyama yaliyofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika maeneo mbalimbali ya Ghaza yamewaua shahidi Wapalestina wengine wasiopungua 37.
-
Maariv: Hamas bado inadhibiti Ukanda wa Gaza
Apr 10, 2025 11:39Vyombo vya habari vya Kizayuni vimekiri kuwa, zaidi ya mwaka mmoja na nusu tangu kuanza vita na mshambulizi ya kijeshi dhidi ya Ukanda wa Gaza, harakati ya Hamas bado inadhibiti eneo hilo na utawala wa Kizayuni umeshindwa kufikia malengo yake.
-
Luteni Jenerali Werede atangazwa kuwa rais mpya wa muda wa eneo la Tigray, Ethiopia
Apr 09, 2025 06:36Luteni Jenerali Tadesse Werede ametangazwa kuwa rais mpya wa muda wa eneo la Tigray kuchukua nafasi ya Getachew Reda.
-
Kofi la Afrika kwa Uzayuni; Mwakilishi wa Israel afukuzwa makao makuu ya AU
Apr 09, 2025 03:06Jumatatu wiki hii balozi wa Israel nchini Ethiopia, Abraham Negussie, alifukuzwa katika Ukumbi wa Mandela katika makao makuu ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa.
-
Mwangwi wa hasira za wananchi wa Morocco dhidi ya jinai za Israel
Apr 08, 2025 11:55Maelfu ya wananchi wa Morocco wamefanya maandamano huko Rabat, mji mkuu wa nchi hiyo wakilaani jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Ghaza na kutaka kufutwa makubaliano ya kuwa na uhusiano wa kawaida kati ya Morocco na utawala wa Kizayuni.
-
Ulaya inapoteza itibari ya kimaadili kwa kuitetea Israel
Apr 07, 2025 07:26Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje Iran amesema bara Ulaya linapoteza itibari ya kimaadili kwa kuutetea utawala wa Kizayuni wa Israel na kwa msingi huo itajipata katika upande mbaya wa historia.
-
Uingereza yailalamikia Israel kwa kuwakamata, kuwadhalilisha na kuwatimua wabunge wake
Apr 07, 2025 03:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza ameulaumu utawala wa Kizayuni Israel kwa kuwazuia kuingia, kuwakamata na kisha kuwatimua wabunge wawili wa chama tawala cha nchi hiyo cha Leba katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel.
-
Mufti wa Oman akosoa vikali kimya kinachoonyeshwa mbele ya jinai za Israel dhidi ya Ghaza
Apr 05, 2025 07:20Mufti Mkuu wa Oman, Sheikh Ahmed al-Khalili, amekosoa vikali kimya kinachoonyeshwa mbele ya jinai za kinyama zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.
-
UN: Israel imegeuza theluthi mbili za ardhi ya Ghaza kuwa eneo lisiloruhusiwa kufika
Apr 05, 2025 02:36Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imetangaza kuwa, hivi sasa utawala wa Kizayuni wa Israel umewawekea vizuizi Wapalestina vya kutoruhusiwa kufika kwenye takriban theluthi mbili ya eneo la Ukanda wa Ghaza, ama kwa kuyatangaza maeneo makubwa kadhaa ya ukanda huo kuwa ni marufuku kufika au kutoa amri ya kuwalazimisha wananchi hao kuyahama makazi yao.