-
Al Mayadeen: Rasimu ya taarifa ya kikao cha Doha itakuwa ya kurudia kuulaani tu utawala wa kizayuni
Sep 15, 2025 03:33Rasimu ya mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi za Kiarabu na Kiislamu unaofanyika katika mji mkuu wa Qatar, Doha inaonyesha kuwa, taarifa itakayotolewa mwishoni mwa kikao hicho itakuwa ni ya kulaani tu vitendo vya utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Kwa nini maelfu ya Wazayuni wanataka kusimamishwa vita vya Gaza?
Sep 10, 2025 10:07Maelfu ya Wazayuni wamefanya maandamano ya kumpinga Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni na kutaka kusitishwa mara moja vita vya Ukanda wa Gaza na kukombolewa mateka wa Kizayuni.
-
Uhispania yamuita nyumbani balozi wake wa Israel
Sep 10, 2025 03:10Vyombo vya habari vya Uingereza vimeripoti kuwa Uhispania imemuita tena balozi wake katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) ikilalamikia sera za mauaji za Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Kwa nini utawala wa Israel na Australia zinaendelea kushirikiana nyuma ya pazia licha ya mivutano ya kidiplomasia?
Sep 09, 2025 22:57Katika hali ambayo uhusiano wa kidiplomasia kati ya utawala wa Kizayuni na Australia umefika kiwango cha chini na kufutwa kwa viza za wanadiplomasia kumezidisha mivutano; lakini pande mbili hizo zinaendelea kushirikiana katika masuala ya kiusalama, kiteknolojia na kiuchumi.
-
Kwa nini Tume ya Ulaya haikubali hata maneno ya mwakilishi wake yenyewe kuhusu mauaji ya kimbari huko Gaza?
Sep 07, 2025 23:01Siku ya Ijumaa, Agosti 5, Kamisheni ya Umoja wa Ulaya ilipuuza kauli ya Teresa Ribera, Naibu MKuu Mtendaji wake kuhusu mauaji ya kimbari ya Israel katika Ukanda wa Gaza, na kudai kwamba jinai hizo zinaweza tu kuthibitishwa na mahakama husika.
-
Watu wa Afrika walaani jinai za utawala wa Israel dhidi ya Yemen na Gaza
Sep 05, 2025 06:54Wananchi wa nchi kadhaa za Afrika wamefanya maandamano makubwa kulaani jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Yemen na Gaza, wakionesha mshikamano wa wazi na harakati za ukombozi wa Wapalestina.
-
Hatua za Israel dhidi ya Yemen na Gaza zimeakisiwa vipi miongoni mwa watu wa Afrika?
Sep 02, 2025 23:02Wananchi wa baadhi ya nchi za Kiafrika wamefanya maandamano makubwa kujibu jinai za Israel za kuishambulia Yemen na kuendelea jinai za utawala huo ghasibu dhidi ya Ukanda wa Gaza.
-
Msimamo wa karibuni wa Malaysia kuhusiana na utawala wa kizayuni na jinai unazofanya Ghaza
Sep 01, 2025 03:54Malaysia imeitaka Jamii ya Kimataifa isimamishe uwanachama wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Umoja wa Mataifa na kuuwekea vikwazo vikali utawala huo ghasibu.
-
Biashara ya umwagaji damu za watoto na namna mauaji ya kimbari ya Ghaza yanavyoipatia faida nono Lockheed Martin ya US
Aug 31, 2025 03:43Kampuni ya Lockheed Martin ni moja ya waundaji wakubwa zaidi wa silaha na zana za kijeshi duniani na inahesabiwa kuwa miongoni mwa taasisi kubwa zaidi katika sekta ya kijeshi na viwanda nchini Marekani.
-
UN: Janga la njaa la Ghaza ni matokeo ya kucheleweshwa upelekaji misaada kwa miezi 22
Aug 28, 2025 02:37Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na uratibu wa masuala ya kibinadamu ametangaza kuwa baa la njaa lililothibitishwa rasmi katika Ukanda wa Ghaza ni matokeo ya kucheleweshwa kwa miezi 22 upelekaji misaada ya kibinadamu katika eneo hilo la Palestina lililowekewa mzingiro na Israel.