Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Duru mpya ya mashambulizi ya Wazayuni dhidi ya Lebanon

    Duru mpya ya mashambulizi ya Wazayuni dhidi ya Lebanon

    Sep 25, 2024 04:24

    Jeshi la utawala katili wa Israel limeendeleza jinai zake kwa shambulia kwa mabomu maeneo ya raia mashariki mwa Lebanon.

  • Ayatullah Sistani: Ichukuliwe hatua haraka kukomesha uchokozi wa Israel dhidi ya Lebanon

    Ayatullah Sistani: Ichukuliwe hatua haraka kukomesha uchokozi wa Israel dhidi ya Lebanon

    Sep 24, 2024 07:41

    Kiongozi wa juu wa kidini na Marjaa-Taqlidi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq Ayatullah Ali al-Sistani ameelezea mshikamano wake na Lebanon wakati nchi hiyo ya Kiarabu na Kiislamu inaendelea kuandamwa na mashambulio ya kinyama ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel na ametaka zifanyike juhudi za dharura kusitisha uchokozi huo wa kikatili wa utawala huo na kuwalinda raia wa Lebanon.

  • Profesa Fraihat: Vita vya Lebanon ni vya tatu vinavyofadhiliwa na serikali ya Biden

    Profesa Fraihat: Vita vya Lebanon ni vya tatu vinavyofadhiliwa na serikali ya Biden

    Sep 24, 2024 07:36

    Ibrahim Fraihat, Profesa wa Taaluma ya Usuluhishi wa Mizozo ya Kimataifa katika Taasisi ya Doha ya Mafunzo ya Wahitimu, amesema kupanuka kwa vita vilivyoanzishwa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Ghaza hadi Lebanon kulitarajiwa, lakini kile ambacho hakikutarajiwa ni idadi kubwa ya vifo ndani ya muda wa siku moja.

  • Nabih Berri atahadharisha kuhusu hulka ya kupenda vita ya utawala wa Kizayuni katika eneo

    Nabih Berri atahadharisha kuhusu hulka ya kupenda vita ya utawala wa Kizayuni katika eneo

    Sep 23, 2024 08:32

    Spika wa bunge la Lebanon ameashiria kuendelea mashambulizi ya utawala wa Kizayuni nchini humo na kusema, Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala huo anafanya kila awezalo ili kuitumbukiza Lebanon na eneo hili katika vita vikubwa.

  • Rais wa Colombia alaani kimya cha vyombo vya habari kwa mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel Ghaza

    Rais wa Colombia alaani kimya cha vyombo vya habari kwa mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel Ghaza

    Sep 23, 2024 04:24

    Rais Gustavo Petro wa Colombia amelaani kimya kinachoonyeshwa kwa vita vya kinyama vinavyoendelezwa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza, na kusisitiza kwamba mauaji ya kimbari yanafanyika huko Palestina.

  • Sheikh Naeem Qasim: Marekani ni mshirika wa jinai za utawala wa Kizayuni

    Sheikh Naeem Qasim: Marekani ni mshirika wa jinai za utawala wa Kizayuni

    Sep 23, 2024 03:39

    Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema Marekani ni mshirika wa mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Kizayuni huko Ukanda wa Gaza na Lebanon.

  • Kan'ani: Marekani ndiyo inayopaswa kubeba dhima ya jinai za Israel huko Palestina, Lebanon na Syria

    Kan'ani: Marekani ndiyo inayopaswa kubeba dhima ya jinai za Israel huko Palestina, Lebanon na Syria

    Sep 21, 2024 23:29

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya ya Iran amesema kuwa, Marekani ndiyo inayopaswa kubeba dhima na kujibu malalamiko makubwa ya kimataifa kwa kushiriki kwake katika jinai za utawala wa Kizayuni huko Palestina, Lebanon na Syria.

  • Wafanyakazi wa Umoja wa Ulaya waandamana kupinga uungaji mkono wa EU kwa Israel

    Wafanyakazi wa Umoja wa Ulaya waandamana kupinga uungaji mkono wa EU kwa Israel

    Sep 21, 2024 01:01

    Wafanyakazi wa mashirika yenye uhusiano na Umoja wa Ulaya wamepinga sera ya umoja huo kuhusu Palestina na kutoa wito wa kusitishwa mara moja na daima mapigano huko Gaza, Palestina.

  • Iran: Vitendo vya kiwendawazimu vya Israel inapasa vikabiliwe na hatua za haraka za kimataifa

    Iran: Vitendo vya kiwendawazimu vya Israel inapasa vikabiliwe na hatua za haraka za kimataifa

    Sep 20, 2024 04:11

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, vitendo vya kiwendawazimu vya utawala wa Kizayuni ni tishio la wazi kwa amani na usalama wa dunia na inapasa vikabiliwe na hatua za haraka za kimataifa.

  • Mbunge Mmarekani Mpalestina alikabidhi Bunge la US orodha ya majina ya watoto waliouliwa Ghaza

    Mbunge Mmarekani Mpalestina alikabidhi Bunge la US orodha ya majina ya watoto waliouliwa Ghaza

    Sep 20, 2024 03:22

    Mbunge Muislamu wa Marekani mwenye asili ya Palestina Rashida Tlaib amewasilisha mbele wa Bunge la Marekani kwa ajili ya kuwekwa kwenye kumbukumbu majina ya watoto wa Kipalestina waliouliwa na jeshi dhalimu la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS