Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Data za Waindonesia milioni sita akiwemo Rais na wanawe zavujishwa na kuuzwa tovutini

    Data za Waindonesia milioni sita akiwemo Rais na wanawe zavujishwa na kuuzwa tovutini

    Sep 20, 2024 03:21

    Data za walipakodi milioni sita katika taifa la nne kwa idadi kubwa zaidi ya watu duniani, Indonesia, zikiwemo za Rais anayemaliza muda wake Joko Widodo, zimedaiwa kuvujishwa na kuuzwa. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na vyombo vya habari jana Alkhamisi.

  • Kombora la jeshi la Yemen dhidi ya Tel Aviv; kushindwa kukubwa kwa ulinzi wa anga wa utawala wa Kizayuni

    Kombora la jeshi la Yemen dhidi ya Tel Aviv; kushindwa kukubwa kwa ulinzi wa anga wa utawala wa Kizayuni

    Sep 16, 2024 22:57

    Ikiwa ni katika kuendelea kuwatetea wananchi wa Ukanda wa Gaza dhidi ya mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni, Harakati ya Ansarullah ya Yemeni imelenga mji wa Tel Aviv kwa kombora la balistiki ambapo mifumo ya ulinzi wa anga ya utawala wa Kizayuni wa Israel imeshindwa kuzuia kombora hilo.

  • Kuendelea visa vya watu kujichoma moto huko Marekani; nembo ya kupinga vita vya Ukanda wa Gaza

    Kuendelea visa vya watu kujichoma moto huko Marekani; nembo ya kupinga vita vya Ukanda wa Gaza

    Sep 16, 2024 07:47

    Raia mmoja wa Marekani aliyejulikana kwa jina na Matt Nelson amejichoma moto katika mji wa Boston akipinga na kulalamikia vita vya Israel dhidi ya watu wa Gaza.

  • Qalibaf: Madai ya uwongo ya nchi za Magharibi yanakwamisha mazungumzo yenye tija

    Qalibaf: Madai ya uwongo ya nchi za Magharibi yanakwamisha mazungumzo yenye tija

    Sep 15, 2024 23:23

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa hakutakuwepo mazungumzo yoyote yenye tija maadamu nchi za Ulaya na nyingine za Magharibi zinataka kuandaa mazingira kwa ajili ya mashinikizo zaidi kwa kutoa madai ya uwongo.

  • Iran yakanusha madai ya kujaribu kuwamaliza wapinzani nje ya nchi

    Iran yakanusha madai ya kujaribu kuwamaliza wapinzani nje ya nchi

    Sep 13, 2024 04:02

    Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa mjini New York amepinga vikali madai ya kuwepo majaribio ya kuwamaliza wapinzani wa Jamhuri ya Kiislamu nje ya nchi akiyataja kuwa ni "uzushi" uliobuniwa na maadui.

  • Afisa wa Hamas: Marekani inahalalisha kwa kila njia mauaji ya kimbari ya Israeli

    Afisa wa Hamas: Marekani inahalalisha kwa kila njia mauaji ya kimbari ya Israeli

    Sep 11, 2024 02:07

    Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas amekosoa misimamo ya Marekani kuhusu vita vya Gaza na kusema: 'Washington inahalalisha kwa kila njia mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.'

  • Ukweli wa kushtusha wafichuliwa kuhusu UK inavyoshirikiana na Israel katika vita vya Ghaza

    Ukweli wa kushtusha wafichuliwa kuhusu UK inavyoshirikiana na Israel katika vita vya Ghaza

    Sep 10, 2024 22:52

    Kiongozi wa zamani wa Chama cha Leba cha Uingereza Jeremy Corbyn ameikosoa vikali serikali ya nchi hiyo kwa namna inavyoshirikiana na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika kuvuruga zaidi hali ya mambo katika eneo la Magharibi mwa Asia.

  • Israel imeua kinyama Wapalestina katika 'eneo salama' kwa mabomu mazito iliyopatiwa na Marekani

    Israel imeua kinyama Wapalestina katika 'eneo salama' kwa mabomu mazito iliyopatiwa na Marekani

    Sep 10, 2024 22:51

    Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel lilitumia mabomu makubwa liliyopatiwa na Marekani kushambulia "eneo salama la kibinadamu" kusini mwa Ukanda wa Ghaza, na kuzifukia familia nzima kadhaa.

  • Serikali ya Australia kupitisha sheria ya kupiga marufuku vijana wadogo kutumia mitandao ya kijamii

    Serikali ya Australia kupitisha sheria ya kupiga marufuku vijana wadogo kutumia mitandao ya kijamii

    Sep 10, 2024 22:50

    Waziri Mkuu wa Australia Anthony Albanese ametangaza kuwa serikali yake inapanga kupiga marufuku watoto kutumia mitandao ya kijamii.

  • Iran yaihimiza zaidi jamii ya kimataifa iilazimishe Israel ikomeshe jinai zake

    Iran yaihimiza zaidi jamii ya kimataifa iilazimishe Israel ikomeshe jinai zake

    Sep 10, 2024 07:47

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameitaka jamii ya kimataifa na taasisi zenye ushawishi kimataifa hususan Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuulazimisha utawala wa Kizayuni ukomeshe jinai zake huko Ghaza na katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS