Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Mauaji ya kimbari huko Khan Yunis yasababisha zaidi ya mashahidi na majeruhi 100

    Mauaji ya kimbari huko Khan Yunis yasababisha zaidi ya mashahidi na majeruhi 100

    Sep 10, 2024 04:28

    Maghasibu wa Kizayuni wamefanya jinai nyingine kwa kuyashamvulia leo Jumanne asubuhi mahema ya wakimbizi huko Khan Yunis katika mkoa wa Al-Mawasi.

  • Takwa la Umoja wa Mataifa la kuwekewa vikwazo Israel

    Takwa la Umoja wa Mataifa la kuwekewa vikwazo Israel

    Sep 09, 2024 09:36

    Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki ya chakula amesema kuwa, Israel sio tu inazuia misaada ya kibinadamu kuingia Gaza, bali pia inaharibu ardhi na vyanzo vya chakula vya Palestina.

  • Ripota Maalumu wa UN ataka kuwekewa vikwazo utawala wa Kizayuni

    Ripota Maalumu wa UN ataka kuwekewa vikwazo utawala wa Kizayuni

    Sep 09, 2024 07:11

    Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na suala la haki ya chakula ametaka kuwekewa vikwazo utawala wa Kizayuni kwa jinai unaozoendelea kutekeleza katika Ukanda wa Gaza.

  • US yaja na mpango mpya wa kusitisha vita Ghaza,

    US yaja na mpango mpya wa kusitisha vita Ghaza, "bila matumaini" ya kufikiwa mwafaka

    Sep 09, 2024 03:20

    Maafisa wa Marekani na wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamesema, Washington "haina matumaini" ya kufikiwa makubaliano ya kubadilishana mateka na makundi ya Palestina katika Ukanda wa Ghaza, lakini pamoja na hayo, karibuni hivi itawasilisha pendekezo lake jipya.

  • Idadi ya waliouawa shahidi katika shambulio la utawala wa Kizayuni dhidi ya Syria yaongezeka

    Idadi ya waliouawa shahidi katika shambulio la utawala wa Kizayuni dhidi ya Syria yaongezeka

    Sep 09, 2024 03:18

    Idadi ya watu waliouawa shahidi katika shambulio la utawala wa Kizayuni dhidi ya Syria imeongezeka na kufikia watu 14.

  • Hamas yapinga makubaliano yanayotambua rasmi uwepo wa Israel huko Ghaza

    Hamas yapinga makubaliano yanayotambua rasmi uwepo wa Israel huko Ghaza

    Sep 06, 2024 03:56

    Mkuu wa timu ya mazungumzo ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amesema harakati hiyo ya muqawama haitaafiki makubaliano ambayo yanahalalisha uwepo wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.

  • Matokeo ya kujiuzulu kamanda wa vikosi vya nchi kavu vya utawala wa Kizayuni

    Matokeo ya kujiuzulu kamanda wa vikosi vya nchi kavu vya utawala wa Kizayuni

    Sep 05, 2024 23:34

    Kujiuzulu kwa kamanda wa vikosi vya nchi kavu vya utawala wa Kizayuni wa Israel ni natija ya kushadidi hitilafu na mifarakano ya ndani kati ya jeshi na Wazayuni wenye misimamo ya kufurutu ada.

  • Walowezi wa Kizayuni wapiga muziki na kufanya ibada zao kwenye eneo la Msikiti wa Ibrahimi

    Walowezi wa Kizayuni wapiga muziki na kufanya ibada zao kwenye eneo la Msikiti wa Ibrahimi

    Sep 03, 2024 23:09

    Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeruhusu maelfu ya walowezi haramu kufanya tamasha la muziki na ibada zao katika eneo la Msikiti wa Ibrahimi ulioko kwenye mji wa Al-Khalil, Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan unaokaliwa kwa mabavu baada ya kuufunga Msikiti huo usitumiwe na Waislamu Wapalestina.

  • Mkuu wa mtandao wa fedha wa shirika la ujasusi la Israel Mossad atiwa mbaroni nchini Uturuki

    Mkuu wa mtandao wa fedha wa shirika la ujasusi la Israel Mossad atiwa mbaroni nchini Uturuki

    Sep 03, 2024 23:08

    Polisi wa Istanbul wamemtia mbaroni Liridon Rexhepi, ambaye Shirika la Taifa la Intelijensia la Uturuki (MIT) limemtambua kama Mkuu wa Mtandao wa Fedha wa shirika la ujasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel Mossad ndani ya nchi hiyo. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti zilizotolewa jana Jumanne na duru za usalama za Uturuki.

  • Iran: Jamii ya kimataifa iwawajibishe ‘vinara wa mauaji ya kimbari’ wa Israel

    Iran: Jamii ya kimataifa iwawajibishe ‘vinara wa mauaji ya kimbari’ wa Israel

    Sep 02, 2024 04:26

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa wito wa kuwajibishwa "viongozi watenda jinai" wa utawala wa Israel kwa jinai zao dhidi ya raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza, huku vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa eneo hilo lililozingirwa vikiendelea bila kusitishwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS