-
Mamia ya mashirika na taasisi za kutetea haki za binadamu zataka kusitishwa uuzaji silaha kwa Israel
Apr 12, 2024 23:15Zaidi ya mashirika na taasisi 250 za kutetea haki za binadamu kutoka nchi tofauti za dunia zimetoa wito wa kusimamisha upelekaji silaha kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mauaji ya makamanda wa Muqawama na familia zao; ujumbe na matokeo yake
Apr 12, 2024 09:15Utawala wa kizayuni wa Israel umefanya jinai nyingine na kuwauwa shahidi watoto na wajukuu wa Ismail Haniyeh, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas).
-
Euro-Med: Zaidi ya Wapalestina 13,000 hawajulikani waliko tangu vilipoanza vita vya Ghaza hadi sasa
Apr 12, 2024 07:15Shirika la kutetea haki za binadamu la Euro-Mediterranean Human Rights Watch limetangaza kuwa Wapalestina zaidi ya 13,000 wametoweka na hawajulikani waliko tangu vilipoanza vita katika Ukanda wa Ghaza hadi sasa.
-
Umoja wa Mataifa wabainisha 'wasiwasi mkubwa' kuhusu Israel kuua wafanyakazi wa misaada Gaza
Apr 12, 2024 03:57Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limesema limetiwa "wasiwasi mkubwa" na shambulio la anga la hivi karibuni lililofanywa na utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza na kuua wafanyakazi saba wa shirika la misaada lenye makao yake makuu nchini Marekani.
-
Raisi: Waislamu wana wajibu wa kukomesha mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza
Apr 10, 2024 00:07Rais wa Iran, Ebrahim Raisi, amesema ni wajibu wa kibinadamu na kidini kwa nchi za Kiislamu kukomesha mauaji ya kimbari ya miezi kadhaa ya utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina huko Gaza.
-
Balozi wa Afrika Kusini nchini Iran: Jinai za Israel Ukanda wa Gaza ni mauaji ya kimbari
Apr 09, 2024 04:27Balozi wa Afrika Kusini nchini Iran amesema kuwa jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel huko Ukanda wa Gaza ni mauaji ya kimbari.
-
Kamanda Mkuu wa jeshi la Iran: Kuendelea serikali ya Netanyahu ni kuendeleza vita Ukanda wa Gaza
Apr 08, 2024 08:23Kamanda Mkuu wa jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kuendelea kuhudumu serikali ya Beanjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni kunafungamana na kuendelea vita huko Ukanda wa Gaza.
-
Kuongezeka mashinikizo dhidi ya serikali ya Biden kwa ajili ya kupungaza uungaji mkono wake kwa utawala wa Kizayuni
Apr 07, 2024 03:37Kuendelea vita vya Ghaza na jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wasiokuwa na hatia wa eneo hilo na hasa mauaji ya kimbari na utumiaji njaa kama silaha, kumezidisha mashinikizo ya ndani kwa serikali ya Biden ya kumtaka apunguze uungaji mkono wake kwa Tel Aviv, na wakati huo huo, kuongeza pia tofauti kati ya Ikulu ya White House na Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni.
-
Mbali na jinai nyinginezo, Israel inawashikilia mamia ya watoto wa Palestina kwenye jela za kutisha
Apr 06, 2024 07:04Klabu wa Mateka wa Palestina imesema kuwa, mbali na jinai zake nyinginezo nyingi zisizo na mfano, utawala wa Kizayuni unawashikilia mamia ya watoto wadogo wa Palestina katika jela zake za kuogofya.
-
Siku ya Quds ya aina yake; Kimbunga cha al Ahrar dhidi ya utawala dhalimu wa Kizayuni
Apr 06, 2024 05:51Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds mwaka huu yamekuwa tofauti sana ikilinganishwa na miaka iliyopita; ambapo wananchi katika nchi mbalimbali duniani wameshiriki kwa wingi katika maadhimisho hayo ikiwemo hapa nchini Iran.