Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran: Tuitumie vyema fursa ya mwezi mtukufu wa Ramadhani

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran: Tuitumie vyema fursa ya mwezi mtukufu wa Ramadhani

    Mar 08, 2024 09:16

    Imam wa muda wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amewataka Waislamu kujiandaa vizuri kwa ajili ya kuingia kwenye mwezi mtukufu wa Ramadhani kama ambavyo pia amesisitiza kwamba, washindi wa vita vya utawala wa Kizayuni huko Ghaza, ni Wapalestina.

  • Mkuu wa Idara ya Mahakama Iran ataka mataifa ya Kiislamu kukata uhusiano wa kibiashara na Israel

    Mkuu wa Idara ya Mahakama Iran ataka mataifa ya Kiislamu kukata uhusiano wa kibiashara na Israel

    Mar 07, 2024 22:54

    Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran amesisitiza juu ya ulazima wa kukatwa uhusiano wa kibiashara kati ya nchi za Kiislamu na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Muqawama wa Iraq waendeleza mashambulizi dhidi ya maeneo ya Wazayuni + VIDEO

    Muqawama wa Iraq waendeleza mashambulizi dhidi ya maeneo ya Wazayuni + VIDEO

    Mar 06, 2024 23:00

    Makundi ya muqawama wa Kiislamu ya Iraq yametangaza kuwa yameendelea kuyashambulia maeneo mbalimbali ya utawala wa Kizayuni kwa kutumia droni (ndege zisizo na rubani) na kwamba mashambulizi hayo yataendelea hadi Israel itakapokomesha mashambulio yake dhidi ya Ukanda wa Ghaza.

  • Hizbullah yayatwanga tena maeneo ya Wazayuni kwa mvua ya makombora

    Hizbullah yayatwanga tena maeneo ya Wazayuni kwa mvua ya makombora

    Mar 06, 2024 10:31

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa, imekitwanga kwa makumi ya makombora ya Katyusha, kitongoji cha walowezi wa Kizayuni cha Kfar Blum cha kaskazini mwa ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel.

  • Ukosoaji wa UN wa mashambulizi ya makusudi ya Israel dhidi ya misafara ya misaada huko Gaza

    Ukosoaji wa UN wa mashambulizi ya makusudi ya Israel dhidi ya misafara ya misaada huko Gaza

    Mar 06, 2024 08:01

    Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Haki ya Chakula ametangaza kwamba, jeshi la Israel linashambulia kwa makusudi misafara ya misaada ya kibinadamu huko Gaza licha ya kujua njia za misafara hiyo.

  • Wataalamu: Baada ya siku 150, Israel haijafikia hata lengo moja la kijeshi katika vita vya Ghaza

    Wataalamu: Baada ya siku 150, Israel haijafikia hata lengo moja la kijeshi katika vita vya Ghaza

    Mar 06, 2024 00:07

    Wataalamu wa masuala ya kijeshi wamesema, baada ya kupita siku 150, utawala wa Kizayuni wa Israel haujaweza kufikia malengo uliyotangaza kuwa sababu ya kuanzisha vita dhidi ya Ukanda wa Ghaza, licha ya kuua maelfu ya Wapalestina, kujeruhi maelfu ya wengine, mbali na mamia ya maelfu walioachwa bila makazi pamoja na kuugeuza ukanda huo kuwa eneo la magofu.

  • Kuongezeka uungaji mkono wa wananchi wa Marekani kwa Wapalestina

    Kuongezeka uungaji mkono wa wananchi wa Marekani kwa Wapalestina

    Mar 05, 2024 04:12

    Matokeo ya uchunguzi wa maaoni uliofanywa na jarida la Wall Street Journal yanaonyesha kuwa, wananchi wengi wa Marekani hawaridhishwi na utendaji kazi wa Rais Joe Biden katika vita vya Gaza.

  • Kimya cha taasisi za kimataifa kuhusu kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni huko Ghaza.

    Kimya cha taasisi za kimataifa kuhusu kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni huko Ghaza.

    Mar 04, 2024 04:34

    Licha ya kuendelea mgogoro wa Ukanda wa Ghaza na kushadidi jinai za utawala ghasibu wa Israel dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina, lakini Umoja wa Mataifa na taasisi zinazohusiana na umoja huo hadi sasa zimeshindwa kuchukua hatua mahimu katika kutetea haki za Wapalestina.

  • Kuongezeka mgawanyiko katika Baraza la Mawaziri la Vita la utawala wa Kizayuni kutokana na safari ya Gantz nchini Marekani

    Kuongezeka mgawanyiko katika Baraza la Mawaziri la Vita la utawala wa Kizayuni kutokana na safari ya Gantz nchini Marekani

    Mar 03, 2024 22:58

    Safari ya Benny Gantz, mmoja wa wajumbe wa Baraza la Mawaziri la Vita la utawala wa Kizayuni huko Marekani imekosolewa vikali na Benyamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo.

  • Masharti ya makundi ya muqawama ya Palestina kuhusu mazungumzo ya kusimamisha vita

    Masharti ya makundi ya muqawama ya Palestina kuhusu mazungumzo ya kusimamisha vita

    Mar 01, 2024 23:36

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ametoa ufafanuzi kuhusu masharti ya makundi ya muqawama katika mazungumzo ya kusimamisha vita na utawala wa Kizayuni wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS