Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Kimbunga cha al-Aqsa; Mshutuko mkubwa wa kijeshi kwa Israeli +video

    Kimbunga cha al-Aqsa; Mshutuko mkubwa wa kijeshi kwa Israeli +video

    Oct 08, 2023 04:36

    Jana tarehe 7 Oktoba 2023 Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas ilitekeleza oparesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa dhidi ya utawala ghasibu wa Israel, jambo ambalo limeshtua na kuuwacha utawala huo kinywa wazi.

  • Askofu Mkuu Hanna: Ukandamizaji wa Israel dhidi ya Wakristo umeongezeka kutokana na kimya cha Wamagharibi

    Askofu Mkuu Hanna: Ukandamizaji wa Israel dhidi ya Wakristo umeongezeka kutokana na kimya cha Wamagharibi

    Oct 05, 2023 04:31

    Atallah Hanna, Askofu Mkuu wa Wakristo wa Orthodox huko Quds Tukufu inayokaliwa kwa mabavu (Jerusalem), amesema kwamba Wakristo wa Quds wamo hatarini zaidi kuliko hapo awali.

  • Walowezi wa Kizayuni wauvamia Msikiti wa Al Aqswa kwa siku ya tano mfululizo

    Walowezi wa Kizayuni wauvamia Msikiti wa Al Aqswa kwa siku ya tano mfululizo

    Oct 04, 2023 09:06

    Makumi ya walowezi wa Kizayuni leo wameuvamia tena kwa siku ya tano mtawalia Msikiti wa Al-Aqwsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu huku wakilindwa na kusindikizwa na askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Mchezo wa kamari wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel utashindwa

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Mchezo wa kamari wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel utashindwa

    Oct 03, 2023 22:58

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, mchezo wa kamari wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni ni mithili ya kubeti juu ya farasi asiyeshinda katika mashindano, kwa sababu leo hii harakati ya Wapalestina iko hai na ina utayari zaidi kuliko wakati mwingine wowote, na utawala wa Kizayuni unaelekea katika kifo.

  • Wazayuni wauvamia tena Msikiti wa Al Aqsa kwa siku ya nne mfululizo

    Wazayuni wauvamia tena Msikiti wa Al Aqsa kwa siku ya nne mfululizo

    Oct 03, 2023 04:23

    Kundi kubwa la walowezi wa Kizayuni leo wameuvamia tena kwa siku ya nne mtawalia Msikiti wa Al-Aqsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu huku wakilindwa na kusindikizwa na askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • Ukumbusho na indhari ya Iran kwa UN kuhusu utambulisho na matokeo ya vitisho vya utawala wa Kizayuni

    Ukumbusho na indhari ya Iran kwa UN kuhusu utambulisho na matokeo ya vitisho vya utawala wa Kizayuni

    Sep 29, 2023 00:29

    Amir Saeid Iravani Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amewaandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mwenyekiti wa Baraza Kuu la UN na Rais wa Baraza la Usalama la umoja huo kuhusu matamshi ya vitisho ya karibuni ya waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran.

  • Palestina: Tunapigana vita na utawala wa Kizayuni wa Israel katika medani nne

    Palestina: Tunapigana vita na utawala wa Kizayuni wa Israel katika medani nne

    Sep 28, 2023 11:33

    Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema, Mpango wa Amani wa Waarabu ni msingi wa kukubalika na pande zote kuhusiana na kadhia ya Palestina na akasisitiza kuwa, wananchi wa Palestina wanapigana vita na utawala wa Kizayuni wa Israel katika medani nne.

  • Hamas: Kuwafungulia njia Wazayuni huko Hijaz kuna maana ya kukubali kukaliwa kwa mabavu Palestina

    Hamas: Kuwafungulia njia Wazayuni huko Hijaz kuna maana ya kukubali kukaliwa kwa mabavu Palestina

    Sep 27, 2023 23:31

    Kiongozi mmoja wa harakati ya Hamas amekosoa hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu ya kuranzisha uhusiano na mapatano na utawala wa Kizayuni wa Israel na kusisitiza kuwa, kuwafungulia njia wavamizi wa Israel kwa ajili ya kuingia katika ardhi ya Hijaz (Saudia) kuna maana ya kukubali kukaliwa kwa mabavu ardhi ya Palestina.

  • Jerusalem Post: Satalaiti ya

    Jerusalem Post: Satalaiti ya "Nour 3" inaimarisha uwezo wa anga wa Iran

    Sep 27, 2023 23:30

    Gazeti la Jerusalem Post la Israel limeandika kuwa, kurushwa angani Satalaiti Nour 3 ni sehemu ya mafanikio mapya ya kiteknolojia ambayo Iran inatumia kudhihirisha uwezo wake.

  •  Hamas: Congo DR inapaswa kuangalia upya uamuzi wa kuhamishia ubalozi wake Quds

    Hamas: Congo DR inapaswa kuangalia upya uamuzi wa kuhamishia ubalozi wake Quds

    Sep 24, 2023 02:28

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani uamuzi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuhamisha ubalozi wake kutoka Tel Aviv hadi Quds inayokaliwa kwa mabavu (Jerusalem) na kutaka kuangaliwa upya uamuzi huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS