-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena msikiti wa al-Aqswa
Sep 18, 2023 23:01Sambamba na maadhimisho ya sikukuu za Kiyahudi, makumi ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wameuvamia msikiti mtakatifu wa al-Aqswa na kufanya vitendo vya kichochezi.
-
Iran: Mauaji ya kinyama ya Sabra na Shatila ni doa la aibu kwa waungaji mkono wa utawala wa Kizayuni
Sep 16, 2023 08:46Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya mauaji ya Wapalestina wa Sabra na Shatila yaliyofanywa na askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameandika ujumbe usemao: Sabra na Shatila daima litabaki kuwa doa la aibu kwenye vipaji vya waungaji mkono wa utawala wa Israel na watetezi wa kizandiki wa haki za binadamu hususan Marekani na Uingereza.
-
Msikiti wa al-Aqswa waendelea kuvamiwa na walowezi wa Kizayuni
Sep 13, 2023 07:42Walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wamevamia msikiti wa al-Aqswa huko Palestina na kuuvunjia heshima.
-
Zaidi ya asilimia 70 ya Wazayuni wanampinga Netanyahu
Sep 10, 2023 03:59Matokeo ya uchunguzi wa hivi karibuni zaidi uliofanywa na vyombo vya habari vya Kizayuni yanaonyesha kuwa, asilimia 75 ya Wazayuni hawaridhishwi na utendaji kazi wa Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni na baraza lake la mawaziri.
-
Kwa mara ya tatu, marubani wa Israel wakataa kuendesha ndege itakayombeba Netanyahu
Sep 08, 2023 22:58Kwa mara ya tatu, marubani wa shirika kubwa zaidi la ndege la utawala wa Kizayuni wa Israel wametangaza kuwa hawataendesha ndege itakayompeleka Benjamin Netanyahu New York kulalamikia mageuzi ya mahakama yaliyofanywa na waziri mkuu huyo wa utawala huo haramu.
-
Wazayuni waendeleza unyama kwa kubomoa nyumba za Wapalestina
Sep 06, 2023 23:08Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameendelea na hatua zao za kinyama za kubomoa nyumba za wananchi wa Palestina huko Quds inayokaliwa kkwa mabavu.
-
Kupinga Waziri Mkuu wa Libya kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel
Sep 02, 2023 07:15Baada ya maandamano makubwa ya wananchi wa Libya ya kulaaniwa kukutana na kufanya mazungumzo Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi hiyo na mwenzake wa utawala wa Kizayuni, kwa mara nyingine tena Waziri Mkuu wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya, Abdel-Hamid al-Dbeibeh, alisisitiza siku ya Alkhamisi juu ya uungaji mkono wa nchi hiyo kwa kwa malengo matukufu ya Palestina na mapambano ya Palestina dhidi ya ya utawala haramu wa Israel.
-
Makumi ya walowezi wa Kizayuni wavamia tena msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima
Aug 30, 2023 22:59Katika hatua zao zisizokoma, makumi ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wamevamia tena msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima.
-
Makumi ya walowezi wa Kizayuni wavamia msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima
Aug 28, 2023 23:16Makumi ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wamevamia msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima.
-
Muqawama wa Palestina wawapongeza wananchi wa Libya
Aug 28, 2023 23:15Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa shukrani rasmi kwa wananchi wa LIbya kwa hatua yao ya kuonesha msimamo imara wa kulaani hatua ya waziri wa mambo ya nje wa Libya ya kuonana na waziri wa mambo ya nje wa Israel.