-
Jihad Islami: Kukamatwa na mauaji ya kigaidi havizuii mapambano ya ukombozi
Aug 25, 2023 04:30Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya harakati ya Jihad Islami ya Palestina amesisitiza kuwa kukamatwa, ukandamizaji na mauaji ya kigaidi haviwezi kuzima moto wa mapambano ya ukombozi wa Palestina.
-
Walowezi wa Kizayuni na mbunge wa zamani wa Israel wauvunjia heshima msikiti wa al-Aqswa
Aug 23, 2023 23:04Walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wakiwa pamoja na Mbunge wa zamani wa Bunge la Israel wamevamia msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kulivunjia heshima eneo hilo takatifu lenye historia kongwe.
-
Afisa wa usalama wa utawala wa Israel: Maneno ya Nasrullah hayapaswi kupuuzwa
Aug 19, 2023 22:57Naibu Mkuu wa Shirika la Usalama la utawala wa Kizayuni wa Israel amesema kwamba, matamshi yaliyotolewa na Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah, hayapaswi kupuuzwa.
-
Sisitizo la Algeria la kutokuwa tayari kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel
Aug 19, 2023 00:21Naibu Spika wa Bunge la Algeria Moussa Kharfi ametamka bayana kuwa nchi yake haitoanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Wafungwa 1,000 wa Kipalestina waanza mgomo wa kula katika jela za Israel
Aug 18, 2023 04:47Mashirika ya habari yameripoti kuwa, wafungwa 1,000 wa Kipalestina wameanza mgomo wa kula katika jela za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kuibuka hitilafu mpya ndani ya baraza la mawaziri la Netanyahu kuhusu suala la usalama
Aug 12, 2023 23:00Hitilafu ndani ya baraza la mawaziri la Benjamin Netanyahu kuhusu suala la usalama zimeongezeka ambapo mawaziri wa baraza hilo wanahitilafiana waziwazi kuhusu jambo hilo.
-
Kwa mara nyingine walowezi wa Kizayuni wenye chuki na Uislamu wavamia msikiti wa al-Aqswa
Aug 10, 2023 09:58Kwa mara nyingine tena walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wameuvamia msikiti wa al-Aqswa huko Palestina na kulivunjia heshima eneo hilo takatifu.
-
Walowezi wa Kizayuni wenye kufurutu ada wavamia tena msikiti mtakatifu wa al-Aqswa
Aug 09, 2023 22:52Walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu mpaka kwa mara nyingine tena wameuvamia msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kulivunjia heshima eneo hilo takatifu lenye historia kongwe.
-
HAMAS: Israel ni adui wa Umma wa Kiislamu, tuungane kukabiliana na uchokozi wake
Aug 07, 2023 08:34Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amelaani mashambulizi ya anga yaliyofanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria na kusababisha vifo vya askari wanne wa nchi hiyo na kusisitiza kuwa, umma wote wa Kiislamu unapaswa kuungana pamoja kukabiliana na utawala huo dhalimu.
-
Ripoti: Wapalestina zaidi ya 200 wameuawa shahidi tangu kuanza mwaka huu
Aug 02, 2023 23:16Vikosi vya usalama vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimewaua shahidi Wapalestina zaidi ya 200 tangu kuanza mwaka huu 2023.