Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Wazayuni wauvunjia heshima tena Msikiti wa al-Aqsa

    Wazayuni wauvunjia heshima tena Msikiti wa al-Aqsa

    Aug 02, 2023 07:10

    Katika hatua ambayo imekuwa ni ya kawaida katika miezi ya hivi karibuni, Wazayuni kwa mara nyingine tena wameingia na kuuvunjia heshima Msikiti wa al-Aqsa kwa uungaji mkono wa jeshi la utawala ghasibu wa Isreal.

  • Wanajeshi Wazayuni: Netanyahu anaiteketeza kwa moto Israel

    Wanajeshi Wazayuni: Netanyahu anaiteketeza kwa moto Israel

    Jul 29, 2023 07:14

    Wanajeshi 1,300 wa utawala wa Kizayuni wamemshambulia vikali Benjamin Netanyahu na kusema kuwa waziri mkuu huyo wa Israel yuko tayari utawala wote wa Kizayuni uteketee kwa moto ili yeye binafsi aokoke.

  • Hamas: Utawala wa Kizayuni wa Israel unataka kuibua vita vya kidini

    Hamas: Utawala wa Kizayuni wa Israel unataka kuibua vita vya kidini

    Jul 29, 2023 04:27

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu amesema kuwa mashambulizi ya Wazayuni katika Msikiti wa al Aqsa kwa mara nyingine tena yameonyesha namna adui alivyokusudia kutangaza vita vya kidini dhidi ya al Aqsa.

  • Nafasi ya utawala wa Kizayuni katika kueneza chuki dhidi ya Uislamu katika nchi za Magharibi

    Nafasi ya utawala wa Kizayuni katika kueneza chuki dhidi ya Uislamu katika nchi za Magharibi

    Jul 27, 2023 22:55

    Tangu kuasisiwa kwake, utawala ghasibu wa Kizayuni sambamba na kupora ardhi za Wapalestina, umefanya jinai zisizohesabika dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina, pamoja na kuchochea vita na ukosefu wa amani na usalama katika eneo la Asia Magharibi.

  • Haaretz: Nasrullah alikuwa sahihi, Israel ni dhaifu kuliko nyumba ya buibui

    Haaretz: Nasrullah alikuwa sahihi, Israel ni dhaifu kuliko nyumba ya buibui

    Jul 26, 2023 22:59

    Gazeti la Haaretz limezungumzia hali mbaya ya kisiasa na kiuchumi inayotawala huko Israel, kukiri kwamba, mtazamo wa Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon katika kuufananishwa utawala wa Israel na nyumba ya buibui ilikuwa sahihi kabisa.

  • Kutiwa  nguvuni wanachama wa mtandao mkubwa zaidi wa kigaidi wenye mfungamano na utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Iran

    Kutiwa nguvuni wanachama wa mtandao mkubwa zaidi wa kigaidi wenye mfungamano na utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Iran

    Jul 26, 2023 04:37

    Wizara ya Usalama wa Taifa ya Iran imetangaza kuwa imewatia mbaroni wanachama wa mtandao mkubwa zaidi wa kigaidi wenye mfungamano na utawala wa Kizayuni wa Israel katika mikoa kadhaa nchini.

  • Wazayuni wakaribia kutumbukia kwenye vita vikubwa vya wenyewe kwa wenyewe

    Wazayuni wakaribia kutumbukia kwenye vita vikubwa vya wenyewe kwa wenyewe

    Jul 20, 2023 23:06

    Mkuu wa zamani wa shirika la usalama wa ndani la utawala wa Kizayuni ameshindwa kuficha hofu yake kubwa kuhusu mustakbali wa kiza wa Israel na mabadiliko ya sheria yanayopiganishwa na Benjamin Natanyahu akisema kuwa, utawala wa Kizayuni umeanza kuingia kwenye vita vikubwa vya wenyewe kwa wenyewe.

  • Wanamuqawama watekeleza oparesheni 20 dhidi ya Wazayuni katika Ukingo wa Magharibi

    Wanamuqawama watekeleza oparesheni 20 dhidi ya Wazayuni katika Ukingo wa Magharibi

    Jul 18, 2023 08:12

    Duru za habari za Palestina zimetangaza kuwa, wanamapambano wa Palestina jana walitekeleza oparesheni 20 za kimuqawama dhidi ya Wazayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na huko Quds inayokaliwa kwa mabavu.

  • Wazayuni wenye misimamo mikali wavamia tena msikiti wa al-Aqswa

    Wazayuni wenye misimamo mikali wavamia tena msikiti wa al-Aqswa

    Jul 17, 2023 01:02

    Wazayuni maghasibu wenye misimamo ya kufurutu ada Kwa mara nyingine tena wameuvamia msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kulivunjia heshima eneo hilo takatifu.

  • Hamas: Mustakabali wa giza unaungojea utawala wa Kizayuni wa Israel

    Hamas: Mustakabali wa giza unaungojea utawala wa Kizayuni wa Israel

    Jul 14, 2023 03:57

    Mwanachama wa ngazi ya juu wa harakati ya Hamas amesema: Mustakhbali mbaya na wa giza unaungojea utawala wa Kizayuni wa Israel, na kwamba kupanuka kwa muqawama na mapambano ni ishara ya mustakbali mbaya wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS