Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Utawala wa Israel umeambulia patupu katika jinai zake dhidi ya Wapalestina huko  Jenin

    Utawala wa Israel umeambulia patupu katika jinai zake dhidi ya Wapalestina huko Jenin

    Jul 06, 2023 23:37

    Oparesheni ya kikatili ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina huko Jenin katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan imemalizika baada ya siku 2, na kwa mujibu wa Wazayuni, operesheni hiyo haijafanikiwa chochote.

  • OIC:Jinai za Jenin ni mwendelezo wa ugaidi ulioratibiwa wa Israel/Baraza la Usalama linapaswa kuchukua hatua

    OIC:Jinai za Jenin ni mwendelezo wa ugaidi ulioratibiwa wa Israel/Baraza la Usalama linapaswa kuchukua hatua

    Jul 04, 2023 01:01

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu (OIC) imelaani vikali jinai zinazotekelezwa na jeshi la utawala wa Kizayuni katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuzitaja kuwa ni mwendelezo wa ugaidi ulioratibiwa na utawala huo.

  • Saudi Arabia yainyima Israel kibali cha kuhudhuria mkutano wa UNESCO

    Saudi Arabia yainyima Israel kibali cha kuhudhuria mkutano wa UNESCO

    Jul 01, 2023 03:24

    Shirika la habari la Sputnik la Russia limetangaza kuwa, Saudi Arabia imekataa kuwaruhusu wawakilishi wa utawala wa Kizayuni wa Isarel kuhudhuria mikutano ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) ambayo imepangwa kufanyika mjini Riyadh mwezi Septemba mwaka huu.

  • Mwakilishi wa UAE katika Umoja wa Mataifa: Israel inapasa kusitisha haraka ujenzi wa vitongoji

    Mwakilishi wa UAE katika Umoja wa Mataifa: Israel inapasa kusitisha haraka ujenzi wa vitongoji

    Jun 28, 2023 04:28

    Mwakilishi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) katika Umoja wa Mataifa ameutaka utawala wa Kizayuni kusimamisha haraka iwezekanavyo ujenzi wa vitingoji vya walowezi na mashambulizi dhidi ya Wapalestina ili kutolitumbukiza eneo katika mivutano zaidi.

  • Shtayyeh: Jamii ya kimataifa ichukue hatua za kukomesha uvamizi wa Israel huko Palestina

    Shtayyeh: Jamii ya kimataifa ichukue hatua za kukomesha uvamizi wa Israel huko Palestina

    Jun 25, 2023 04:28

    Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema: Kunahitajika hatua na uhamasishaji wa kimataifa ili kukomesha uvamizi wa Israel na kukaliwa kwa mabavu ardhi ya Palestina.

  • Wananchi wa Jordan waandamana kuunga mkono muqawama wa Palestina

    Wananchi wa Jordan waandamana kuunga mkono muqawama wa Palestina

    Jun 24, 2023 04:28

    Maelfu ya wananchi wa Jordan wameandamana kwa ajili ya kuunga mkono muqawama na mapambano ya wananchi wa Palestina na wakati huo huo kulaani jinai za kila leo za utawala haramu wa Israel.

  • Wapalestina walaani hatua ya Wazayuni ya kuchoma moto nakala za Qur'ani Tukufu

    Wapalestina walaani hatua ya Wazayuni ya kuchoma moto nakala za Qur'ani Tukufu

    Jun 23, 2023 23:30

    Kitendo cha walowezi wa Kiyahudi cha kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu wakati wa mashambulizi ya askari wa Israel dhidi ya misikiti ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kimeibua wimbi kubwa la laana na malalamiko ya Waislamu hususan huko Palestina.

  • Iran: Utawala wa Kizayuni unapanda upepo, ujue utavuna kimbunga

    Iran: Utawala wa Kizayuni unapanda upepo, ujue utavuna kimbunga

    Jun 22, 2023 06:32

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuhusu mashambulio ya kinyama ya utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wasio na hatia wa Palestina kwamba, jinai za utawala huo dhalimu na uhalifu wake unazidi kuipunguzia uhai Israel katika ramani ya dunia.

  • Lieberman atoa wito wa kurejeshwa kwa sera ya mauaji ya kigaidi Ukanda wa Gaza

    Lieberman atoa wito wa kurejeshwa kwa sera ya mauaji ya kigaidi Ukanda wa Gaza

    Jun 20, 2023 04:06

    Waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel amelitaka jeshi la utawala huo kutekeleza tena sera ya kuwaua kigaidi makamanda wa harakati za mapambano ya ukombozii ya Palestina katika Ukanda wa Gaza na kutekeleza operesheni kubwa za kijeshi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Wazayuni: Mapigano yalikuwa makali Jenin, tumehisi kama tunakabiliana na Hizbullah ya Lebanon

    Wazayuni: Mapigano yalikuwa makali Jenin, tumehisi kama tunakabiliana na Hizbullah ya Lebanon

    Jun 19, 2023 23:46

    Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimelazimika kukiri kwamba mapambano yaliyotokea jana Jumatatu kwenye mji wa Jenin huko Palestina yalikuwa tata na ya kipekee kutoka kwa wanamapambano wa Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS