Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Wanamuqawama wa Palestina watekeleza oparesheni 22 dhidi ya Wazayuni

    Wanamuqawama wa Palestina watekeleza oparesheni 22 dhidi ya Wazayuni

    Jun 19, 2023 05:19

    Wanamapambano wa Palestina jana walitekeleza oparesheni 23 dhidi ya Wazayuni ikiwa ni katika kuendeleza hatua za wanamuqawama wa Palestina dhidi ya utawala wa Kizayuni.

  • "Njia za chini ya ardhi za Hizbullah"; zilzala haribifu kwa utawala wa Kizayuni

    Jun 18, 2023 00:54

    Duru za habari za lugha ya Kiibrania zimetangaza kuwa Harakati ya Mapambano ya Lebanon ya Hizbullah inaimarisha nguvu na uwezo wake wa chini ya ardhi na kwamba harakati hiyo inaweza kubomoa na kuharibu vitongoji vya walowezi wa Kizayuni kupitia njia hizo za nchini ya ardhi.

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; Adui Mzayuni amechanganyikiwa

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; Adui Mzayuni amechanganyikiwa

    Jun 17, 2023 02:46

    Akizungumza karibuni na Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina na ujumbe aliofuatana nao, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema hali ya sasa ya utawala wa Kizayuni wa Israel inatofautiana sana na ya miaka sabini iliyopita na kusisitiza: Hii leo adui Mzayuni yuko katika hali ya kutojua la kufanya na hali hii inaonyesha kuwa Jihad Islami ya Palestina na makundi mengine ya mapambano yametambua vyema njia ya kufuata na yanasonga mbele kwa busara.

  • Jumbe za Kiislamu za Quds: Msikiti wa al Aqsa ni mstari wetu mwekundu

    Jumbe za Kiislamu za Quds: Msikiti wa al Aqsa ni mstari wetu mwekundu

    Jun 13, 2023 01:10

    Ujumbe wa ngazi ya juu wa Kiislamu na jopo la maulamaa wa Baitul Muqaddas wametahadharisha kuhusu njama za utawala wa Kizayuni za kutaka kubadili mazingira ya msikiti wa al Aqsa na kusisitiza kuwa eneo hilo takatifu ni mstari wao mwekundu.

  • Mpango wa mashirika 100 ya Kimarekani wa kukabiliana na ubaguzi wa rangi wa utawala wa Israel

    Mpango wa mashirika 100 ya Kimarekani wa kukabiliana na ubaguzi wa rangi wa utawala wa Israel

    Jun 09, 2023 22:12

    Mashirika mia moja ya Kimarekani yameanzisha mpango uliopewa jina la "Jamii Zisizo na Ubaguzi wa Rangi" kwa lengo la kusitisha uungaji mkono wa nchi yao kwa utawala wa kibaguzi wa Israel.

  • Asilimia 97 ya maji katika nyumba za Ukanda wa Ghaza, hayanyweki

    Asilimia 97 ya maji katika nyumba za Ukanda wa Ghaza, hayanyweki

    Jun 07, 2023 07:16

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Maji ya Ghaza ameeleza kuwa: Asilimia 97 ya maji katika nyumba za raia wa Palestina wa Ukanda wa Ghaza hayanyweki.

  • Hamas na Jihad al Islami: Muqawama ndiyo njia pekee ya kupambana na Wazayuni

    Hamas na Jihad al Islami: Muqawama ndiyo njia pekee ya kupambana na Wazayuni

    Jun 05, 2023 22:03

    Wakuu wa harakati mbili za muqawama yaani Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS na Jihad al Islami wamesema kuwa, chaguo pekee walilo nalo Wapalestina katika kupambana na utawala katili na vamizi wa Kizayuni, ni muqawama na kusimama imara kwenye misimamo yao ya haki.

  • Hamas: Mauaji ya Wazayuni dhidi ya watoto wa Kipalestina yatambuliwe kuwa ni uhalifu

    Hamas: Mauaji ya Wazayuni dhidi ya watoto wa Kipalestina yatambuliwe kuwa ni uhalifu

    Jun 05, 2023 07:26

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetoa wito wa kutambuliwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watoto wa Kipalestina kuwa ni uhalifui na jinai, na kuwafungulia mashitaka wanaofanya jinai hizo.

  • Ayatullah Issa Qassim: Wananchi wa Bahrain hawatasalimu amri

    Ayatullah Issa Qassim: Wananchi wa Bahrain hawatasalimu amri

    Jun 03, 2023 03:20

    Ayatullah Issa Qassim, kiongozi wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia nchini Bahrain ametangaza kuwa, wananchi wa Bahrain katu hatawasalimu amri mbele ya dhulma na ukandamizaji dhidi yao.

  • Kan'ani: Iran inafuatilia kwa karibu harakati za kikanda za utawala wa Kizayuni wa Israel

    Kan'ani: Iran inafuatilia kwa karibu harakati za kikanda za utawala wa Kizayuni wa Israel

    May 31, 2023 07:54

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba: "Nyumba ya buibui haiwezi kutegemewa na jitihada za kupanua uwepo wa utawala haramu wa Israel kikanda hazitasaidia kukarabati msingi inayoyumba ya utawala bandia wa Kizayuni."

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS