Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Mawaziri wa utawala wa Kizayuni watoa wito wa kushambuliwa Msikiti wa Al-Aqsa

    Mawaziri wa utawala wa Kizayuni watoa wito wa kushambuliwa Msikiti wa Al-Aqsa

    May 17, 2023 21:38

    Vyanzo vya habari vimeripoti kuwa baadhi ya mawaziri na wajumbe wa bunge la utawala haramu wa Israel, Knesset, wametoa wito wa kushambuliwa Msikiti wa Al-Aqsa katika siku ya maandamano ya bendera.

  • Wazayuni wakiri kupata pigo; wasema: Israel haina uwezo wa kukabiliana na makombora ya Wapalestina

    Wazayuni wakiri kupata pigo; wasema: Israel haina uwezo wa kukabiliana na makombora ya Wapalestina

    May 16, 2023 10:49

    Majenerali wa jeshi la utawala wa Kizayuni wamekiri kupata pigo katika vita vya siku tano vilivyoisha Ijumaa iliyopita na kutangaza wazi kwamba, katika uvamizi wake wa hivi karibuni huko Ghaza, utawala wa Israel si tu haukupata mafanikio yoyote, lakini ngome ya ulinzi wa anga ya Israel imeshindwa kukabiliana na makombora ya muqawama wa Palestina.

  • Hizbullah ya Lebanon: Wananchi wa Palestina wathibitisha tena thamani yao katika ushindi na ukombozi

    Hizbullah ya Lebanon: Wananchi wa Palestina wathibitisha tena thamani yao katika ushindi na ukombozi

    May 15, 2023 22:02

    Sheikh Naim Qassim, Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah amesema kuwa, wananchi wanamuqawama wa Palestina kwa mara nyingine tena wamethibitisha thamani yao katika ushindi na ukombozi.

  • Ayatullah Arafi: Dini zote zisimame imara kukabiliana na dhulma za utawala wa Kizayuni wa Israel

    Ayatullah Arafi: Dini zote zisimame imara kukabiliana na dhulma za utawala wa Kizayuni wa Israel

    May 15, 2023 03:30

    Mkuu wa vyuo vya kidini nchini Iran amesema: dini zote zinapaswa kusimama imara na kupinga dhulma na ukandamizaji wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • Siku ya Nakba na maandamano ya Wazungu

    Siku ya Nakba na maandamano ya Wazungu

    May 15, 2023 02:02

    Mwaka huu, umri wa utawala haramu wa Israel umeingia katika mwaka wake wa 75, huku Wazayuni wakiendelea kufanya jinai za kutisha dhidi ya Wapalestina wasio na hatia, wanawake na watoto wakiwa wahanga wakuu wa jinai hizo.

  • HAMAS: Tunazishukuru Iran na Hizbullah kwa namna ya kipekee

    HAMAS: Tunazishukuru Iran na Hizbullah kwa namna ya kipekee

    May 14, 2023 22:10

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema: "Tunazishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Hizbullah ya Lebanon kwa namna ya kipekee."

  • Mahesabu ghalati ya adui; sababu kuu ya jinai za hivi karibuni za Israel dhidi ya Gaza

    Mahesabu ghalati ya adui; sababu kuu ya jinai za hivi karibuni za Israel dhidi ya Gaza

    May 14, 2023 22:09

    Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ameashiria jinai za hivi karibuni za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza na kueleza kwamba, mahesabu yasiyo sahihi ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Israel ndio sababu halisi ya kuibuka vita hivi.

  • Vita vya siku tano Gaza vimedhihirisha nguvu na uwezo wa Muqawama wa Palestina

    Vita vya siku tano Gaza vimedhihirisha nguvu na uwezo wa Muqawama wa Palestina

    May 14, 2023 08:25

    Mashambulizi ya anga ya utawala haramu wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza na majibu ya makundi ya Palestina kwa jinai za utawala huo ghasibu yamesajili kumbukumbu ya makabiliano mengine katika historia ya Muqawama wa Palestina.

  • Palestina yaitaka UN kuchukua hatua za kusitisha mauaji yanayofanywa na Israel dhidi ya raia

    Palestina yaitaka UN kuchukua hatua za kusitisha mauaji yanayofanywa na Israel dhidi ya raia

    May 13, 2023 21:59

    Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameashiria jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza na katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuutaka Umoja wa Mataifa kuchukua hatua haraka iwezekanavyo ili kusitisha kuuliwa Wapalestina.

  • Wapalestina wameshapiga maeneo ya Wazayuni kwa maroketi 1099 tangu vilipoanza vita vipya

    Wapalestina wameshapiga maeneo ya Wazayuni kwa maroketi 1099 tangu vilipoanza vita vipya

    May 13, 2023 06:51

    Msemaji wa jeshi la utawala wa Kizayuni amekiri kwamba tangu lilipoanza wimbi jipya la vita vilivyoanzishwa na Wazayuni Jumanne iliyopita, makundi ya muqawama ya Ukanda wa Ghaza yameshavurumisha matoketi 1099 kupiga maeneo ya Wazayuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS